Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Tamaa, hasira za kuachwa na Iryn zilimtawala. Hakuwa anajielewa au naye ni kama wewe maana mmeenda sana hayo.

Sasa si analeta kuendeleza, subiri agandweeee na Mary kiwivu, mwanafunzi wa Jane mdangaji aliyebobea anamfunza.
Hapa ukweli umemuonea dogo. Hakufanya hivo kwasababu ya kuachwa na yeyote; aliamua ku move on na kua busy na biashara zake; though ukimsoma again, alikua na uhakika na mkewe kwamba atarudi tu home. Ungenambia kuhusu Asmaa ningekuelewa kwamba alikua na hasira, tena hasira za mama J na sio Iryn; ukimsoma btn the line, wanawake ambao kawapenda sana humu huyu jamaa ni hawa wafuatao (kwa mtazamo wangu according to the story) wa kwanza ni mama Jr, Mary, Asmaa. Iryne jamaa hajampenda kiviiile zaidi ya kumsifia sana uzuri wake. Mapenzi yake kwake yamekuzwa na mtoto mtarajiwa but not her. Ila Mary jamaa kamuelewa sana; Asmaa mapenzi yamepunguzwa kidogo kwasababu ya ushauri aliopewa na chawa pro max da Lucy wa Michael Chain (Mikocheni ). If kama utakumbuka vizuri, "usimdanye mtoto wa watu akajenga hisia kali na wewe wakati huna mpango nae" hi statement mdogo wetu aliielewa sana.
Tuendelee kuburudika na vijana endeleeni kujifunza
 
Umeandika kama vile sijasoma na mimi!!! Eeeh Mary tabia mbaya sana amefanya. Hata uandike novel, tabia mbayaaaaaaa sanaaaaa, shameful woman.
 
😃😃😃😄😅🤣 to make the story short; kila mtu abaki na msimamo wake bhana; bado kwangu mimi Mary is a wife materials; ambacho tu sijakipenda kwa INSIDER MAN kutaka kumzalisha; Mary deserve better man than a married one though kama baba Jr angekua hajaoa, yes this could be a better couple than ever
 
Umejipata sasa kiupande fulani

Superb 😂😂😂
 
Beautiful without brain 😁maisha yangu sizalishwi bila ndoa toka usichana nakwepa na sio ndoa ili mradi ndoa yaani nikuone unafaa kuwa baba na mume hauna mambo mengi,mume wa kwanza tuliowana tukajaaliwa watoto wa 2 tukaachana alipo anza mambo ya wanawake nikasepa mume wa 2 alificha makucha kukaa nae ndani alinionesha mapicha picha nikasema sizai ng'ooo 2013 tukaachana nikasema sasa natuliza komwe langu mpaka 2021 nikaolewa na mume wa sasa tuna watoto wa 2 Alihamdulillah hapa naona kifo tena ndo kitatutenganisha mume wangu katulia hana mambo mengi kazini home baba bora na mume bora kwangu may be umri wake unachangia kashamaliza ujana.nae kuniowa kasota sanaa miaka 10 anaimba aniowe hapo nachuja nani awe mume wangu mpaka kifo 😁nilikuwa pisi kali sasa mshangazi.
Habari yakk mshangazi, naona hapa wewe na mumeo hamfiki December, nicheki dm tuone tunafanyaje
 
😃😃😃😄😅🤣 to make the story short; kila mtu abaki na msimamo wake bhana; bado kwangu mimi Mary is a wife materials; ambacho tu sijakipenda kwa INSIDER MAN kutaka kumzalisha; Mary deserve better man than a married one though kama baba Jr angekua hajaoa, yes this could be a better couple than ever
Nakuona Dada yake Marry unampambania mdogo wako 😀😃😄😁
 
Beautiful without brain 😁maisha yangu sizalishwi bila ndoa toka usichana nakwepa na sio ndoa ili mradi ndoa yaani nikuone unafaa kuwa baba na mume hauna mambo mengi,mume wa kwanza tuliowana tukajaaliwa watoto wa 2 tukaachana alipo anza mambo ya wanawake nikasepa mume wa 2 alificha makucha kukaa nae ndani alinionesha mapicha picha nikasema sizai ng'ooo 2013 tukaachana nikasema sasa natuliza komwe langu mpaka 2021 nikaolewa na mume wa sasa tuna watoto wa 2 Alihamdulillah hapa naona kifo tena ndo kitatutenganisha mume wangu katulia hana mambo mengi kazini home baba bora na mume bora kwangu may be umri wake unachangia kashamaliza ujana.nae kuniowa kasota sanaa miaka 10 anaimba aniowe hapo nachuja nani awe mume wangu mpaka kifo 😁nilikuwa pisi kali sasa mshangazi.
Kuna watu malofa sana humu duniani akiwemo huyo mumeo. Kwahiyo kaanza mechi akiwa ameshafungwa goli 2 bila.

Yaani unaenda kuoa mwanamke mwenye watoto 2 na unaacha vigoli vibichiiiiii. Aiseeeee, huyo atakuwa msukuma tu maana sio kwa ushamba huo.

Natania japo u mstaarabu hutukani watu humu JF. Mshangazi niuzie biriani badi.
 
Shusha vitu nipo hapa since day one na tutamaliza pamoja ..insider ukija kikuyu dom nicheki mwamba tupeane tano
 
Back
Top Bottom