Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kiuhalisia huyu jamaa kafanya yote hayo ni miaka 2015 hapo mwisho 2020.
Uber zimeanza juzi tu.
Na hao wanawake ndio walimuingiza shimoni kama bado.
By the way hadithi nzuri.
 
Sifa nzuri za Mama J. Kupitia Simulizi hii:
1.ni mama mwema na mke mwaminifu(Kuna tofauti kubwa ya maneno hayo)

2. Ni Ishara na kibali Kwa mumewe( apateye mke apata kitu chema Tena apata KIBALI mbele za Mungu)....so kila mwanamke ana sifa hizo

3.anajua kujali,kupenda na kuthamini familia yake..
4. Ana maono kuhusu kesho ya familia..
5. Ana hofu ya Mungu.

MAPUNGUFU.
1. Hanyumbuliki( mwandishi mahali pengi amewasifia wanawake wengine kuwa wananyumbulika kitandani lakn si Kwa mkewe)

2.jambo dogo ambalo MDA NA WAKATI Huwa ni hakimu WA Haki yeye tayari amekimbia kurudi kwao(pengine labda sababu kwao ni karibu)
3. Kuchukulia POA ,huyu mwanaume ni wangu na hivyo kutokujua vionjo vya mume wake viko wapi(sex urge ya mumewe Iko juu)..
4.kuhoji na kulalama punde tu mume akirudi ndani(ulikuwa wapi,umelala wapi,huyu ni nani nk..wakati mwingine unapaswa kukaa kimya walau Kwa Lisa limoja au mawili ndipo uulize.)kwenye haya maisha wanaume tunapitia mengi na so kila mengi unayopitia utamwambia mke...ni mpaka upate matokeo ndo utasema..
5..kushinda kujua wakati mwingine ugonvui humalizwa Kwa sex tu....kuna wakat wanaume Huwa tunakuwa wakali kama defence mechanism ya kutokutaka kuulizwa zaidi...mwandishi ameonyesha Hilo sehem nyingi ndan ya Makala yake.

NB:
Kuna siku nimerud home wakat nabadilisha nguo... niligombana na mke wangu sababu zinaendana endana kama za mama J na insider Kisha nikamwambia...
"You have to choose, either you become the kind of a woman who brings LIFE in this house or you become the kind of a woman who brings KNIFE in this house"

Kisha Kwa sauti ya upole akaniambia
"Baba Blanca inawezekanaje nguo zako mpaka tai zina harufu ya jasho halafu mwili wako hauna harufu hiyo?!"...nikamkazia jicho na hapo ndipo nikajua naishi mwanamke Ambae ni Ishara,kibali na jasusi...maana siku hiyo nilikuwa nimechepuka na nikaoga huko....Laumu ilinivunja moyo nao ukaugua sana siku hiyo..
 
40 malizia mkuu tusiweke kiloro sehemu hii
 
Wanawake wa South sio wachoyo kabisa, wanapenda sana mtelezo hawa viumbe.

Wasouth ni wavivu sana, hawapendi kazi ngumu. Wanapenda sana kudance, ndomana asilimia kubwa wanajua kudance. Wanaume wakule asilimia kubwa ni mashoga, wanapenda sana kitonga.

Kuna ugomvi wa chini chini kati ya Wanigeria na Wasouth. Wanigeria wanakula sana pisi za kisouth sababu ni watu wa bata sana. Hii inapelekea wanaume wao kuwachukia, sababu wanigeria wanapesa sana.

Xenophobia inawasumbua sana wasouth, ukijifanya Alwatan hawachelewi kuku-ua.
 
Na wanawake wanaowaacha wanaume kisa wamefulia kwao inakuwaje baraka zao akashizikilia nani.

Njoo wanavyonyanyapaa mwanaume hana kitu atanioaje huyu?
Usiwe bias na hii kitu jaribu kuongea facts. Mbona jeff benzos akaachana na mkewe anazidi kuchanja mbuga,bill gate the same ama hizi beliefs or myth huwa Zina apply only in Africa jamani. Wazungu wanaona na kuachana Kila siku,.


Nyie mnatunga ama mnapandikiza Imani za uuoga eti ndiye akashikilia baraka na je wanaoa wanawake wanafirisika Ila before marriage alikuwa na Mali?
Usifungwe uwezo wako wa kuwaza. Pie lete data and statistical analysis na sio uongee mawazo yako sio kuwa ndio yako sahihi
 
Ngoja niwe wa kwanza kumjua hilda 😀😀😀😀😀😀
 
Asilimia kubwa ya wanawake ni majasusi. Halafu wana wivu unaovuka mipaka. Jambo dogo analikuza. Amejijengea imani unamcheat hata km si kweli... Wanaume wengi tunakwazwa sana na hili jambo basi tu
 
Nakazia Apa👆
 
Huwezi ifuta kabisa harufu ya mwanamke uliyelala naye vinginevyo uhakikishe unafika nyumbani mkeo akiwa hayupo. Uvue nguo zote na kuoga kabla hamjaonana. Kuna wale watata wanachukua ulizovua wananusa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Duh. Hata kwenye hili unataka data na statistical analysis mkuu? Haya yatakuwa matumizi mabaya ya taaluma🤣🤣🤣🤣
 
Chukua kinacho kusaidia, vingine achana navyo mkuu, sio lazima. Halafu na wewe unaamini Bill na Linda Gates, wameachana? Kuna mengi sana yapo nyuma ya pazia. Wametalikiana na still wana ishi nyumba moja na wanafanya kazi pamoja na hata taasisi zao za misaada bado zinajulikana kwa majina yao? Enzi za Corona just juzi tu hapo, hujaona waandamanaji walikua wanawasema mtu na mkewe? Story za matajiri tuachane nazo mdogo wangu, kuna mengi nyuma ya pazia. Halafu wengine baraka zao hazitokani na Mungu, umeyasikia ya P Diddy? Kwamba hata kuna wabongo wenzetu hapa jamaa kawapeleka kwa Mpalange, wale utajiri au pesa zao zina code tofauti.
 
Mapenzi huwa yanabadilisha sana binadamu .

Mimi nayachukia sana ndiyo maana huwa sitaki kumchukua mtoto wa mtu tuishi wote nitamuumiza tu.
Then tunasameheana mara nimuumize ni ujinga.

Jane anazidi kudhihirisha umalaya wake na ukungwi sasa anatoa lecture kwako namna alivyomnasa mzee pama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…