Nelly Willy
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 578
- 1,201
Malaya kajichanganya hapa kwa jamaa la kijaluo lina miguu kama banio la ugali imejitokeza nje kawekwa bolo kalia aiiiiiii
Ahadi za INSIDER MAN huchelewa kutimizwa.Tujipange tu kesho
Huyo Kenge anajikutaga sana,mpaka abembeleeezweAhadi za INSIDER MAN huchelewa kutimizwa.
Dah. Kenge tena!Huyo Kenge anajikutaga sana,mpaka abembeleeezwe
Dah nimejuakwann tuliambiwa tusome ngosw.Leo nitashabikia Ethiopia 🇪🇹. Then tukutane baada ya mechi.
Kinachokufanya mpaka umtukane mwenzako ni nini? Afya yako ya akili iko sawa?Huyo Kenge anajikutaga sana,mpaka abembeleeezwe
Wewe ni KIAZI 🥔Leo nitashabikia Ethiopia 🇪🇹. Then tukutane baada ya mechi.
Watu mna hasira. Kwani baada ya mechi si inaweza kuwa hata week ijayo? 😁😁😁W
Wewe ni KIAZI 🥔
Uzi wenyewe tunasoma bure, hatumlipi wala JF hawamlipi but bado unamtukana! Interesting.Huyo Kenge anajikutaga sana,mpaka abembeleeezwe
Wameongezeka wawili Jumla 16😁14 people are here
Kuna mtoto wa 3?? Ukiacha wa Irene Mama J kuna mwingine 😁shangazi sina habari 😁Uzi wenyewe tunasoma bure, hatumlipi wala JF hawamlipi but bado unamtukana! Interesting.
I can bet; INSIDER MAN ana andikaga hu uzi akiwa kajificha mama J asione ana post nini mtandaoni; mmejiuliza siku 1 mama J aje agundue kama mwamba kapiga show na madem hao wote nini kitatokea kwa ndoa yake? Halafu baadhi kapanga kabisa kuwapiga na mimba? What about Asmaa, remember hadi pilau la Christmas alikulaga kwa mama J but mama J hata hajui kama yule nae alikua mke mwenza. Wanaume wenzie tunamuelewa sana; tumsubiri. Again, kipindi cha likizo cha review za paper la NBAA (Nani Bingwa Aje Aone ) kimekwisha, dogo bado anapambania CPA yake na ana watoto 3 wanaojulikana, tumvumilie.
Watoto wengine huaga wanajulikana siku mwanaume anapelekwa kaburini. Anyway, aliwahi kuliandika hili wakati kaianza season 2; juzi pia hapa alitupia message za mwanamke 1 ambaye inahisiwa atakua mama J so huenda tayari J ana wadogo zake 2.Kuna mtoto wa 3?? Ukiacha wa Irene Mama J kuna mwingine 😁shangazi sina habari 😁
Ok Asante nakumbuka alisema kapata mtoto nikajua Irene kajifungua ila tujiulize yanini wakati INSIDER MAN yupoWatoto wengine huaga wanajulikana siku mwanaume anapelekwa kabuni. Anyway, aliwahi kuliandika hili wakati kaianza season 2; juzi pia hapa alitupia message za mwanamke 1 ambaye inahisiwa atakua mama J so huenda tayari J ana wadogo zake 2.
Story inaendelea...., bahati mbaya ni kama story inaelekea ukingoni cause alisema, story itaishia mwezi June 2023 na ndio tumeianza June hiyo.Ok Asante nakumbuka alisema kapata mtoto nikajua Irene kajifungua ila tujiulize yanini wakati INSIDER MAN yupo
mahusiano
biashara
kazi
kula bata yaani kuishi
uaminifu
uthubutu nk