Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Kwa wale ambao hamjui namna gani watu wa karibu wanavyokucheat
Basi angalia namna ryin alivyojimegea insider kwa mama j
Basi angalia namna ryin alivyojimegea insider kwa mama j
TusipangianeINaonekana huna matumizi ya presha kama hata stori tu zinakupa presha
Dah jamaniWakati nakaribia kufunga ndoa. Trainer mmoja aliyekuja ofisi niliyokuwa alipopata habari hizo aliniuliza swali moja,
Trainer: "Huyo unayemuoa ana wadogo zake?
Mimi: ndio.
Trainer: mchumba wako ni wangapi kuzaliwa?
Mimi: Wa kwanza.
Trainer: Kuna yeyote kati ya wadogo zake ameolewa.
Mimi: Hapana.
Trainer: Kuwa makini kuna uwezekano mkubwa wa kupita nao wote kwa kuwa wanaingiwa na wivu au kujaribu kuona nini ambacho ndugu yao amekupendea. Baada ya observation wengine watanasa jumla na wengine kuedelea na maisha yao. Mimi hapa nilipo ninatembea na mama na mtoto. Binti alitambua mahusinao yangu na mama yake baadae akatengeneza mazingira ya kuniingiza mtegoni. Nilianzisha mahusiano ya siri na mtoto huku nikiendelea na mahusino na mama yake. Wote wako vizuri kifedha hawanitegemei kwa chochote zaidi ya wao kunifinance kwa kuwa wanafanya kazi wakiwa na vyeo kwenye NGO kubwa tofauti nchini.
Aliyosema alikuwa sahihi kabisa niliitwa bae and husband wa familia. Ilinihitaji kufunga zip kwelikweli kushinda vishawishi. Ugomvi wa ndugu kutokana na kuingiliana kwenye mahusiano ni balaa.
Mwanaume akipendwa sana na binti mzuri. Ndugu na marafiki wanajilengesha pia just to experience something special alichonacho huyo mwanaume.
Soma uelewe pia uwe na kumbukumbu, alofariki ni yule dada SANCHI ..Kwa wenye uelewa mzuri na hii story iryn ndo alofariki
Nasubiri zawadi yangu atakapoleta huu mkasa
@insiderman
Mama ARIANA ndo iryn mwenyewe, SANCHI ndo marehemu.Inawezekana ikawa Iryn kweli but ingawq Iryn inaonekana alizaa na alizalia SA; kule mwanzoni mwa season 2, INSIDER MAN aligusia kuhusu kuingia labor ili kutazama jinsi mwanamke anavyo jifungua but also aligusia kuhusu madaktari wanavyo zichezea K wakati wanazalisha. Ngoja tuendelee kusoma uzi
Hapa ukweli umemuonea dogo. Hakufanya hivo kwasababu ya kuachwa na yeyote; aliamua ku move on na kua busy na biashara zake; though ukimsoma again, alikua na uhakika na mkewe kwamba atarudi tu home. Ungenambia kuhusu Asmaa ningekuelewa kwamba alikua na hasira, tena hasira za mama J na sio Iryn; ukimsoma btn the line, wanawake ambao kawapenda sana humu huyu jamaa ni hawa wafuatao (kwa mtazamo wangu according to the story) wa kwanza ni mama Jr, Mary, Asmaa. Iryne jamaa hajampenda kiviiile zaidi ya kumsifia sana uzuri wake. Mapenzi yake kwake yamekuzwa na mtoto mtarajiwa but not her. Ila Mary jamaa kamuelewa sana; Asmaa mapenzi yamepunguzwa kidogo kwasababu ya ushauri aliopewa na chawa pro max da Lucy wa Michael Chain (Mikocheni ). If kama utakumbuka vizuri, "usimdanye mtoto wa watu akajenga hisia kali na wewe wakati huna mpango nae" hi statement mdogo wetu aliielewa sana.Tamaa, hasira za kuachwa na Iryn zilimtawala. Hakuwa anajielewa au naye ni kama wewe maana mmeenda sana hayo.
Sasa si analeta kuendeleza, subiri agandweeee na Mary kiwivu, mwanafunzi wa Jane mdangaji aliyebobea anamfunza.
Nimeshampata 😀Ngoja nimtag Mfufua Nyuzi aifanye kazi yake.
Pole sana huyo atakua ni b mkubwATarehe ya Leo mwanamke niliyempenda sana alifariki. Rest In Peace. 😭
Hapa ukweli umemuonea dogo. Hakufanya hivo kwasababu ya kuachwa na yeyote; aliamua ku move on na kua busy na biashara zake; though ukimsoma again, alikua na uhakika na mkewe kwamba atarudi tu home. Ungenambia kuhusu Asmaa ningekuelewa kwamba alikua na hasira, tena hasira za mama J na sio Iryn; ukimsoma btn the line, wanawake ambao kawapenda sana humu huyu jamaa ni hawa wafuatao (kwa mtazamo wangu according to the story) wa kwanza ni mama Jr, Mary, Asmaa. Iryne jamaa hajampenda kiviiile zaidi ya kumsifia sana uzuri wake. Mapenzi yake kwake yamekuzwa na mtoto mtarajiwa but not her. Ila Mary jamaa kamuelewa sana; Asmaa mapenzi yamepunguzwa kidogo kwasababu ya ushauri aliopewa na chawa pro max da Lucy wa Michael Chain (Mikocheni ). If kama utakumbuka vizuri, "usimdanye mtoto wa watu akajenga hisia kali na wewe wakati huna mpango nae" hi statement mdogo wetu aliielewa sana.
Tuendelee kuburudika na vijana endeleeni kujifunza
Nakuja rafikiNatoa offa, Leo nimetembelea uwanja wa sokoine mbeya kuna mechi. Kama kuna mtu yupo hapa aje tusalimiane nimnunulie hata kinywaji.
Akushtueje?Ok. Nipo nimekaa huku getini pa kuingilia. Seat za nyuma kabisa ukifika nishtue
😃😃😃😄😅🤣 to make the story short; kila mtu abaki na msimamo wake bhana; bado kwangu mimi Mary is a wife materials; ambacho tu sijakipenda kwa INSIDER MAN kutaka kumzalisha; Mary deserve better man than a married one though kama baba Jr angekua hajaoa, yes this could be a better couple than everUmeandika kama vile sijasoma na mimi!!! Eeeh Mary tabia mbaya sana amefanya. Hata uandike novel, tabia mbayaaaaaaa sanaaaaa, shameful woman.
Biriyani ushachukuaSahan 3 tutahitaj
Nikisahau unikumbushe pm unipe na namba ya kuweka oda
😃😃😃😄😅🤣 to make the story short; kila mtu abaki na msimamo wake bhana; bado kwangu mimi Mary is a wife materials; ambacho tu sijakipenda kwa INSIDER MAN kutaka kumzalisha; Mary deserve better man than a married one though kama baba Jr angekua hajaoa, yes this could be a better couple than ever
SikutafutwaBiriyani ushachukua