Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Wengi nimebaini wanasoma juu juuu, hapa ndo utazisoma IQ za watu.

👉🏻Suala la mama J alishatuambia ni mtu wa aiana gani. Ni season iliyopita kama sikosei. Alituambia ni mtu ambaye ana maamzi ya haraka sana. Akiondoka kwenda kwao huwa anamuacha atulie alafu wanayamaliza.

Mama J kwenda home, hata mimi ningemuacha. Jamaa yuko kwenye kipindi kigumu, Iryn kachomoa mimba, kampuni inamsumbua, wife wake anaondoka hata mimi ningeenda kwa Asmah kutuliza akili.

Tukija kwenye uhalisia, mwanamke akienda kwao, ukaanza kumbembeleza arudi. Huyu mwanamkek lazima akusumbue akili. Usiforce maamuzi ya jamaa yafanane na wewe. Kuhusu michepuko hakuna mwanaume asiyechepuka, kama upo bhasi una matatizo au huna hela.

Kingine, jamaa sio mtu wa kubembeleza mwanamke. Ndomana wanaume tunashauriwa kuwa na wanawake wengi, unakuwa na sehemu za kupata faraja.

👉🏻Suala la Pili Insider alitupa details kidogo sana kuhusu kumtumia hela. Hapa sasa mimi nimeunganisha dot huwenda jamaa anakosa la kumtumia dogo hela.
Usipende kutetea ujinga, simu zina Apps za kuficha mambo yako nuhimu eg Dropbox, kwanini hizo picha hakuziweka huko?
You have your beautiful wife and a beautiful sidechick Iryn, why should you go for Asmah, Mary, and Bhoke?
Issue ya kupigwa pingu siwezi kukoment mpaka nijue kilichotokea. Whatever the case alifanya kosa kumpa hela pili akanunue simu, very stupid mistake.
Story nzuri inafundisha mambo mengi
 
Sidhani watu wote wanajua Dropbox. According to jamaa anasema alificha kwenye “hidden folder”. Ni kweli Iphone wana hii kitu, na kufunga mpaka uwe na Passcode au face ID. Kwa mtu ambaye anauelewa na iphone ni rahisi kuiona hio folder, pia unaweza kuhide kwenye settings isionekane kwenye gallery, hata mimi nafanyaga hivi.

Mwisho wa siku za mwizi ni Arobaini, jamaa mwenyewe anakubali ni mzembe kwenye suala la simu.
 
binafsi inachnganya hii ndio mana wengine wanaita chai unarudije kwako wf hayupo na mlitoka kupishna then hta usijushuhulishe kujua inakuaje lkn kwak ww inakuwa km vile tayar umeshamchoka so liwalo na liwe na uhalisia haiko hvyo ila sishangai pia toka hii stor ilikoanzia hali ni hiihii majina tu ya warembo ndiyo yanabdilika ilikuwa kwa Hilda, Prisca, au Iyrn
naomba nikwambie sonona inachangia sana kutowaza kama kawaida au kuenenda katika mfumo wakawaida pia insider bado kijana mdogo sana 27 kwa wakati huo vitu vingi ndo anavipitia kwa mara ya kwanza au uzoefu hana najua wengi mtasema chai ila ni mnahukumu tu wenyewe lakini vaeni viatu vyake muone moto lakini kizuri sisi yakwetu maneno tu
 
Tatizo la kuwajua madem ukubwani, alishasema alichelewa kuanza kwichi kwichi. Umri nao ni mdogo afu kazishika hela mapema.
 
Kwakweli tuamini hivo tu af jmn jokes aside mtu gani pesa kwake zinamiminika yani gafla mume wa sista anaagwa juu kwa juu na mkewe wanaenda sauz anakubali fasta na milioni juu ha ha we insaida wewe unatudharau sana aisee
Mimi nilipata mashaka , nilikuwa wa kwanza kutabiri tukio kubwa la asmah kuacha kazi ghafla. Namna nimenyimwa zawadi eti hakuna mshindi, hapa nilibaki na question mark. Kwa mtu ambaye kushindana kupo moyoni sio kwa njaa,ila namna alisolve hili jambo ilinipa mashaka kama kweli anayosimulia ya kweli au na yeye ni mgaagaa na upwa .???...
LAkini simulizi ni nzuri sana, inahamasisha, haichoshi,ina mafunzo na kuburudisha pia. I like it since day1.
 
Wewe ni booonge la NARCISSIST yani umekuta mai waifu wako ako low unapata wapi nguvu ya kulala na kuamka na kuondoka bila kuyaweka sawa aisee sometimes ndo mana hawa wanawake wanatupiga matukio mpk shetani anatuhurumia mtu gani kila saa "nikapata wazo la kwenda kwa jane" mara "nikapata wazo kwenda kwa Allen" mda wote unapata wazo la kwenda kwa watu kikwetu tunaita wakawaka
Wewe una comment kwa sababu hayajawahi kukutokea. Sin unaona hata Mashabiki wa mpira wanavyowatukuna Wachezaji ni kwa sababu wao ni Watazamaji lakini ukiwa ndani ya uwanja ndio utaelewa.
 
Wengi nimebaini wanasoma juu juuu, hapa ndo utazisoma IQ za watu.

👉🏻Suala la mama J alishatuambia ni mtu wa aiana gani. Ni season iliyopita kama sikosei. Alituambia ni mtu ambaye ana maamzi ya haraka sana. Akiondoka kwenda kwao huwa anamuacha atulie alafu wanayamaliza.

Mama J kwenda home, hata mimi ningemuacha. Jamaa yuko kwenye kipindi kigumu, Iryn kachomoa mimba, kampuni inamsumbua, wife wake anaondoka hata mimi ningeenda kwa Asmah kutuliza akili.

Tukija kwenye uhalisia, mwanamke akienda kwao, ukaanza kumbembeleza arudi. Huyu mwanamkek lazima akusumbue akili. Usiforce maamuzi ya jamaa yafanane na wewe. Kuhusu michepuko hakuna mwanaume asiyechepuka, kama upo bhasi una matatizo au huna hela.

Kingine, jamaa sio mtu wa kubembeleza mwanamke. Ndomana wanaume tunashauriwa kuwa na wanawake wengi, unakuwa na sehemu za kupata faraja.

👉🏻Suala la Pili Insider alitupa details kidogo sana kuhusu kumtumia hela. Hapa sasa mimi nimeunganisha dot huwenda jamaa anakosa la kumtumia dogo hela.
Mkuu umeongea na kuandika facts za ukweli. Wanaosoma huu uzi wengi walishapigwa matukio hasa ya kuzalishwa na kuachwa sasa wakisoma huu uzi na wakiona vile INSIDER MAN anavyokula pisi za maana wanaanza kutoa na ku comment reply za makasiriko. Kama unaona chai na story haikupendezi pita kimya kimya tu. Kujiko mentisha hapa na kukosoa kuna kutia aibu tu.
 
EXTRA EPISODE 01

Sikuwai kuwapa muendelezo kwa kilichotokea kwa Uncle wangu. Alihama pale Mikocheni alijenga nyumba yake huko Bunju. Sasa mwaka 2020 wachina waliondoka Tanzania, sababu kubwa ilikua ni kodi. Kama mnavyojua Wachina ni wakwepaji wakubwa wa kodi.

Uncle wangu ni mhuni sana alificha gari ya kampuni mpaka leo analo, na baadhi ya madeni alokuwa anakusanya alikua anaficha. Kesi ilikua kubwa ikapelekea wachina kuamisha stoo yao ya Mabag ili kuzikwepa mamlaka za serikali.

Walikua wanafanya kazi ya kuuza mabag store pamoja na kukopesha na kupunguza bei ili yatoke haraka wao waondoke.

Baada ya kuona hali so hali wakaondoka chap, Uncle pesa alizobaki nazo pamoja na madeni ilikua ni zaidi ya million 80, hizi ni taarifa za ndani kabisa nilipata. Sio hivyo tu, walimwachia na Godown kile kiwanda cha assembling, hivyo kulikua na assets kibao kama ma AC, ma fan, na mazaga kibao. Nyumba walokua wanakaa waliacha mashine nyingi kama mashine za kufulia, yaani waliacha mazaga kibao.

Mzee baba akalifumua lile Godown akauza Mabati, mbao, nyaya za umeme, ma AC, ma fan na mitambo kibao. Unaambiwa kupitia lile godown aliingiza si chini ya 20 million. Bado vitu vingine vilivyoachwa na wachina mle ndani.

Baada ya hapo mzee baba alishindwa kupanga mipango mizuri ya zile pesa akaanza kula bata na madem zake, unaambiwa hata home akawa harudi, ukifungua gari lake unakutana na machupa ya wine na bia tu.

Zile pesa hatimae zikaisha na hakufanya jambo lolote la maana la kimaendeleo, Since 2021 life ni gumu sana. Aunt yangu alikuaga mtu wa nyumbani tu, kuna kipindi nilimpaga ushauri afungue hata biashara ya Mabag hata hakutaka kunisikiliza sababu pesa zilikuwepo. Hata Uncle nilimshauri afungue biashara ya kuuza jumla na rejareja bag zote lakini hakunielewa kipindi kile.

Life limegeuka now wanahali mbaya sana kiuchumi, wale watoto zake hawasomi shule japo walifaulu form 4, yule mtoto mkubwa niliongea naye nimsapoti arudi shule lakini aligoma kabisa, alisema anataka akomae na mambo yake shule hapana. Dogo nilishamsapoti na kiasi cha pesa tayari, mambo mengine atajua yeye.

Aunt aliyekua ananiona mimi fala, now ndo ananitafuta niwe namsaidia. Kuna jambo moja ambalo anataka kulifanya ni kuhusu yule mtoto wa mwisho wa kike. Tulikua tunapatana sana hivyo nitamsapoti kwenye masomo yake akianza secondary hiyo ndo plan yangu.

Kipindi nakwenda kuwasalimia nilienda na mke wangu na mtoto, maana hata familia yangu walikua hawaijui na pia niliwakaribisha kipindi cha kutoa mahali na hawakutaka kuja. That time nilienda na gari kabisa.

Maisha ni fumbo kubwa sana, yule unayemdharau ndo anakuja kuwa msaada kwako. Muheshim kila unayemwona mbele yako, hakuna anayejua ya kesho. Kesho yetu sote hapa ni fumbo.[/JUSTIFY]

EPISODE 10[emoji116]

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu
UI mzuro
 
Dah, ila mwana uko na matukio mengi sana ya hatari, linatoka hili linakuja lile, sasa hapo sababu ya mama mkwe wako, (pili) kukukàmatisha kwa police ni amehisi kwamba unatembea na binti yake au amepatwa na tatizo gani mpaka kuamua kukufanyia hivyo,
Na hiyo case utamweleza nani ambaye anaweza kukusaidia au kukuamini kama kweli ikiwa alikutuhumu unatembea na binti yake, maana kiuhalisia Jane, huwezi mwomba msaada, marry, asamah, Lucy, Hilda, labda mtu pekee wakukusaidia bila kuhoji maswali mengi hapo ni prisca, ila ngoja tuone nini kilitokea baada ya hapo
 
hyo haijawa konfirmed kama n pili au.laaah babu kwaio.tuliza mtulinga hapo
 
huo mchezo Mzee Juma anaumaliz
Dah, ila mwana uko na matukio mengi sana ya hatari, linatoka hili linakuja lile, sasa hapo sababu ya mama mkwe wako, (pili) kukukàmatisha kwa police ni amehisi kwamba unatembea na binti yake au amepatwa na tatizo gani mpaka kuamua kukufanyia hivyo,
Na hiyo case utamweleza nani ambaye anaweza kukusaidia au kukuamini kama kweli ikiwa alikutuhumu unatembea na binti yake, maana kiuhalisia Jane, huwezi mwomba msaada, marry, asamah, Lucy, Hilda, labda mtu pekee wakukusaidia bila kuhoji maswali mengi hapo ni prisca, ila ngoja tuone nini kilitokea baada ya hapo
a
 
PM iko open, kama una sifa tajwa hapo juu nitumie CV asap. Huko PM kuweni serious, ndomana nimeacha kuzisoma, unakuta mesage zote ni ujinga tu. Mtu anaomba picha ya Iryn mara mtu anaomba namba ya Prisca, mara Asmah, kuna wengine hata siwajui wananitukana huko DM 😂🙌🏿. How come unamtukana mtu hata humjui na haja kukosea kitu?.
Makarisiko ya Waliotelekezwa
 
Back
Top Bottom