Mwamba ameleta CPA review humu zinaanza kusababisha kichwa kuuma πππNaona mwanafunzi wa accounting Kesha Anza practice motomoto π
Hawez kupisha maana ndo sterling akiondoka na story imeishaBora angeendelea kutoonekana tu maana Mary akisha take over na aka cover nafas vizur tuu. Irene angetupisha tu
Kama unaweza kuhesabu aliolala nao na kumuona wa hovyo basi elewa aliowakataa hawahesabiki wanaweza jaa behewa za SGR ya mama.Tabia yako ya huruma huruma kwa wanawake .. Jibadilishe.. Unaboa.. Umeniboa tangu uanze na A.. Haujiheshimu kabisaaaa wale wanawake zako.. Unawazunguka.. M sister wa P.. Mama J kapata mume bomu.. Aishi tu na wewe kwa maslahi tu na lazima nae amekujua amwnyamaza ale maisha.. Magonjwa omba yasikujie.. π
Mwamba katuwakilisha vyema kabisa,Na huyu insider katuwakilisha sawia! Tumemla Mary leo.
kwani we inakuuma nn au na ww unautakaTabia yako ya huruma huruma kwa wanawake .. Jibadilishe.. Unaboa.. Umeniboa tangu uanze na A.. Haujiheshimu kabisaaaa wale wanawake zako.. Unawazunguka.. M sister wa P.. Mama J kapata mume bomu.. Aishi tu na wewe kwa maslahi tu na lazima nae amekujua amwnyamaza ale maisha.. Magonjwa omba yasikujie.. π
kuna.kaz nying za kufanya kijana sio mpaka uwaze kias hko.kjanaINSIDER MAN left us in suspense, eager to know your impending predicament. Bring the next episode ASAS
Hii itakaa vizurNaomba mmoja anielekeza namna ya kuweka link kwenye kila mwisho wa Episode. Naona App imebadilika sana sio kama zamani.
Kama hauna mwanamke kupata mwanamke huwa ngumu Sana.wanawake bhana ni watu wa ajabu sana!! Mtu unajua kabisa kuwa huyu mtu ana mke na mtoto, kisha unajua kabisa kuwa huyu huyu alimbebesha mimba mdogo wako tumbo moja, na kama hiyo haitoshi bado akakusimulia matatizo yake kuwa kambebesha mimba mwanamke mwingine tena Iryn. Sasa wewe una akili timamu kweli unapolazimisha kwenda kulala kwake? Yani eti friend mwanamke akalale chumba kimoja na friend mwanamme... Dah aibu nimeona mimi..
Wanawake mnajirahisisha sana mpaka mnatia kichefuchefu..hata kama una thamani, ukijirahisisha hivi thamani yako inashuka sanaa....
Halafu eti unasema ni wife material, hakuna wife material hapo ndugu yangu...wife material hawezi kujipeleka kwa mwanaume unayejua kabisa kuwa ana mke na michepuko ya kutosha... hilo ni chaka linginama hauna mwanamke kupata mwanamke huwa ni ngumu San
Huyu nani tena jamaniπ€·π»ββοΈπ€·π»ββοΈ
π€£umekuwa mjingaUnakula tu , unatuambia tujizuie??
Mary huyu ama?π€·π»ββοΈπ€·π»ββοΈ
Wiki ya moto balaaMwamba katuwakilisha vyema kabisa,
Hii week imekua njema huku INSIDER MAN na Mary kule Analyse aka apostle na Katrina
Ahahah mbona aliondokaHawez kupisha maana ndo sterling akiondoka na story imeisha
Lifisi limefurahi jamaniHii ya leo ni moja ya episode tamu kuliko zote Mary kuliwa kama vile namla mimi nimeinjoy sana umejua kutuwakilisha
Hapo hapo Mary kakubali kuwa mchepuko na the Queen is back π₯
Mshangazi Shunie unasemaje kigongo cha leo?
Haya.
Jamaniiii hadi wivuWakati nasoma hii episode kuelekea kwenye mechi na Mary, nilishangaa mnara wangu unasoma as if na mimi ni mchezaji
Itoshe kwa kusema hiviWanawake mnajirahisisha sana mpaka mnatia kichefuchefu..hata kama una thamani, ukijirahisisha hivi thamani yako inashuka sanaa