Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

I saw this as well before; mwamba anatembea kwenye road map ya Mungu Bila kujua; maombi ya bimkubwa hayo
 
Bora iryn amerudi kwenye scene
 
Big up dogo
 
Oyo INSIDER MAN imekuwaje JIMMY WANA MAN na dadake IRYN wakakupata kwenye laini yako mpya? Wakati huo ulikuwa unatumia laini mpya pekee man.
Kama Namba mpya umesajili kwa Nida yako mbona namba anaipata fresh kabisa kupitia kwa namba yako ya zamani

Nenda tu kwa wasajili Line na namba ya zamani, wanaipta nida na orodha ya namba zako za mtandao husika
 
Tabia yako ya huruma huruma kwa wanawake .. Jibadilishe.. Unaboa.. Umeniboa tangu uanze na A.. Haujiheshimu kabisaaaa wale wanawake zako.. Unawazunguka.. M sister wa P.. Mama J kapata mume bomu.. Aishi tu na wewe kwa maslahi tu na lazima nae amekujua amwnyamaza ale maisha.. Magonjwa omba yasikujie.. 😊
 
I saw this as well before; mwamba anatembea kwenye road map ya Mungu Bila kujua; maombi ya bimkubwa hayo
Kabisaaa yani. Mambo huwa sio mepesi namna hii kwa kutumia tu akil zako, japo ana hustle ila sio kwa bahat hiz za kila unachogusa kina slide simply kihiv. Kuna watu wana hustle aisee ila ngoma ngum balaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…