Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Pia, Mary alishauri tuendelee kutumia namba hiyo mpya ili Prisca asigundue chochote kinachoendelea kati yetu.
Huyu kichefuchefu 🤮🤮🤮🤮
tuliwasiliana na nikampa ahadi kwamba tutakutana Jumatatu mara tu nitakaporudi Dar
Kosa kubwa unapenda kutoa ahadi hewa, acha kupromise kwa kutaka siku. Zinaumiza sana isipotokea wanawake ASILIMIA KUBWA na uwapunguzia mapenzi
ASMAH: "I didn't mean what I said."
Hajui kudanganya.. Though alijitahidi na eti wa zamani... Kosa zaidi.. Iryn sio mjinga Meneja
Nilishindwa kuelewa kwa nini Iryn alikuwa na hasira kubwa kiasi hiki, wakati Asmah hakuwa amesema chochote kibaya.
Hii kitu mwanamke alijua na kiuhakika deep ndaniiiii haisameheki kabisa, jua ipo imewekwa sehemu. Siku moja hatageuka so ujijue milele
Hali hii ilinisababisha nijisikie vibaya sana, na niliona kama nimemkosea sana.
Hongera tatizo haujakoma..
CAMI: “Na hii simu vipi mbona imepasuka, mlikuwa mnagombana?”

MIMI: “Hapana, ni hasira zake ndo kaibamiza simu chini.”
😂😂😂 Ukaona aibu kumbe unajua kubaunsi kei mbalimbali ila muogaaaaa
Sikutaka hata kuongea naye, nilimshika mkono na kuanza kuondoka naye pale ofisini,
Jambo baya, bahati Iryn hakuweza wa 👂👁️ ila laweza semwa kistory na yoyote.. Ulitakiwe uwe smata kwenye hili
Asmah naomba utambue kwamba nakupenda sana, asingekuwa Iryn, huenda tungekuwa wapenzi na asingekuwa mama J, ningekuweka ndani kabisa.
Wewe ni duh 🤣🤣🤣 maneno ya Sukari 😂😂😂
Hata kitendo kile cha kumpiga kule hotelin kilibaki kuwa siri yake pekee, hakuna mtu yeyote aliyemwambia kuhusu hilo.
Mmmmh
Hapa umesahau!!!

Nilijaribu kufikiria kuhusu kumtumia ujumbe, lakini nikaona kwamba ilikuwa ni wazo baya.
Kumbe unajua kuweweseka 🤣🤣🤣🤣 hapo unakumbuka kukosa life anayokupatia.. Utafikiri unajiheshimu 😅😅😅
nilimuaga Asmah kwa kumpa ahadi ya kuonana naye hivi karibuni na nikaondoka kurudi home.
Haukomi na wewe ikija kei upo baba huruma sana.. Muhunwi
IRYN: “Unajielezea sana, nimekuelewa tuachane na haya.”
Sentensi hii ni muongo wewe.. Sema ndio hivyo Meneja una faida kubwa kwake. Ataendelea kujua juu ya Asmah. Wajanja wa chini hatusemi tunafanya nini kuyajua hata iwejeeeee..
IRYN: “Unajielezea sana, nimekuelewa tuachane na haya.”

MIMI: “Baby, I don’t want another woman, and I”ll never disrepect you or my daughter like that.”
Uongo
Baada ya kurudi nyumbani, Iryn alikwenda kulala, nami nilitumia nafasi hiyo kuwasiliana na Mary.
Muhunwi muhunwi tu damuni, ya A ingekushtua.
MIMI: “Wewe ni mke wangu tayari, nitaangalia namna ya kuwaoa wote, kuhusu watoto hata ukitaka dozen kwangu ni kazi ndogo.”
Oyooooo hii lazima 🤑🤑🤑 na Uzuri wake, ila haumpendi kutoka dipu moyoni.
nime-mmiss sana mwanao Junior na mama J.
Na Mary, Asmah na wengine haujawataja.
nilirudi chumbani kwa spidi ya kunyata ili asinishtukie.
Hii 😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🥳🥳🥳🥳🥳🥳 Nimecheka sanaaaaa..
Uka nini? 😅😅😅😅 Si una wengine? Why haukupotezea. 🤣🤣🤣🤣🤣💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽Ila ingekuwa labda amemumisi mchepuko hata wa kampani tu bila kwichi ningefurahia sana yaani business partner.

Iryn yupo smati sanaaa kupita unafikiri. Noti hili. Kuna mengi amepima akaamua maisha yaendelee.. Ila kuwa makini.. Na tulia.

Twasubiri ndoa zako tukupe Hongera.. Meneja. Mary Tamara, wivu.. atakuwa Prisca cha mtoto siku moja utatambua.
 
Umemix Camilla na Claire, and somehow I can't blame your wife. She might have seen you around those places and after all she posses a heart with feelings. Good luck thou.
 
Ety mrangi hahahahaha
 
Inawezekana Mama J anampima tu Insider ili kumwonesha kuwa kuna njema linamkuna lkn sidhani. Kwa akili ya kawaida, mwizi hawezi kuacha ushahidi kizembe hivyo.

Hii ni mbinu ambayo mwanamke mwaminifu huweza kuitumia kulipa kisasi kwa mwanaume mchepukaji.

In short Mama J kafanya usanii tu.
 
It sounds like mama Jr anajaribu kumuonesha muhuni kuhusu neno WIVU lina maana gani; anataka kupima kama kweli anapendwa...., but kuna dots alituachia last time wakati anapekua simu ya mama Jr, kuna mafisi yalikua yanammezea mate..., kuna limoja limeeleweka nini? But how mwanamke aache ushahidi kwenye bag lake na aongelee just kwenye dirisha lake akijua mumewe yupo chumbani? Let's keep on waiting. Story inazidi kunoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…