Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 4,074
- 6,617
Kuipambania ofisi ambayo bosses hamuelewani ni kazi ngumu mnoo. Ufanisi unapungua na confidence ya kufanya maamuzi inapotea. Unaachiwa jumba bovu likuangukie. Ni ngumu kushughulika na management ambayo mpasuko umeanzia kwenye mahusiano tena kwa top supervisor.Asante sana.
Jambo moja ulilokosea hukupaswa kuchukua mapumziko kipindi hiki kigumu ofisini. Kipindi hiki kigumu ndio ilikuwa muhimu sana uwepo wako ofisini na upambanaji wako ulihitajika sana sana kwa kipindi hiki. Hapa ilitakiwa kila wakati,kila muda unapatikana ofisini kwa kipindi hiki.