Hebu tuweni wakweli, tuache wivu kabisa. Hivi kabisa unaweza kusema
INSIDER MAN analelewa? Anafugwa? Mwamba alisusa mshahara almost miezi 6 (refer ile episode ya Dodoma akiwa na Mary, siku aliomla Mary for first time ) Tuache wivu, Insider bado anaweza kua role model kwa vijana wengi, anajutafuta na kajipata, Insider ni mwaminifu sana, I thought vijana wengi mngejifunza kwake, tazama jinsi mzee Juma na familia yake wanavyo mpenda, haikutokea tu, alitengeneza mazingira hayo kwa jasho na uaminifu. Vijana wengi humu hivi ile Nissan Dualis ingerudi kwa Jenny kweli? Tazama uaminifu ule ulivompa mailege kwa mzee Juma, Jenny na marafiki wa mzee Pama. Kuna mengi sana ya kujifunza kwa dogo. Kitendo cha yeye kupita na kina dada kadhaa bado kwangu sioni kama dogo ni malaya, karuka sana viunzi huyu mtu, bado ana stahili pongezi nyingi.