Insider alishampotezea kitambo baada ya kuona anajipa umuhimu sana kwenye huu uzi 😅Kwani cocochanel unataka vipi ? Au haujui msema kweli ni Mpenzi wa Mungu? Insider anaeleza aliyoyafanya sasa wewe unataka asiandike ili akiridhishe wewe? Tafadhari acha kumnyooshea mwenzako kidole wakati vidole vitatu vinakuangalia wewe
😁😁😁INSIDER MAN saa 20:45, 30 People are here unawaumiza watu roho. Toka huko Samaki samaki uje uwapostie bhana
Jaman Kwan hizo episode ziliendlea maana me nimeishia ya 29Hii episode imenitoa machozi . Ila basi tu.
Kiykweli nilikuwa nikiombea nisikie kuhusu alyne
BadoHiv mwendelezo tayar
Mara nyingi we jamaa ahadi zako huwa hutekelezi kwa wakati sahihi hasa ktk iz chapisho zako za mwisho mwisho, KWANN🗣️Kesho tutaendelea 10:00 AM
Mwamba au ni sababu Arsenal Tumedraw leo, Bado ligi mbichi hebu tushushie Kamanda nakukubali sana Mkuu wangu wakaziIrene ndio mpango mzima
Kumbuka anapiga shule 2, anafanya masters while pia anafanya mitihani ya Nani Bingwa Aje Aone (NBAA ) wakati huo huo ana watoto 3 wanamtegemea; tumvumilie.Mara nyingi we jamaa ahadi zako huwa hutekelezi kwa wakati sahihi hasa ktk iz chapisho zako za mwisho mwisho, KWANN🗣️
Ktk izo chapisho umekuwa ukiahidi saa flani ila ulipitiliza hadi kesho yake.
Hivyo mpaka sasa sishangai kwa hili kuto kutendeka.
Ata hvy katoa ahad yey mwenyw Bora asingtoa muda tuKumbuka anapiga shule 2, anafanya masters while pia anafanya mitihani ya Nani Bingwa Aje Aone (NBAA ) wakati huo huo ana watoto 3 wanamtegemea; tumvumilie.