Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Sisi wanaume wenzie tunamuelewa; wewe ni mwanamke huwezi kuelewa hili. Iryn alijilengesha mwenyewe kwa mwamba, yeye alimtongozaga Asmaa na wakapiga show na enzi hizo wala hakua mwajiriwa wa kampuni, alikua just dereva wa kukodi kwa boss lady; huyu angekua muhuni angewala wote; don't pretend kwamba hukumbuki yule domo kaya shombe shombe wa Kitanga, alichojoa hadi pichu na muhuni aliishia kukanyonya vifuu vya nazi akasepa, binti anamtaka mwamba hadi leo na jamaa hataki. Zambia kule kwa baba yake, angekua malaya angemla yule mpishi wa baba yake but hakufanya hivo. Mary huyu angeliwa siku nyingi sana but mwamba kajizuia hadi kashindwa, only men will understand his situation, what about Vicky mdogo wake na Jane? Kaenda nae hadi Club, mtoto anataka but dogo kakaza, one day wakiwa so excited baada ya Jane kujifungua, kampiga denda mtoto akalegea but still alijizuia kufanya chochote bado tunamlaumu kwamba malaya? No. Jamaa anastahili kupongezwa
😅😅😅
Hata uandike nini nawe kama yeye..

Juu ya Mary na Prisca.. Hajajiheshimu kabisa.. Hata Mary shameful woman

Vitoto vya wenzie atakuwa amekoma.. Jambo la mama wawili limesaidia kumrudishia akili fulani la sivyo kama hadi leo hajapiga Vicky basi alipata fundisho

Jane mchafuzi wa Mama J
 
ujue we inakuuuma snaa aiseee kwa mm navoona yan imekuuma sana sjui unataman ungekua ww
ila nais hauna standards za marry ndo mana loho inakuchonyota
 
😅😅😅
Hata uandike nini nawe kama yeye..

Juu ya Mary na Prisca.. Hajajiheshimu kabisa.. Hata Mary shameful woman

Vitoto vya wenzie atakuwa amekoma.. Jambo la mama wawili limesaidia kumrudishia akili fulani la sivyo kama hadi leo hajapiga Vicky basi alipata fundisho

Jane mchafuzi wa Mama J
Jane yeye amezoea hayo maisha coz ameishi na mume wa mtu na ndie aliyempa maisha so huwezi ukategemea atakua na ushauri mzuri kwa kina Mary... angekua mwingine angemshauri atafute pahala kwa kuzipeleka hisia zake na si kwajamaa ambae tayari ako na familia ila yeye ndio kwanza anawaunganisha ili wakulane 😆😆😆😆
 
Jane yeye amezoea hayo maisha coz ameishi na mume wa mtu na ndie aliyempa maisha so huwezi ukategemea atakua na ushuri mzuri kwa kina Mary... angekua mwingine angemshauri atafute pahala kwa kuzipeleka hisia zake na si kwajamaa ambae tayari ako na familia ila yeye ndio kwanza anawaunganisha ili wakulane 😆😆😆😆
ushuri ndo nn mkuu
 
Back
Top Bottom