Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,591
- 14,369
Bro INSIDER MAN Jana uliahid kwamba tukutane Leo Kwa muendelezo.
Jitahid Kwa mara ya Kwanza utimize ahadi yako.
Jitahid Kwa mara ya Kwanza utimize ahadi yako.
Nikweli kabisa insider anapitia kipindi kigumu sana
Member taratibu! BasiArostooooooo
UNawaza kifupi sana bwana mdogo. Unawaza chini ya kiwangoRoho ya wivu tu raia humu
Kwakweli tuamini hivo tu af jmn jokes aside mtu gani pesa kwake zinamiminika yani gafla mume wa sista anaagwa juu kwa juu na mkewe wanaenda sauz anakubali fasta na milioni juu ha ha we insaida wewe unatudharau sana aisee
Kinachonishangaza ni huko kupewa pesa nyingi kila wakati ,tena bila kuvuja jashoKwakweli tuamini hivo tu af jmn jokes aside mtu gani pesa kwake zinamiminika yani gafla mume wa sista anaagwa juu kwa juu na mkewe wanaenda sauz anakubali fasta na milioni juu ha ha we insaida wewe unatudharau sana aisee
Nikapata wazo la kwenda AsmahNikapitia karambezi kwaajili ya lunch na kwa upande mwingine nikawasha gari nikakata kona na kuikamata haile selasie road
Hapo ndo mmewapa wanawake akili maana nao siku hizi wanachePuka kuliko hata ninyi.Kuhusu michepuko hakuna mwanaume asiyechepuka, kama upo bhasi una matatizo au huna hela.
Nikapata wazo la kwenda Asmah
I wanda wai i wanda haw i wanda wey zeiyaaaKinachonishangaza ni huko kupewa pesa nyingi kila wakati ,tena bila kuvuja jasho
Hajamuoa ila yeye anamrefer kamaa " mke" ndio maana nimesema hivyo pia. Sema kwa akili ya kawaida huwezi kosea then mwenza wako akaondoka kurudi kwao usijishughulishe kabisa ndio kwanza unaenda kwa mchepuko na unafurahia.Mama J hakuwa kaolewa bali mke mtarajiwa, aliwekwa ndani kinyumba...
Anyway ni Story tuendelee kuisoma.
Kinyemela kivipi mkuu? Insider hajaenda kujitambulisha kwao mama J? Hajatoa sehemu ya mahali?Hili ndio la msingi...
Maana pia ukifikiria ni mama gani ambaye anatoka kijijini na kuja kukaa kwenye nyumba ya watoto ambao hawajaoana wanaoishi kinyemela tu...
Mkuu tunasubiria muendelezo toka Jana.Tukutane Badae