Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hapo kwa mama wawili mwamba katushinda wengi. Huwezi nilaza polisi hii ya TZ na utegemee ukaribu wa aina yoyote tena kutoka kwangu.
Nikikumbuka huyo mama wawili navurugwa akili, najiona mimi nikishindwa hata kumtazama usoni tena hata hicho kipili chake.. Kweli muandishi katoa somo kubwa sana la nguvu ya msamaha ila sidhani kama nitaweza kusamehe. Nitajaribu
 
Hongera, ila kuna codes kama zinakuja na zinakataa kama ntabahatisha hata kama utakana nahis kama nakujua au vitu ulivyosimlia vingi navijua.

We ni A
manz unayemuongelea anatokea T
Benz umepewa na mshikaj wako wa N
Unaish R.C

Ishu unazofanya sio za saloon ni R.E.

Nimeweka pia codes kama sio wewe, basi kuna pacha ako anapitia haya mnafanana kwa mbali.
Ungemalizia kabisa anasoma masters chuo kinaishia herufi "M"
 
Back
Top Bottom