Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mary amemtamani mwanaume wa mdogo wake.. Hilo hata useme nini na sifa zipi yeye ni tamaa tu za kufunzwa na Jane. Tabia mbaya na chafu sana, roho mbaya huyo ana wivu na mdogo wake. Hata kama yukoje ni bomu ndani ya familia yao.

Hakuna cha wife material mtu ukajivunia.. shemeji wa mwanaume wake atamlala tu.

Tabia bila kujiheshimu ni sifuri kwangu.

Wewe ni player kisa ukaenda kununua vitu vya ndani, nanyi wanaume wategemea wanawake muishi mna majambo ya ajabu kisa K tu.

Mwanaume nae tamaa tu hajiheshimu kwa hili.
Daah umeandika kwa uchungu sana
 
Apumzike kwa amani Sanchi
Sidhani kama ni Sanchi; according to the story; Sanchi kafariki mwaka hu 2024 so leo haiwezi kua siku ya kumbukumbu ya Sanchi hadi mwakani; but again, Sanchi hakuwahi kua mpenzi wake; huyu jamaa kuna sehemu aligusia kwamba story hi itakwisha kwa matukio ya hadi June 2023 which is where we are now. We all wish, huyu hayati asiwe tu Iryn
 
Karudie kumsoma
 
Tena mke wake ndie aliependekeza mumewe amuoe na mlpdogoake.

Hilo siwezi sijaishi nikiliona hivyo, lina pita huko mbali nasi. Mtoto unavyomlea.....

Siku zingine weekend wanakuja wote kushinda ghetto. Mpaka wanamaliza masomo ya secondary mwendo ulikuwa ni huo huo.

🤮🤮🤮
Nimesikia kinyaa.. Uchafu tu huo
Wivu lazima upo.. Tabia mbaya sana.. Najua yanatendeka ila ndio akina wa naona sawa tu. Hivyo wao wao, Sisi wengine sisi. Ndio maana wanawake wengi siblings wa ndani ya familia zao wanachukiana hata kuuana kabisaaa. Wivu ni wivu tu., Nawe mwanaume labda player tu.. Labda kama umekua kwenu unaona ni maishani inakubalika.. Hapo kila mtu atajiju na yake.. Otherwise.. Hata usemeje.. 🤮🤮🤮

Ni nyie tu wanawake wa aina ya Beijing ndio mnajifanya mna misimamo isiyo tibu mioyo yenu. Mnabaki mna hasira hasira. Ksbb kile unachokitamani kinachoweza kukupa furaha hukitaki sbb ya jeuri zenu na misimamo ya Beijing.
Aina ya Beijing ndio aina gani?

Aliyosema alikuwa sahihi kabisa niliitwa bae and husband wa familia. Ilinihitaji kufunga zip kwelikweli kushinda vishawishi. Ugomvi wa ndugu kutokana na kuingiliana kwenye mahusiano ni balaa.

Kama umefunga hadi leo na kulishinda pepo hilo, Hongera sana.

Nimekumbuka Mada za Mshana Jr juu ya mambo ya ngono ovyo ovyo.

Ila wengine malengo.. Watu hamjitambui.. Dunia ina mambo mengi na ya ajabu.. Nyota yako bado ipo salama na mengine kabisaaaa.. Hakuna tatizo?
y unaweza kudhani mwamba kamtaka Mary kwasababu ya vitu/pesa za Mary?

Ha ha haa
Tamaa, hasira za kuachwa na Iryn zilimtawala. Hakuwa anajielewa au naye ni kama wewe maana mmeenda sana hayo.

Sasa si analeta kuendeleza, subiri agandweeee na Mary kiwivu, mwanafunzi wa Jane mdangaji aliyebobea anamfunza.

mimi kama mwanaume bado namwona Insider anaweza sana ku control tamaa za mwili wake

😂😂😂
Kula sistaz ni u player tu.
Hakuna kujiheshimu.
Na yametoka familia inajiheshimu, why yeye.

Halafu akamuone Asmah nae ale tena, halafu nani tena!! 😂😂😂

Kila kona yumo.
 
Kwa wenye uelewa mzuri na hii story iryn ndo alofariki
Nasubiri zawadi yangu atakapoleta huu mkasa

@insiderman
Inawezekana ikawa Iryn kweli but ingawq Iryn inaonekana alizaa na alizalia SA; kule mwanzoni mwa season 2, INSIDER MAN aligusia kuhusu kuingia labor ili kutazama jinsi mwanamke anavyo jifungua but also aligusia kuhusu madaktari wanavyo zichezea K wakati wanazalisha. Ngoja tuendelee kusoma uzi
 
Beautiful without brain 😁maisha yangu sizalishwi bila ndoa toka usichana nakwepa na sio ndoa ili mradi ndoa yaani nikuone unafaa kuwa baba na mume hauna mambo mengi,mume wa kwanza tuliowana tukajaaliwa watoto wa 2 tukaachana alipo anza mambo ya wanawake nikasepa mume wa 2 alificha makucha kukaa nae ndani alinionesha mapicha picha nikasema sizai ng'ooo 2013 tukaachana nikasema sasa natuliza komwe langu mpaka 2021 nikaolewa na mume wa sasa tuna watoto wa 2 Alihamdulillah hapa naona kifo tena ndo kitatutenganisha mume wangu katulia hana mambo mengi kazini home baba bora na mume bora kwangu may be umri wake unachangia kashamaliza ujana.nae kuniowa kasota sanaa miaka 10 anaimba aniowe hapo nachuja nani awe mume wangu mpaka kifo 😁nilikuwa pisi kali sasa mshangazi.
Waume wa3 na na watoto wa baba tofauti , kiufupi we ni malaya tu
 
Waume wa3 na na watoto wa baba tofauti , kiufupi we ni malaya tu
Jiheshimu bro kuwa nyuma ya keyboard haikupi uhalali wa kukashfu mtu niliolewa ndoa halal nikazaa two handsome baby boy mume aka Anza uhuni wanawake baada ya kupata pesa ulitaka nikae kwenye ndoa mpaka niletewe ukimwi???

Nikaolewa ndoa ya 2 Kuna tabia hakuzionesha awali akazionesha kwenye ndoa nikute picha za uchi za wanawake meseji akawa halali ndani nikaamua sizai nikasepa ulitaka nikae niletewe Ukimwi nikaondoka 2013 nikaamua kitulia mpaka 2021 nikaolewa na mume wangu wa sasa Alihamdulillah hatimae nimepata mume bora hana mambo mengi alishamaliza ujana wake alitaka mtu wa kutulia nae wajenge familia kadhalika upande wangu kwahio umalaya wangu kuolewa?! Kwahio niolewe halafu nisizae eti umalaya??
 
Mpuuze huyo kijana bado mvulana hajajua mambo ya ndoa, aingie aanze kufanya umalaya aone kama mke atasalia kama sio kuomba talaka
 
L
Hilo siwezi sijaishi nikiliona hivyo, lina pita huko mbali nasi. Mtoto unavyomlea.....

🤮🤮🤮
Nimesikia kinyaa.. Uchafu tu huo
Wivu lazima upo.. Tabia mbaya sana.. Najua yanatendeka ila ndio akina wa naona sawa tu. Hivyo wao wao, Sisi wengine sisi. Ndio maana wanawake wengi siblings wa ndani ya familia zao wanachukiana hata kuuana kabisaaa. Wivu ni wivu tu., Nawe mwanaume labda player tu.. Labda kama umekua kwenu unaona ni maishani inakubalika.. Hapo kila mtu atajiju na yake.. Otherwise.. Hata usemeje.. 🤮🤮🤮

Aina ya Beijing ndio aina gani?

Kama umefunga hadi leo na kulishinda pepo hilo, Hongera sana.

Nimekumbuka Mada za Mshana Jr juu ya mambo ya ngono ovyo ovyo.

Ila wengine malengo.. Watu hamjitambui.. Dunia ina mambo mengi na ya ajabu.. Nyota yako bado ipo salama na mengine kabisaaaa.. Hakuna tatizo?

Ha ha haa
Tamaa, hasira za kuachwa na Iryn zilimtawala. Hakuwa anajielewa au naye ni kama wewe maana mmeenda sana hayo.

Sasa si analeta kuendeleza, subiri agandweeee na Mary kiwivu, mwanafunzi wa Jane mdangaji aliyebobea anamfunza.

😂😂😂
Kula sistaz ni u player tu.
Hakuna kujiheshimu.
Na yametoka familia inajiheshimu, why yeye.

Halafu akamuone Asmah nae ale tena, halafu nani tena!! 😂😂😂

Kila kona yumo.
Liwa ww bas mana inakuuma sana
 
Back
Top Bottom