Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Moja ya Episode zilizonisumbua kuandika ni pamoja na hii kwenye namna ya kuiwasilisha.
Umetisha sana; story nzuri yenye kila aina ya mafunzo. Sijui kama uliisha mjaza mimba Mary but kama bado, please don't do it. Itakuondolea heshima kwa bibi wa mjukuu hata mama yake mdogo Prisca, pia utakua umetengeneza ugomvi kati Yao
 
Jimmy bonge la mtu,hajui kuremba na anampa ushauri shemu wa mchongo aendelee kumf....ck dada yake
Nilicheka sana niliposoma hiyo; Jimmy ana uzungu mwingi sana wallah. Halafu na yeye ana mtoto kazaa na Mhabeshi mwenzie but hampendi mama wa mwanae; ndio maana wala haoni shida kwa "shemeji" yake wa mchongo
 
Mtu anayepinga hili ajiulize Kama alifurahia kulelewa na mzazi mmoja,Kuna psychological strengthening anapata from both genders kwa makuzu ya yeye kukua ndio mana ni rahisi kumjua mtu hata ukubwani aliyelelewa na single parent
 
Mary; Unawezaje kumudu wanawake watatu kwa wakati mmoja

Insider man;
 
uzi sijafika ht robo ila nakubaliana na ww ktk hili asee
 
Unajua maana ya mgawanyo wa kazi,au unafikiri kila kitu kinapaswa kufanywa na wote ?
Daa; tumetofautiana sana namna tulivyo lelewa wallah. Nimeanza kupika since nasoma msingi; hadi naoa already nilikua nina miaka 29, muda wote wakati najitafuta sikuwahi kua n housegirl; mama yangu alinifundisha kupika kila kitu though wakati najitegemea kuna baadhi sikuwahi kuvipika or kuvitengeneza; wewe ni mwenyeji wa kanda ya Ziwa? Right? Hasa mikoa ya Shinyanga, Mwanza or Simiu? Wazazi wa kule ndio wanafundishaga hivo watoto wao wa kiume, tofauti na mikoa mingine
 
Usiwe serious sana hii ni hadithi tu. Soma na iache hapahapa mkuu.
 
Tatizo lipo kwa anayebeba mimba.
Anayajua yote hayo na anakubali kubeba mimba.
 
Ukioa utakuwa unapika ?
 
Moja ya Episode zilizonisumbua kuandika ni pamoja na hii kwenye namna ya kuiwasilisha.
saluti kwako mkuu you are the best storx teller. Story yako imekuwa sababu ya wengi kuperuzi jamii forum. Kuna watu huwa wanakuambia maliza tu hii story, ajabu ni kwamba siku hii story ikiisha watu haohao watataman ingeendelea. Endelea kutusimualia visa vyako vya kuburudisha na kuelimisha. Uandishi wako unamkumba mtu anaingia ndani ya stor anakuwa kama muhusika yaani kama movie vile. Thank you brother wewe ni muungwana.
 
Anajua sanaa nampa maksi zangu zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…