Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kuolewa mke wa pili raha Sana kama mwanaume akipangilia ratiba zake vizuri.
Mchaga wangu huna baya.
Mitano tena kwa wanaume wa kichaga hasa warombo

INSIDER MAN atakuwa ametenda haki kwa wote kama akiwaoa. Tena awaoe siku moja.
Me nkisema kwamba cacutee anaeza akawa iryn mnabisha unaona quotation zake😂🙌
 
Screenshot_20240911_202136_Instagram.jpg

Mkuu INSIDER MAN kumbe leo kule kwa shemeji ni mwaka mpya 2017 na hatujasherehekea hata na ka episode kamoja
 
Suala la kuoa mke mmoja wazungu wametuingiza chaka ndio maana wao wameweka utaratibu wa ndoa za mkataba wakati sie watu weusi tukikomaa na utamaduni ambao sio wetu.
INASHANGAZA
Wazungu hawataki tuwe na wake wawili ama zaidi.
Lakini wanahamasisha ndoa za jinsia moja.
 
Back
Top Bottom