Ila si ndio sehemu ya story na huko mbeleni utaona repercussion ya hicho alichokifanya. Actually nimependa anavyoweka small details kama hizi ili mbeleni usiwe na mshangao how imetokea.
Nakupa mfano matukio mawili ambapo naweza mpongeza
INSIDER MAN moja ni kuweka ile small detail hii hapa kabla hata ya kueleza nini kitatokea nyumbani.
"Kipindi niko njiani nilifuta picha zote za Iryn mpaka namba za simu, na nilijiapia kwamba pindi nikifika home nitaendelea kufuta picha zote kwenye simu yangu nyingine ya zamani"
Jambo lingine ni kuweka ile small detail ambayo kwa akili ya kawaida unaweza ichukulia poa katika simulizi yake. Ni lile tukio la kuelezea mtoto wa mama wawili kumuomba pesa sijui ilikua ya simu ile then akaipotezea. Ila katika episode iliyopita inakusaidia msomaji kuanza kuconnect matukio.
Longstory short hayo yalishatokea meaning tujifunze kwa makosa yake na katika yale mazuri yake.