Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Asante. Umetisha sana.
Asante sana. Umetisha sana.
 
Nimemaliza kusoma episode 1 na na episode 2 ilipoishia....likizo yangu imekuwa njema sana kupitia story hii ya insider..Nimejifunza:
1.Uaminifu
2.kujituma
3.kutokukata tamaa
4.ubunifu unapopewa kazi za watu na za kwako.
5.kusamehe toka moyoni
6.usikivu makini na kuheshim wakubwa(refer malezi ya Hayati Pama na Juma)
7.Iryn kwenye ulimwengu WA ujasus nimemfananisha na "Mata Hari"..iryn ni jasus mmoja mkubwa sana...halafu design ni kama anaishi Kwa kutumia "cover story".....
8.mwamake design ya Mary Hana Adabu na watu WA aina hiyo ni rahis kukuharibia mambo...
9.Mama junior ni aina ya wanawake wavumilivu, Kwa mbali ni mdadis mwenye kiburi ..angekuwa jeshini angekuwa na nyota nyingi sana...
10.kuna mahali katika maisha ulikuwa inajitoa bila kujibakiza na kuhakikisha watu WENGINE wanapata Amani na furaha..na hii ndio imekufanya ukapendea na watu wengi na ukapata connection hizo..
11.kuna upande mwingine Kuna ka ukatili ulikuwa unamfanyia Iryn..mfano pale ulipompiga kisa kaongea na griz..hapakuwana sababu..si unaona Kwa mkeo ukisikia anaongea na jamaa (episode ya mwisho)lakn hujampiga..
12. Ni makosa makubwa sana sehem ya kazi kuingiza mapenzi Kwa msichana Zaid ya mmoja ...hakukuwa na maana ya kuendelea na asimmah wakati uko na boss lady...binafsi nikiwa kama General Manager niliwahi tembea na Mkurugenzi wangu..Lakin sikudiriki kutembea na subordinate...inashusha heshima flan
13. Kwenye maisha chunga mambo mawili..wanawake na uaminifu basi...
14.Iryn amekupenda sababu kupitia simulizi yako hii nimeona una "X-factor" kubwa sana..vinginevyo muajemi angeondoka nae..
15. Ni kupitia story yako hii naamini WENGINE wamejifunza mengi maana ndani yake Kuna elimu kubwa sana ya maisha,ubunifu kazin(rejea zile canvas nk),burudiko na mengine mengi..elimu yako ya Uchumi na takwimu umejua kunitumia vizur.
16. Umeuchambua mji Dsm na viunga vyema vizuri sana na Kule Arusha ulipotaja USA River Lodge ya mzunguu .nimekukubali maana Kwa juu yake mbele kidogo Kuna Moja ya makazi yangu jiran na Ngarasero Lodge.
17.ukiwekeza Kwa watu unaishi maisha mazuri sana...
18.nasubiri mwendelezo WA simulizi hii.....


NB:
"Katika kiumbe kinacholaumiwa zaidi duniani lakini chenyewe LAWAMA hizo kinaona ni Sifa ni MWANAUME."
 
Well analysis bro, salute kwako; No 11 umeitazama kwa jicho tofauti sana. Same case kwa wanawake 2 ambao ni wake but treatment tofauti; hapa ndio ipo tofauti ya kupenda na kutamani.
 
INSIDER MAN ukizingatia hii point ya 8 utafika mbali zaidi ya apo brother
 
Ninauza dawa ya jino kwa bei ya alfu10 tu hata kama linauma vipi na linaacha siku hiyohiyo mambo ya kuchomana sindano midomoni na kuingizana makoleo yamepitwa na wakati
Nitafute kwa namba +258878845122 kwa whatsapp nitakutumia popote ulipo
 
Nimewazaaa tu dear
Yaani hii dawa ni ya ukweli kabisa,Sikulala wiki nzima sababu ya maumivu ya jino na nilikuwa naogopa kuchomwa sindano mdomoni,ikabidi niludi nyumbani kwa ajili ya kujitibia jino,nilipofika tu nikachemshiwa hiyo dawa na kuambiwa sukutua na uiteme,yaani siku hiyohiyo maumivu yakakata sasa kwa nini nisiwasaidie na wenzangu,najua wapo wenye maumivu kama mimi hawajui dawa watapata wapi?
 
Dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…