Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

INSIDER MAN
Kusema kweli kwa upande wangu umeni inspire sana, Ombi langu ukimaliza hii story. Uanzishe thread ya kuwa unatufanyia mentoring pale tutakapokuwa tunauliza maswali au utakuwa unaandika makala sio ya maisha ya kimapenzi ila ilenge sana kwenye biashara, uchumi, uwezekezaji na utunzaji wa fedha. Na sisi tutauliza maswali ili utupatie ufafanuzi.
Ombi langu 🙏
 
Halafu huyu nashindwa kumuelewa hivi ni wapi hapa Tanzania ni mjini wakati vyote ni vijiji tu, ama yaliyomo huko dar ndio anajiona mjanja akakulia mjini. Sijui angezaliwa na kukulia New York sijui ndio angesema mjini ipi.

 
Kula kimasihara kumehusika hapa😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…