Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Umewaza kama mimi

Anajaribu tu kuipima imani ya mumewe ila kiukweli inaonekana kachoshwa sana na mbilingembilinge za mume wake
Yeah sema anaonekana yuko matured sana huyo mama J... ni ameamua aupe muda nafasi.
 
Ungemalizia kabisa anasoma masters chuo kinaishia herufi "M"
 
Pamoja na kufungua code kwa codeila nimetoka kapa
 
Mbona unaweka mafumbo wakati ushasema code ziko wazi now, si uweke full names
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…