phantomnation
Member
- Jun 8, 2022
- 58
- 106
Arostoooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁Vijana mkoa wa Mwanza mnalombana sana, mjitathimini
Hahaha50 people were here
na dkk 40.Saa sita hii.
Ma J unasaidiwa ,we wala usiwe na wasiwasi ndo mana majibu yake mafupi"we endelea tu"Ma J ✔️
Alichelewa sana kutoka samaki samaki akalala kwa asmaa...macbook ipo kwa mama J so anamalizia kula coochie ya asmaa ndo akatuwekee mzigo ..hahahana dkk 40.
😅😅😅Sisi wanaume wenzie tunamuelewa; wewe ni mwanamke huwezi kuelewa hili. Iryn alijilengesha mwenyewe kwa mwamba, yeye alimtongozaga Asmaa na wakapiga show na enzi hizo wala hakua mwajiriwa wa kampuni, alikua just dereva wa kukodi kwa boss lady; huyu angekua muhuni angewala wote; don't pretend kwamba hukumbuki yule domo kaya shombe shombe wa Kitanga, alichojoa hadi pichu na muhuni aliishia kukanyonya vifuu vya nazi akasepa, binti anamtaka mwamba hadi leo na jamaa hataki. Zambia kule kwa baba yake, angekua malaya angemla yule mpishi wa baba yake but hakufanya hivo. Mary huyu angeliwa siku nyingi sana but mwamba kajizuia hadi kashindwa, only men will understand his situation, what about Vicky mdogo wake na Jane? Kaenda nae hadi Club, mtoto anataka but dogo kakaza, one day wakiwa so excited baada ya Jane kujifungua, kampiga denda mtoto akalegea but still alijizuia kufanya chochote bado tunamlaumu kwamba malaya? No. Jamaa anastahili kupongezwa
How?Jane mchafuzi wa Mama J
ujue we inakuuuma snaa aiseee kwa mm navoona yan imekuuma sana sjui unataman ungekua ww😅😅😅
Hata uandike nini nawe kama yeye..
Juu ya Mary na Prisca.. Hajajiheshimu kabisa.. Hata Mary shameful woman
Vitoto vya wenzie atakuwa amekoma.. Jambo la mama wawili limesaidia kumrudishia akili fulani la sivyo kama hadi leo hajapiga Vicky basi alipata fundisho
Jane mchafuzi wa Mama J
,🤣🤣🤣Alichelewa sana kutoka samaki samaki akalala kwa asmaa...macbook ipo kwa mama J so anamalizia kula coochie ya asmaa ndo akatuwekee mzigo ..hahaha
Jane yeye amezoea hayo maisha coz ameishi na mume wa mtu na ndie aliyempa maisha so huwezi ukategemea atakua na ushauri mzuri kwa kina Mary... angekua mwingine angemshauri atafute pahala kwa kuzipeleka hisia zake na si kwajamaa ambae tayari ako na familia ila yeye ndio kwanza anawaunganisha ili wakulane 😆😆😆😆😅😅😅
Hata uandike nini nawe kama yeye..
Juu ya Mary na Prisca.. Hajajiheshimu kabisa.. Hata Mary shameful woman
Vitoto vya wenzie atakuwa amekoma.. Jambo la mama wawili limesaidia kumrudishia akili fulani la sivyo kama hadi leo hajapiga Vicky basi alipata fundisho
Jane mchafuzi wa Mama J
ushuri ndo nn mkuuJane yeye amezoea hayo maisha coz ameishi na mume wa mtu na ndie aliyempa maisha so huwezi ukategemea atakua na ushuri mzuri kwa kina Mary... angekua mwingine angemshauri atafute pahala kwa kuzipeleka hisia zake na si kwajamaa ambae tayari ako na familia ila yeye ndio kwanza anawaunganisha ili wakulane 😆😆😆😆
Na wanajua kuhonga aisee. Wasukuma ni noma anaweza uza ng'ombe za urithi kumbe nia na dhumuni ni kumnunulia demu iphone ili apewe coochie tu.Vijana mkoa wa Mwanza mnalombana sana, mjitathimini
Masuala ya Mwanza yameingiaje hapa weww JamaaVijana mkoa wa Mwanza mnalombana sana, mjitathimini