Doto12
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 787
- 1,394
INSIDER MAN ni muda wa kutengeneza pesa MANSijakuelewa hapo uliishia
Labda kama mganda amekupa sharti la kutoa toa kama pesa
INSIDER MAN ni muda wa kutengeneza pesa MANSijakuelewa hapo uliishia
Pole!...sote tu wapitaji tu.Tarehe ya Leo mwanamke niliyempenda sana alifariki. Rest In Peace.
Pole sanaTarehe ya Leo mwanamke niliyempenda sana alifariki. Rest In Peace. 😭
InSiDeR unatutisha mwanamke uliempenda sana🤔natumai sio iryn lakni kwamba alkufa wakati anajifungua ama??? Mmh insider sterling Hafi lakini😁👐Tarehe ya Leo mwanamke niliyempenda sana alifariki. Rest In Peace. 😭
Pole sana Kwa Hilo lakini🙏Tarehe ya Leo mwanamke niliyempenda sana alifariki. Rest In Peace. 😭
Hongera, nawanao bila shaka watafata mkondoBeautiful without brain 😁maisha yangu sizalishwi bila ndoa toka usichana nakwepa na sio ndoa ili mradi ndoa yaani nikuone unafaa kuwa baba na mume hauna mambo mengi,mume wa kwanza tuliowana tukajaaliwa watoto wa 2 tukaachana alipo anza mambo ya wanawake nikasepa mume wa 2 alificha makucha kukaa nae ndani alinionesha mapicha picha nikasema sizai ng'ooo 2013 tukaachana nikasema sasa natuliza komwe langu mpaka 2021 nikaolewa na mume wa sasa tuna watoto wa 2 Alihamdulillah hapa naona kifo tena ndo kitatutenganisha mume wangu katulia hana mambo mengi kazini home baba bora na mume bora kwangu may be umri wake unachangia kashamaliza ujana.nae kuniowa kasota sanaa miaka 10 anaimba aniowe hapo nachuja nani awe mume wangu mpaka kifo 😁nilikuwa pisi kali sasa mshangazi.
Mary haaaaaaaaa!!!
Na kujua hapewi vitu kisa Iryn yeye bado yumo.. Duh!!!!
Udespereti gani huo na mwanaume ameisha lala na mdogo wake.. Yanatoka lini kwenye story Prisca amdake amkomeshe..
Jane kungwi haswaaaa
Iryn atakudaka kusema au atanyamaza nawe akutumie tu atengeneze pesa. Manager/Director
Ila anapolipa siku hizi unasema mkalipia 😅😅😅
Enjoy life 🍸🍻
Amiin Baba yangu alikuwa Mcha Mungu si unajua wazee wa Kimanyema halafu Mama msomali tena yule mwenyewe Somaliland ilichangia sana kwenye malezi wakali na mimba Mungu anipe afya na umri hint yangu nimlee kwenye misingi mizuri itakayo msaidia kwenye maisha yake.Hongera, nawanao bila shaka watafata mkondo
Nambie
pole sana mkuu, vipi ni nani huyo aliyefariki?Tarehe ya Leo mwanamke niliyempenda sana alifariki. Rest In Peace. 😭
Ni WIVU tu
Kaka kwenye hii story kwa namna tulivyotoka nayo mbali tunaomba Iryn asije akafa , nibora ubadilishe hata kwakutudanganya ila asife 😁Tarehe ya Leo mwanamke niliyempenda sana alifariki. Rest In Peace. 😭
Tarehe ya Leo mwanamke niliyempenda sana alifariki. Rest In Peace. 😭
Kaka kwenye hii story kwa namna tulivyotoka nayo mbali tunaomba Iryn asije akafa , nibora ubadilishe hata kwakutudanganya ila asife 😁
Wanawake uliowapenda sana ni wawili kwa story hii tunayoenda nayo. Mama mzazi na Iryn. Nafikiri Story inaenda kuishia kwenye hiki kifo. Maliza mzee iishe tuTarehe ya Leo mwanamke niliyempenda sana alifariki. Rest In Peace. 😭
Tarehe ya Leo mwanamke niliyempenda sana alifariki. Rest In Peace. 😭