Nourhan
JF-Expert Member
- Apr 7, 2023
- 1,234
- 3,130
Usiongee kitu usicho kijuaHiyo Kabul pilao unatulisha roho za mauti nini? Ni sawa na jamaa muvaa jezi imeandikwa Sanda.
Kwanini usingetumia lugha nyingine sister japo hiyo picha nyingine ya viazi na hilo sotojo, dah umeamsha minyoo yangu asubuhi hii.
Unataka nitumie lugha ipi wakati ndo jina lake si uende google🔍
Ni Kabul sio Kaburi.
Kabul ni mji
Kaburi anazikwa mtu vitu 2 tofauti.