Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

ujue we inakuuuma snaa aiseee kwa mm navoona yan imekuuma sana sjui unataman ungekua ww
ila nais hauna standards za marry ndo mana loho inakuchonyota
 
Jane yeye amezoea hayo maisha coz ameishi na mume wa mtu na ndie aliyempa maisha so huwezi ukategemea atakua na ushauri mzuri kwa kina Mary... angekua mwingine angemshauri atafute pahala kwa kuzipeleka hisia zake na si kwajamaa ambae tayari ako na familia ila yeye ndio kwanza anawaunganisha ili wakulane πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
ushuri ndo nn mkuu
 
Eti "Insider una nyota kali sana"

Hii story imejaaa uhaya mwingi sana πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
ujue we inakuuuma snaa aiseee kwa mm navoona yan imekuuma sana sjui unataman ungekua ww
ila nais hauna standards za marry ndo mana loho inakuchonyota
Kwani cocochanel unataka vipi ? Au haujui msema kweli ni Mpenzi wa Mungu? Insider anaeleza aliyoyafanya sasa wewe unataka asiandike ili akiridhishe wewe? Tafadhari acha kumnyooshea mwenzako kidole wakati vidole vitatu vinakuangalia wewe
 
ujue we inakuuuma snaa aiseee kwa mm navoona yan imekuuma sana sjui unataman ungekua ww
ila nais hauna standards za marry ndo mana loho inakuchonyota
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
U yeah wewe uko sawa upstairs?

Mary kumlala shem wake ndio niumiie!!!

Wewe umeumia ka vile muhusika.. Vipi ya ID hii ikupeleke mbali kushindwa vumilia?

🀣🀣🀣🀣🀣 Pole hujiheshimwu kabisa.. Udongo
 

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kabisaaaa
Tena ameyafanya kwa bidii..
Mshauri mkubwa wa Mary
 
hainaga ushemeji tunakulaga
zamu ya nan leo zamu ya marry zamu yako itakuja kesho kuliwa insider uskonde
na prisca kapita iryne kapita mama j kapita na mpaka wewe utapita
 
Ukimsoma Jane BTW the line huwezi kumlaumu; Jane aligundua kama Mary anampenda Insider, Jane alijua kabisa kwamba INSIDER amepiga sana mdogo wake na Mary again Jane alienda mbali zaidi kwa Mary kwamba, "huyo shemeji yako kaoa; yaani ana mke" [Kama utakumbuka Mary alimfokea sana siku 1 bwana mwandishi] but Mary alivoji reset akaendelea kua na hisia kali kwa mwamba, hisia hizo hizo alizidi kuzionesha kwa Jane; mlitaka Jane afanyaje? Again, by nature wanawake almost wote uliwafanyia WEMA huaga ana hisi ana deni na wewe na atatafuta namna akulipe; wanawake wanajua the most gift to give to a man is her cocuchie, sio pesa wala nini; ni HICHO. Mary kaona INSIDER ana utu, ana huruma sana na anajali mno; that's a man of any woman's dream. Kampa kiroho Safi kabisa na vitu vya thamani kamnunulia yaani
 
Muache kaka wa watu afaidi matunda ya uber bwana
 
Hatari yani
 
Well
Well said Yani a woman will do so akiamni kwamba ndo the best thing kwake kuitoa as a woman...kimtindo kaka mkubwa hapo kaongea point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…