Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Shida zipo nimeamini mtu mpka unafikiria kuchukua maamuzi ambayo hukuwai kuyawaza mungu anisimamie kwakweli ataeguswa na maisha yng namba ya kunichangia ni 0682 324743
Kijana fanya kazi akuchangie nani acha mserereko kwani wewe mlemavu watu tuna maisha magumu tunapambana ili tusifikie kudhalika na nkuomba kuchangiwa bora niombe niungishwe biryani.
 
Kijana fanya kazi akuchangie nani acha mserereko kwani wewe mlemavu watu tuna maisha magumu tunapambana ili tusifikie kudhalika na nkuomba kuchangiwa bora niombe niungishwe biryani.
Inasikitisha sana yaani. Sasa hata akichangiwa hela kesho tu itaisha atarudi tena kuomba ?
 
Shida zipo nimeamini mtu mpka unafikiria kuchukua maamuzi ambayo hukuwai kuyawaza mungu anisimamie kwakweli ataeguswa na maisha yng namba ya kunichangia ni 0682 324743
Unajiita Mtu Chuma alafu unaanza kulia lia ? Hapo ulipo una smartphone kwanini usiiuze hiyo simu upate mtaji uanze kuuza karanga ili upate kipato kwa jasho lako ? Usipende kutangaza shida zako watu tuna shida na tumechagua kufurahi tu. Uza simu upate Mtaji hata wa kuuza karanga.
 
Nimeangalia post zake nikurushie link, kweli imeondolewa. Ila ilikuwa bonge haswa. Mengi ya mmmmmh labda ndio yamesababisha ikatemwa.. Ila haikuwa mbaya kutolewa
Mbona mambo ya mmmmmmmmh humu sio sana nenda kwenye uzi upo jukwaa la Entertainment unasoma uzi huku mate yanakudondoka
 
Kasema anataka kuwaoa wote; this mean Iryn is still alive
Okay ni vizuri kama yuko hai nilihisi Iryn kwasabu alionyesha kama mbeleni kutakuwa na mtu muhimu.sana atafariki so nika guess ni mrembo wetu Iryn
 
Kijana fanya kazi akuchangie nani acha mserereko kwani wewe mlemavu watu tuna maisha magumu tunapambana ili tusifikie kudhalika na nkuomba kuchangiwa bora niombe niungishwe biryani.
Yaani chap; ombi la jamaa yako mod wamepita nalo. Halipo tena
 
Okay ni vizuri kama yuko hai nilihisi Iryn kwasabu alionyesha kama mbeleni kutakuwa na mtu muhimu.sana atafariki so nika guess ni mrembo wetu Iryn
Ingawa bado najiuliza; INSIDER MAN ana uhakika hawa watu wote aliowataja humu hakuna hata mmoja ambaye ni shabiki wa JF? Mwanamke kama Prisca na Mary (according to him ) anasema code alizotumia ni rahisi sana kuzi decode; again ile Audi Q7 hakuna hata siku 1 kawahi kwenda nayo kanisani KKKT ya Mbezi and hence waumini wenzie hata wazee wa kanisa wasimjue mwandishi? Hizi gari unique huaga wamiliki wanajulikanaga sana..., anyway huenda moja kati ya sababu why ana chukua muda mrefu kuja hewani ni hizi code nyingi anazo zitumia ili asijulikane
 
Mara nyingi watoa story kuna vitu huwa wanachanganya kwenye story Ili wasijulikane sio majina tu hata ofisi anaongelea ofisi ya saloon kumbe ni wanauza vinywaji Ili kupoteza kujulikana
 
hilo n suala bnafs mdogo angu
kaa chini kula mua skiliza stor uburudke yaishe mengne anajua mungu kama ni kwel au laaah
kikubwa n burudan mana sote hatuna hakika kikubwa iman mana kila mmoja ana yake
kwaio kijana tuliza kula mua na stor usikilizie utamu😁
 
Embu leo ni google hii Audi Q7 mie nazijua IST Harrier 😂BMW Porches G Wagon Ranges Ferrari na kadhalika ajab Audi Q7 sijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…