Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
Hapa ukweli umemuonea dogo. Hakufanya hivo kwasababu ya kuachwa na yeyote; aliamua ku move on na kua busy na biashara zake; though ukimsoma again, alikua na uhakika na mkewe kwamba atarudi tu home. Ungenambia kuhusu Asmaa ningekuelewa kwamba alikua na hasira, tena hasira za mama J na sio Iryn; ukimsoma btn the line, wanawake ambao kawapenda sana humu huyu jamaa ni hawa wafuatao (kwa mtazamo wangu according to the story) wa kwanza ni mama Jr, Mary, Asmaa. Iryne jamaa hajampenda kiviiile zaidi ya kumsifia sana uzuri wake. Mapenzi yake kwake yamekuzwa na mtoto mtarajiwa but not her. Ila Mary jamaa kamuelewa sana; Asmaa mapenzi yamepunguzwa kidogo kwasababu ya ushauri aliopewa na chawa pro max da Lucy wa Michael Chain (Mikocheni ). If kama utakumbuka vizuri, "usimdanye mtoto wa watu akajenga hisia kali na wewe wakati huna mpango nae" hi statement mdogo wetu aliielewa sana.Tamaa, hasira za kuachwa na Iryn zilimtawala. Hakuwa anajielewa au naye ni kama wewe maana mmeenda sana hayo.
Sasa si analeta kuendeleza, subiri agandweeee na Mary kiwivu, mwanafunzi wa Jane mdangaji aliyebobea anamfunza.
Tuendelee kuburudika na vijana endeleeni kujifunza