Euphra
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 623
- 1,503
Insider alishampotezea kitambo baada ya kuona anajipa umuhimu sana kwenye huu uzi 😅Kwani cocochanel unataka vipi ? Au haujui msema kweli ni Mpenzi wa Mungu? Insider anaeleza aliyoyafanya sasa wewe unataka asiandike ili akiridhishe wewe? Tafadhari acha kumnyooshea mwenzako kidole wakati vidole vitatu vinakuangalia wewe