Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Inategemea na Capital mkuu, kwa fee ya serikali kwa kampuni yenye capital kubwa haizidi 500k. Hapo sasa kuna gharama zingine za kuandaa memorandum, utahitaji Advocate wa kukusaidia au consultant.
- pia utatakiwa kufungua Box nknk
Mzee tunashukuru kwa kutenga muda wa kutuburudisha na kubadilishana ujuzi na sisi,
Big up sana kwa story nzuri,

Leo ni Sunday unaweza kushare nasisi muendelezo hata kwa episode moja
 
Trying to imagine tomorrow it's Sunday perhaps busy thinking of Monday lakini uko hapa unasoma story ya kijana mwenzako for GODs sake haijalshi watu wanasema ni chai or wat buh sincerely speaking mzee uh providing sio burudani tyu insider buh mafunzo pia for alot vijana tuna mengi ya kujifunza through dis story✌️ we also writters perhaps lakni dis story has hit to the greatest of the great posts
 
Naona namba mpya ya simu imeanza kutolewa bila hiyana na mtu aliapa hatoigawa.........malaya kujikaza ni kitu wameshindwa kabisa
 
Ilikuwaje, napenda umbeya mimi hahahha. Sio vzr kufokezea alaf uishie njiaani nimejisikia vibaya kusoma comment yako najuta
 
Naona namba mpya ya simu imeanza kutolewa bila hiyana na mtu aliapa hatoigawa.........malaya kujikaza ni kitu wameshindwa kabisa
Kwa mazingira ya Insider na nature ya kazi yake ya Uber nadhani sio sahihi kumwita malaya, amekwepa vishawishi vingi sana; mnamkumbuka yule Dada aliye achana nae Sinza akiwa hana nauli? Alimpotezea though mwanamke mwenyewe was ready na nguo alianza kuvua kwenye gari but "muhuni" akakomaa na biashara zake na pesa alitumiwa electronically; mnamkumbuka yule demu mwingine alimtoa pale Kidimbwi ambaye ilihisiwa aliwekewa dawa za kulevya na Insider akamkodia hotel/guest house? What about Vicky, Camira, mama wawili, Aggy nk? Wengi wetu humu kama tungekutwa na mazingira yake, tungekua tumepita nao but jamaa wala! What about Hilda? Kajilengesha sana, Zanzibar ndio was worse but jamaa alijikaza. Bado sioni kama mwandishi anaweza kuitwa malaya, sidhani
 
Dah! Balaa hili..
 
Hivi Asmaa hajanasa kweli? I doubt. Wanawake wakiwaga kwenye siku za HATARI huaga wana ng**e sana; wakati mwamba kavurugwa na mama J is like Asmaa was so horn. Ngoja tuendelee kusoma; mwamba nae ni kama Ana aleji na KINGA kabisa
 
Thanks Brother INSIDER MAN
Binafsi nimejifunza mengi kuhusiana na hii stori yako.
Let me point out few things I have learned till now basing on your story
1. How to find connections - (direct)Be a smart Uber or Bolt, though market is saturated by bajajis but you gotta play Smart.
2. How to start a business - Jane's Business and yours as well. I don't need a fancy website, logo, big (new)idea, and even official registrations and stuff. I need few calculated risk idea and get the f*ck up my a** and execute it, off coarse you gonna need some cents too and not a hungry stomach.
3. A way around women. Hahah here I got nothing to say b'se I have no experience, but going SA for your mrembo wa ajabu for me didn't make sense.
4. Business Ops, Man you are good at it, either making decisions, Trust, leading a team and n.k. Other readers here are my witness.
5. The way you face your problems heads on.

Na mengine mengi.

For readers, If you are looking for a Finance/account assistant, Tax Associate/specialist, Account payable/receivables Look no further because I am here.
I have one year experience as Finance Assistant.

You have a problem on tax issues like Tax Assessments and Returns i.e VAT return I got your back.

You have a problem on Other returns like NSSF and WHT, I got your back.

You have a problem with your Payroll system, I got your back.

You have a problem on how you do international transfers and even local payments. I am here

You have a problem with how your petty cash operates, I am happy to help.

You have a problem with standard procedures for your finance operations, we are going to fix.

If you hire me on your finance team, you are going to be assured that you have someone strong enough to fix these problems.

✓Graduated 2O23, Customs and Tax Management from Institute of Tax Administration.
This means if you're importing or exporting, lucky you, I will break HS code, Customs laws like EACCMA, 2004, Rules of Origin and up to Ecoterms, so that we can get around with customs authorities.

We are in digital era running to a high speed on Automation, and you don't need to feel like you are lagging behind, Just let me be solutions to these problems.

Thanks INSIDER MAN for the amazing story of yours. i am inspired, motivated and I am ready to live not to survive.
 
Mbuzi kafia kwa muuza supu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…