Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Siku ya harusi yangu mambo yatakuwa hivi, sitaki mambo mengi.

🀣🀣🀣
Lazima uendeleze maisha ya kuwa changanya, ndio maana unapata uoga na kutaka kufanya hivi. Sio mchezo wapingaji waliamua.. Ila mnapimana unapozurura, umefikia wa ngapi sasa kwenye kuwachezesha rumba lako?
 
Cc Geenaky
 
Siku ya harusi yangu mambo yatakuwa hivi, sitaki mambo mengi.

Kama bado hujafunga ndoa na mama J ni bora ukamuacha tu . ni bora ukamuacha saa hizi japo ataumia lakini ni much better kuliko hayo maumivu ya ndoani. Mama J akijua umezaa na Iryn kuna uwezekano mkubwa akavunja ndoa, sasa ya nini kuifunga? Pia inaonekana wazi wala humpendi huyo mama J mana wala huna muda naye kabisa kama ulivyo na muda na michepuko yako ila inaonekana unataka kumuoa kwa sbb umeshapeleka mahari na tayari ndugu jamaa na marafiki wanamjua kuwa ni wife..usione aibu kumwacha ni bora hata ukampa zawadi ya nyumba na gari kama kifuta machozi kisha move on..

Wewe funga ndoa na Iryn after all Iryn anampenda mwanao kwa hivyo kijana wako akifikisha 7 years unamchukua anakaa na Iryn. Huyo Iryn anakupenda kweli na utainjoi zaidi ukiwa naye kuliko huyo mchaga wako. Usisahau wachaga wengi wanabakigi wajane hasa wale wenye waume kama Insider.

Sumu haijaribiwi kwa kuonjwa shauri zako
 
Hata nae ana watoto nimemkuta nao sio msukuma mtu wa pwani.
Hakuna sifa kwenye kutukuna mie mtu akinitukana namuona mwendawazimu nampuuza muda wa kutukanana sina sijalelewa hivyo akinishinda kwa kutukanana namshinda kwa kumpuuza.
Nilikuwa nakutania tu sister. Pole na nisamehe kwa hilo.
 
Huu ushauri nimeupenda... japo πŸ€”πŸ€”mama J mhhhhπŸ˜”
 
jamaa kanunua matatizo presha na kisukari havimuachi salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…