Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongezea unaowajua / unaowakumbukaSia
Ghati
Imaculata (Yule Dada Wa IT)
Pili
Bora kipi kati ya pombe na mapenziAhsante.
Pombe inadhoofisha uwezo wa kuona lakini mapenzi yanapofusha.
Too much of any of it is harmful.Bora kipi kati ya pombe na mapenzi
40 malizia mkuu tusiweke kiloro sehemu hiiSEASON 02
CHAPTER 39
“BY INSIDER MAN”
PREVIOUS:
Tuliondoka kuelekea kwake kwa lengo moja tu, nihakikishe Mary anapata mimba leo kama alivyosema.
CONTINUE:
Mary aliendesha gari hadi tunafika Msasani kwenye apartment yake mpya. Apartment ilikuwa ni nzuri sana na alikuwa kapanga upande wa juu ghorofani. Baada ya kuingia ndani, tulianza kupeana romance palepale seblen. Mary kwa upande wake alikuwa yuko onfire maana alikuwa kashaanza kuikoki bunduki.
Nilimwambia atulie, tuanze kwa kuoga kwanza, kisha mambo mengine yatafuata. Hakukuwa na haraka yoyote, muda ulikuwa wa kutosha. Lakini tukiwa bafuni, mawazo yangu yalikuwa mbali sana, yalirudi tena kwa hili suala la kupata mtoto na Mary.
Nilipokuwa nawaza, nilitambua kuwa kuzaa na Mary kungeleta matatizo makubwa, hasa kwa familia yake. Hata upande wangu, isingeepukika, ningesababisha matatizo makubwa pia. Nilijikumbusha jinsi nilivyokosea kwa Iryn, kweli nirudie kosa hili na Mary? Ingeonekana kama sijitambui kabisa. Hata hivyo, licha ya hofu hizo, bado nilitamani sana kuzaa na Mary. Nilimuona kama mwanamke sahihi wa kunizalia mtoto na kumlea kwa upendo. Na zaidi ya yote, Mary ananipenda sana tena ule upendo wa dhati, sio kufake. Her love is truly real.
Niliendelea kuwaza zaidi na kugundua kuwa Mary anaongozwa na hisia badala ya akili. Upendo wake umemfanya kushindwa kufanya maamuzi sahihi, hisia zimemtawala. Nilihisi ni busara tuzungumze tena kwa kina kuhusu hili suala.
Baada ya kutoka kuoga, nilimvuta karibu na mikono yangu ikashika makalio yake. Nilianza kuyapapasa taratibu, tukawa tunaongea, lakini hisia zetu zikiwa mbali na mazungumzo.
MIMI: “Baby, you know I love you?”
MARY: “I love you too hunnie.”
MIMI: “Hivi, hili suala la mimba, kweli umeridhia? Au unafanya maamuzi bila kutafakari kwa kina kuhusu kesho?”
MARY: “Hunnie, kwa kweli nahitaji mtoto, na nimefanya uamuzi huu kwa makini, sijakurupuka hata kidogo. Tafadhali, naomba ufuate tu kama tulivyokubaliana.”
MIMI: “Umefikiria kuhusu familia yako? Ukimwangalia Prisca, akija kufahamu hili, unadhani atachukua uamuzi gani juu yako?”
MARY: “Prisca hawezi kujua kuhusu hili, niko makini sana, hunnie. Insider, nataka ujue kuwa nilianza kukupenda tangu tulipokutana kwa mara ya kwanza pale Kidimbwi. Kipindi kile hata wewe na Prisca hamkuwa mmeanza mahusiano bado. Nilijiambia moyoni, ipo siku nitakupata. Na hata nilimwambia Prisca kwamba kama siku ukiachana na Insider, basi nitadate na wewe."
MIMI: "Mary, hiyo sio sababu ya kutosha. Ukweli unabaki palepale kwamba nilitembea na mdogo wako. Sasa, tuachane na Prisca kwa muda, lakini vipi kuhusu wazazi wako, hasa mama yako ambaye anajua nilikuwa kwenye mahusiano na Prisca? Unafikiri atakuchukuliaje hali hii?"
MARY: "Wazazi hawataweza kujua kuhusu hili, kuna njia nyingi za kuhakikisha wewe hubainiki kama mhusika. Naamini tunaweza kulifanikisha bila wao kufahamu chochote."
Wakati huo, Mary alikaa juu yangu na akaikalia bunduki yangu, kana kwamba alihisi namchelewesha;
MIMI: "Haiwezekani, Mary. Wazazi wako lazima watahitaji kumjua mhusika. Naona unachukulia mambo haya kijuujuu sana."
Kwa joto na utamu niliokuwa naupata kwa wakati huo, nilishindwa kujizuia, nikabaki kimya huku nikigugumia kwa raha. Mary ni mmoja wa wanawake watamu sana, na kila mara ilikuwa rahisi ku-enjoy naye. Nilijitahidi sana kuzuia bao la kwanza kwa sababu nilihisi kabisa Roho ikinikatalia kumaliza ndani. Lakini baada ya kushindwa kujizuia, nilichomoa na kumwagia risasi zangu mapajani mwake.
Baada ya kitendo kile, Mary alibaki akinishangaa, hakuamini kabisa kwamba ningeweza kufanya hivyo. Uso wake ulionyesha mshangao wa dhahiri, kwani hakutegemea kwamba ningechomoa kwa ghafla namna ile.
MARY: “Hunnie why?”
MIMI: “No Mary, siko tayari kwa hili.”
MARY: "Hivi, kipindi kile unaniambia nikuzalie, ulikuwa unamaanisha nini hasa? Au ulikuwa tu unataka kunienjoy?"
Mary alimind sana na akaondoka kwenda bafuni. Alipotoka, hakuwa na hamu ya kuongea nami hata kidogo, na alionesha waziwazi kuwa amekasirika. Nilijaribu sana kumbembeleza ili tuzungumze, lakini hakutaka kabisa. Badala yake, aliondoka na kwenda kukaa sebleni, akionekana bado ameghadhibika.
Baada ya kuingia bafuni kujisafisha, nilijipanga kumsogelea tena. Nilimfuata sebleni, nikiwa na nia ya kujaribu kuzungumza naye kwa mara nyingine. Nilihitaji tuelewane, hata kama alikuwa bado na hasira.
MIMI: “Baby, tafadhali nisikilize kwa makini sana, unachofanya sasa hivi ni utoto. Nilifanya makosa ya hesabu wakati ule, lakini hata wewe fikiria kwa kina. Nina Junior ambaye ana miaka 2, na mtoto mwingine nategemea kumpata mwezi huu. Halafu bado unataka tuongeze mwingine tena? Embu fikiria kwa makini, tafadhali.”
MARY: “Wewe ndio sababu mimi nianze kufikiria kuwa mama. Kama usingelileta hili, tusingefikia hapa. Ilikuwaje ukanambia vile kama hukuwa umejipanga kuhusu suala hili?”
MIMI: “Mary nakupenda sana, unafanya nakuwa chizi yote ni sababu yako.”
Niliendelea kumbembeleza ili kumfurahisha na kwa kweli alijaa, na furaha yake ikaanza kurudi kama awali. Kugongelea msumari kabisa, nikamwambia ajiandae ili tutoke out.
Baada ya dakika 20, tuliondoka kuelekea 1245 Lounge iliyo Masaki. Hili lilikuwa mara yangu ya kwanza kufika kwenye kiwanja hiki. Nilipokuwa nataka kuingia, baunsa alinisimamisha na kuniambia ni lazima nivue prova, kwani hiyo ni sheria za hapa. Nilibaki nashangaa pale, nikimwambia kuwa sikutegemea hilo. Jamaa aliongeza kwamba sheria za pale haziruhusu kuvaa prova, sando, kaushi, na mengineyo.
Nilirudi kwenye gari kubadilika ili kuruhusiwa kuingia ndani ya club. Mary alikuwa amewaka sana, kiasi kwamba kila mtu, hasa mafisi, walikuwa wakimtizama kwa matamanio. Alisema kwamba bills zote ziko chini yake, hivyo nikamwambia aagize kinywaji chochote chenye alcohol ya kawaida, na akaagiza Moët. Ili kuepusha usumbufu kutoka kwa mama J, niliamua kuizima simu yangu, ili hata akinitafuta asinipate.
Tuliongea mambo mengi sana na Mary, na kwa upande wake, alionesha msimamo wake wa kuhitaji mtoto. Alienda mbali zaidi na kusema kwamba kama ninaogopa matunzo ya mtoto, yeye atagharamia. Nilimwambia aendelee kujifikiria kuhusu hili, na nikamwambia kwamba pindi nitakaporudi kutoka South Africa, tutaongea kwa mapana zaidi.
1245 nilitokea kupaelewa maana ni sehemu classic ambayo unakutana na watu classic, bila kusahau warembo classic. Tulikaa hadi saa 7 kasoro za usiku, kisha tukaondoka eneo hilo. Nilikuwa nakumbuka kwamba Mary yuko danger, na sikujua ni wapi ningeweza kupata condom muda huu. Ilibidi nimuagize bodaboda akanitafutie condom.
Wakati tunamsubiri bodaboda, romance ndani ya gari ilikuwa ikiongezeka kwa kasi ya ajabu. Ndani ya muda mfupi alikuwa wet na alitaka nimuweke mulemule kwenye gari, lakini nilimkatalia, kwa kumwambia awe na subira.
Nusu saa ilikuwa imepita na hakuna dalili zozote za bodaboda kurudi. Nilihisi kwamba hapa nimepigwa, sina haja ya kuendelea kupoteza muda, hivyo acha niondoke. Nilifikiria kwa haraka na kuona ni bora tuende apartment ya Masaki, ambapo nilikuwa naishi na Iryn kabla hajaondoka. Apartment haikuwa mbali, niliona ni mahali pazuri pa kutulia kwa usiku huu.
Nilikuwa sina namba ya simu ya bodaboda, lakini nilimpa ya kwangu. Nilijisemea kuwa kama akirudi akanikosa, basi atanitafuta kwa simu na nitamuelekeza wapi azilete. Tulipofika kwenye apartment, namba ngeni ilipiga, nilihisi lazima atakuwa bodaboda. Baada ya kupokea, nikamwelekeza niliko.
Baada ya dakika 5 bodaboda alifika na kinikabidhi condom zangu na alisema ameutoa mzigo mbali sana kwani Pharmacy nyingi zimefungwa tayari. Nilitoa elfu 20 nikampa kisha nikarudi kumchukua Mary kwenye gari na kuingia ndani.
****
Niliamka asubuhi mapema na kuingia jikoni kutengeneza soup. Kwa bahati nzuri, kulikuwa na kuku aliyekuwa amebakia kipindi nikiwa na Iryn. Baada ya kumaliza, nilirudi chumbani kuchukua simu yangu ili niiwashe, na pale kitandani, Mary alikuwa bado kalala, akionekana kuchoka sana.
Baada ya kuwasha simu, niliingia whatsapp nikakutana na missed call za mama kijacho na za dada yangu. Sister alikuwa amepiga mara 5, na alianza kunitafuta toka jana usiku, bado akanitafuta na asubuhi.
Moyo wangu ulikuwa kama umepatwa na ganzi, kwani nilihisi huenda Iryn kajifungua tayari au kuna tatizo lolote lililotokea. Nilimpigia simu, lakini iliita bila kupokelewa, nikahisi labda bado amelala. Kuhusu Iryn, niliona ni bora nimuache nisimsumbue kwa simu.
Nje na hao, nilipokea ujumbe kutoka kwa mama J, ambaye aliniuliza niko wapi na kwanini sipatikani kwenye simu. Pia, nilipata taarifa kutoka Sanchi akinitaarifu kuwa alifika Dodoma salama. Dakika kumi baadaye, sister alinipigia simu tena, na nilipokea. Lakini sister alikuwa mkali sana, kiasi kwamba nilishindwa kuelewa tatizo lilikuwa nini.
SISTER: “Bro! Naomba uniambie umelala wapi? Sema ukweli hata usijaribu kunidanganya.”
MIMI: “Dada yangu hii ndo salamu? Unafikiri mimi nitakuwa nimelala wapi?”
SISTER: “Wewe ni mdogo wangu, mimi ni dada yako, lakini unayofanya sio kabisa, unamvunjia heshima mama J, mimi hili limeniuma sana. Unaniona mjinga kuja huku South Africa kwaajili ya mtoto wako, unakumbuka tulikubaliana nini?”
MIMI: “Dada yangu naelewa tuna makubaliano, lakini mimi siko kwa mwanamke kama unavyosema hapa.”
SISTER: “Bro! mimi sio mtoto mdogo sawa? Naelewa upo kwa mwanamke mwingine, hivi Iryn naye akijua haujalala home atajisikiaje?. Unajua mama J amenitumia message gani? Nimeisoma hadi nimepata huruma. Kama umemchoka mtoto wa watu, ni busara ukamwambia mapema kuwa humtaki kuliko kumuumiza namna hii.”
MIMI: “Dada yangu, tulia kidogo niongee…”
SISTER: “Nina week tayari niko huku kwaajili yako, unafikiri shemeji yako angenielewa? Unajua nimetumia mbinu gani, hadi nimekuja south?. Najitahidi yote kwaajili yako, na uliniahidi utatulia, lakini bado unahangaika na wanawake wengine. Ni lini utaweza kuwa serious? Stupidity.” Na kisha akakata simu.
Nilibaki nikijiuliza ni nini mama J amemuandikia sister. Maana sister alikuwa amewaka sana, na ilikuwa mara ya kwanza kumuona akichukia kwa kiwango hicho. Sikutaka kumpigia tena, hivyo nilimuacha na kuendelea kutafakari pale sebleni, nikijaribu kuelewa hali ilivyokuwa.
“Nikisema nilirudi home leo itakuwa tatizo, wife atajua nilikuwa kwa mchepuko, ni afadhali nirudi kesho asubuhi na mapema. Kwanza nyumba yangu, bado niendelee kumuogopa huyu mwanamke? Hapana, kwasasa haiwezekani. Asinipangie nifanye ni nini, potelea mbali atakavyoniwazia.”
Nilijikuta sijali tena kuhusu mama J. Kabla nilikuwa najipanga kisawasawa kukabiliana naye, lakini kipindi hiki hali ilikuwa tofauti, ule uoga ulionekana kama umekufa. Nilijisemea nitarudi nyumbani kesho, hata kama atani mind, hiyo ni juu yake mwenyewe. Na kama ataondoka kwenda kwao, ni sawa tu.
Mary alitoka chumbani, akaja na kukaa pembeni yangu. Alianza kuongea nami pale, na nilihisi kuwa kuna jambo muhimu lilikuwa linamkera.
MARY: “Hunnie! Are you okay? Seems like something is frustrating you.”
MIMI: “No I’m good, how are you feeling?”
MARY: “Fresh tu, hapa ni wapi?”
MIMI: “Tuko Masaki, nilikuwa nakaa na Iryn before hajaondoka.”
MARY: “So, unaishi hapa kwasasa?”
MIMI: “Hapana, tutashinda wote hapa na kesho tutaondoka. Nimetengeneza soup yenye viazi na ndizi pakua ili tule wote.”
MARY: “Thank you hunnie, ninahisi njaa hapa kama ulijua.”
Nilizima tena simu ili kuepusha usumbufu, nikaendelea kupeana mahaba na Mary. Nilikuwa nikifikiria kuwa nikienda South, wakati wa kurudi nitapitia Dodoma, hivyo tutakuwa na muda mrefu bila kuonana. Siku nzima, hadi jioni inapoisha, tulikuwa tukipenzika pale 6x6, maana hatukuwa na kazi nyingine ya kufanya zaidi ya hii.
Asubuhi na mapema Mary aliaga anakwenda kwake ili akabadilike awahi kwenda Posta, alisema anatraining kwaajili ya kazi. Mimi nilitoka saa 4 asubuhi kwa lengo la kwenda home, lakini nilianza kwanza kwa kupitia ofisi ya Sumaiya.
Baada ya kuonana na Sumaiya, tulianza mazungumzo. Nilimwambia lengo langu la kwenda kumuona, nilitamani kujua sakata zima kuhusu Smith. Nilihisi kuna siri ambayo Sumaiya anayo kuhusiana naye, na nilitaka kufahamu kila kitu.
Sumaiya, kwa upande wake, alibaki na msimamo uleule wa kutaka kufanya mapenzi ili aweze kuniambia siri zote anazojua. Nikiwa na msimamo wangu, niliendelea kumwambia haiwezekani kufanya jambo kama hilo. Nilienda mbali zaidi na kumwambia kuwa mimi na yeye ni washikaji wa muda mrefu, hivyo sistahili kufanyiwa hivi. Licha ya kumbembeleza sana, Sumaiya aliendelea kuwa mgumu kuhusu hili na alionesha kuwa serious kuhusu matakwa yake.
Niliwaza pale, nikaona masharti ya Sumaiya siyawezi, hivyo ni bora niachane naye. Niliondoka bila kumuaga, nikionesha kuchukia waziwazi. Sumaiya, kwa upande wake, alikuwa akicheka kwa dharau. Nilimwambia labda hatakuja kupata shida na akahitaji msaada wangu.
Niliendesha gari kuelekea nyumbani, lakini kichwani nikiwa na mawazo ya kwenda kumuona Jane. Baada ya kufika, nilimkuta dada yuko jikoni akipika. Bila kusita, tukaanza mazungumzo, na kitu cha kwanza nilimuuliza ni kuhusu Junior. Alinijibu kuwa ameenda kwa bibi yake toka jana.
Nilibaki nikishangaa pale, hapa sasa nikaanza kumuuliza maswali zaidi;
ELENA: “Bibi yake alikuja jumamosi, akaomba aondoke naye, alisema atamrudisha leo, sababu alikuwa akimlilia.”
MIMI: “Ooh! Sawa, na vipi kuhusu mama yake, atakuwa amekasirika sana.”
ELENA: “Dada amechukia sana, alikuwa anakupigia simu hupatikani, alikuwa na mawazo sana, alisema labda utakuwa umepata matatizo.”
MIMI: “Ngoja mimi nikalale, ninahamu sana ya kula ugali na kitimoto. Wasiliana na bodaboda wenu akafate Kitomoto Juliana.”
ELENA: “Sawa kaka.”
Niliingia chumbani kulala maana nilikuwa na uchovu sana, ukizingatia usiku kucha nilikesha na Mary.
Baada ya kupata lunch, nilifanya mawasiliano na Jane. Alinipa taarifa kwamba yuko dukani, hivyo nilimwambia nitamkuta pale. Bila kuchelewa, niliondoka kuelekea Kunduchi dukani kwake, na ndani ya muda mfupi nilikuwa nimefika tayari.
Baada ya kufika, tulionana na kusalimiana kwa furaha, kwani mara ya mwisho kuonana ilikuwa Tabora. Nilianza kwa kumuuliza maendeleo yake; aliniambia kuwa yuko salama kabisa na kuhusu biashara, alisema inaenda vizuri sana, na angalau faida anaiona.
Jane alisema tuende Budget tukale lunch, pia kuna jambo anataka tuzungumze kwa mapana zaidi. kwa upande wangu nilikuwa niko full, hivyo nikamwambia ninampa kampani, kwani nimeshakula nyumbani.
Jane alishangaa sana kuona naendesha Benz na nilimwambia ni gari ya ofisi, ili kupunguza maswali. Kwa upande mwingine alionekana kurudi kwenye ubora wake wa zamani na kuzidi kuimarika. Kwa mtu ambaye hamjui Jane ingekuwa ni ngumu sana kutambua kama amezaa na anayonyesha.
Wakati Jane anakula, tuliendelea na maongezi yetu, na habari kubwa ilikuwa ni kuhusu Mary. Nilishangaa sana kusikia, akiniuliza kama tuko kwenye mahusiano. Nilibaki nikijiuliza maana sikujua nimwambie 'Yes' au 'No'; nilihisi huenda Jane anajua kinachoendelea. Hivyo, nilimjibu hapana, hatuko kwenye mahusiano, naye akaendelea kuniuliza;
JANE: “Una uhakika? Usinifiche mimi naelewa kila kitu. Nimekuuliza, sababu nina maana yangu kubwa tu.”
Jane alinifanya nitamani kujua ni kitu gani ambacho alitaka kusema;
MIMI: “Ni jambo gani hilo unataka kunambia.”
JANE: “Umefanya makosa makubwa sana kuanzisha mahusiano na Mary. Hivi ulikaa chini ukatafakari kuhusu mdogo wake, Prisca? Unaenda kuwagombanisha na kuleta taharuki kwenye familia yao. Nasema haya kwa sababu mdogo wake bado anakupenda. Akija kujua una mahusiano na dada yake, yatakuwa matatizo.”
MIMI: “You are the one, ambaye ulikuwa unanambia nitoke na Mary, imekuaje leo unanigeuka tena?”
JANE: “Sijawahi kukwambia kuhusu kudate naye, nilikwambia mpe anachotaka ili atulie na sio kuanzisha mahusiano kama ulivyofanya. Nashangaa kuona umenasa mazima, na wewe ni mume wa mtu, are you serious?”
MIMI: “Nilijitahidi sana kumkwepa Mary, lakini baada ya kuja Dodoma, mahusiano yetu yalianza rasmi.”
JANE: “Kama alikuletea mwenyewe Dodoma, ilikuaje ukakubali kuanza naye mahusiano?. Nilitegemea ungekuwa una hit na sio kuanzisha mahusiano kama ulivyofanya.”
MIMI: “ Ukweli nampenda sana Mary, hadi natamani anizalie watoto.”
JANE: “Umeanza kuzingua, mara 100 ukawa unamla kishikaji, lakini sio bomu unalotaka kulitega, likija lipuka hata wewe hutakuwa salama. Nisikilize Insider, Mary ni mwanamke anayejitambua, anastahili kuolewa na sio kuchezewa. Umefanya mtoto wa watu amezama mazima kwako, yaani amezama kabisa na maamuzi anayofanya sasa hatumii akili yake.“
MIMI: “Shem unataka kusema nini? Maana sikuelewi kabisa.”
JANE: “Ushauri wangu, angalia namna ya kuachana naye kuliko kuja kuharibu familia yao, hasa mdogo wake. Wataweza kuja kuuana kisa wewe na ukaingia kwenye matatizo makubwa hadi kwa familia yako.”
MIMI: “Anza kuongea naye kama dada yake, ila mimi siwezi kumuacha. Bora aniache mwenyewe ila mimi siwezi kabisa.”
JANE: “Heheheheee! Ngoja niwaache usije sema nawaonea wivu, ila tambua kosa kubwa sana unafanya, utakuja kunikumbuka.”
Baada ya Jane kumaliza kula, tulirudi dukani, nami nilianza kumsaidia kupiga hesabu za mauzo. Pia, nilimshauri afungue akaunti ya bank iwe maalumu kwaajili ya biashara tu, ili pesa za mauzo zote awe anaweka humo.
Nilimpa taarifa kwamba mwezi wa 10 nitarudi chuo kusoma masters. Jane alikuwa anajua kinachoendelea, hivyo alisema ni jambo zuri kurudi shule. Jane alikazia kwamba Mzee Juma ananikubali sana, hivyo nisimuangushe kwenye hili.
Nilishinda na Jane hadi saa 12 jioni, kisha tukaondoka wote. Mimi nilielekea nyumbani, na yeye alielekea Mbweni. Baada ya kufika maeneo ya chuo cha Ulinzi, nilipata wazo la kumtembelea Ghati, nikamsalimie kabla ya kwenda South Africa, kwani nilikuwa nimempa ahadi.
Nilipark gari pembeni, kisha nikampigia simu na kumtaarifu niko njiani naenda kwake, akasema yupo home. Nilipiga U-turn na kuanza safari ya kwenda Mbweni, nikiendesha gari kwa kasi sana. Ndani ya muda mfupi niliwasili kwenye apartment anayoishi na alitoka kunifungulia gate na kunikaribisha ndani.
Ghati alilalamika sana kuhusu kitendo changu cha kuondoka Dar bila kumtaarifu na kutopatikana kwenye simu. Nilimuomba msamaha tena na nikampa ahadi ya uongo kwamba tutaenda wote Zanzibar pamoja. Kidogo kidogo, alitulia.
“Kipindi niko Dodoma, nilikuwa natumia namba mpya. Ghati alikua akinitafuta sana bila mafanikio, na hivyo akaanza kuwa na wasiwasi juu yangu. Alikuwa anawasiliana na Dullah kumuuliza kuhusu mimi, lakini Dullah naye alikuwa anamwambia hana mawasiliano yoyote na mimi.”
Baada ya lisaa kupita, nilimuaga Ghati kuwa naondoka kwa sababu nilitaka kurudi nyumbani mapema ili nicheze na Junior, kwani Elena alikuwa amenitumia ujumbe kuwa Junior amerudi. Ghati hakutaka kuniachia mapema; aliniomba nilale kwake usiku huu, akisema alijua ningeweza kufurahia usiku huo kuwa naye.
Nilitamani kumwambia Ghati nina mke na mtoto, lakini niliamua kunyamaza na kupanga kumwambia siku nyingine. Suala la kulala kwake halingewezekana, hivyo nilimkatalia kwa kumpa ahadi ya kuja siku nyingine. Ingawa nilihisi uzito wa kukosa ukweli, nilijua ilikuwa bora kwa wakati huu.
Niliondoka kurudi nyumbani, na wakati niko njiani, Prisca alikuwa akipiga simu. Sikuwa na mpango wa kupokea simu zake, hivyo niliacha tu. Baada ya kuona sipokei simu, alituma ujumbe ambao niliusoma baada ya kufika nyumbani.
Ujumbe wake ulisomeka hivi:
“Hi Insider, naomba nisamehe kama nakusumbua, pia najua uko busy sana kiasi kwamba unashindwa kupokea simu au kunirudia. Naomba tuonane pindi ukipata nafasi, nina mazungumzo muhimu sana na wewe. Ahsante.”
Nilimjibu kwa kumuandikia:
“Nikirudi safari nitakucheki kipenzi, uwe na masomo mema.”
Nilijifikiria pale nje kibarazani, nikahisi kuna shida. Nilijisemea haiwezekani Prisca aombe tuoanane, lazima kutakuwa na jambo amebaini kati yangu na Mary.
Niliingia ndani, na kwenye sebule nilimkuta Elena akicheza kwa furaha na Junior. Bila kusita nilimnyanyua juu na kumshusha, nilitaka nikaoge kwanza, kisha nitarudi kucheza naye. Nilipofika chumbani, nilimkuta mama J akijisomea kwa makini. Nilimsalimia kwa sauti cha chini huku nikielekea bafuni kuoga.
Nilivyotoka mama J alianza kuongea;
MAMA J: “Baba J umelala wapi siku mbili, na simu zako hazipatikani.”
MIMI: “Nilipata emergence nilienda Dodoma mara moja.”
MAMA J: “Juzi tu hapa umetoka hukohuko, halafu unanidanya huoni aibu?.”
MIMI: “Sawa sikuwa Dodoma nilikuwa kwa mchepuko, sindo unataka kusikia hivi?”
MAMA J: “Umeenda Dodoma, ulishindwa hata kutoa taarifa? Unatuacha kwenye wasiwasi maana simu zako hazipatikani.”
MIMI: “Simu zilikata chaji, halafu nilienda nje ya mji ni masuala ya biashara. Kwanini ukampigia simu dada yangu na kuanza kumpa taarifa kwamba sijalaa nyumbani, unataka kunigombanisha na familia yangu?”
MAMA J: “Wifi yangu ndiyo mtu pekee ambaye huwa namwambia tabia zako, ulitaka nimwambie mama?”
MIMI: “Nisikilize, naona unavuka mipaka sasa. Kama unaona nakuumiza sana, unaweza kwenda ukaanza maisha yako, kuhusu mali tutagawana, hili ondoa wasiwasi.”
MAMA J: “What? Baba J wewe leo hii ndiyo wa kunitamkia haya maneno tena waziwazi bila kuogopa. Ni dhairi umepata mwanamke mwingine ambaye anakufanya unione sina hadhi kwako, sawa nashukuru.”
Aliendelea kuongea, lakini niliamua kunyamaza kimya, sikutaka kumpa airtime. Zaidi nilichukua laptop yangu na kuanza kupitia taarifa na ripoti za biashara nilizokuwa nimetumiwa. Baada ya dakika 10 kupita nilisikia sauti ya chini ikiniita na nikageuka kumsikiliza;
MAMA J: “Baba J kuna sehemu yoyote nimekukosea?”
Nilitikisa kichwa kumaanisha hapana.
MAMA J: “Kama kuna mahali nimekukosea naomba unisamehe.”
Sikujibu kitu, nilinyamaza kimya maana niliona ananikera tu. Baada ya kumaliza kazi zangu nilipanda kitandani na kulala.
Asubuhi baada ya kuamka nilimpigia simu Iryn, kijua maendeleo yake, lakini hakupokea simu zangu, nikajisemea wacha nimpigie sister. Baada ya kumpigia sister naye hakupokea, hivyo nikamtumia ujumbe wa kumsalimia.
Baadae nilimpigia simu Vivian na tuliweza kuongea, lakini alinitaarifu kuwa, hali ya Iryn sio nzuri. Jambo jingine, tarehe za kujifungua zilikuwa zimefika, lakini hakuwa na dalili zozote zile, hivyo alisema wataenda hospital, kuangalia afya yake zaidi.
Nilimwambia Vivian atanipa mrejesho, pia nilitamani sana kuongea na Iryn, lakini alinambia bado amelala. Nilijiandaa kwa haraka sana ili niwahi kwenda Mikocheni kuonana na Mzee Juma, kwani alikuwa amenipigia simu ili tuoanane.
Nilitoka home saa 4 asubuhi kuelekea Mikocheni na nilitumia muda mfupi sana kuwasili nyumbani kwake. Nilipark gari yangu, pale Contena Bar maana angeona natumia Benz angeshtuka, hivyo niliona ni busara nikaipark mbali.
Mzee Juma alikuwa anataka ripoti yake kuhusu masuala ambayo tulikuwa tumeongea ya kurudi shule. Kwa upande wangu nilikuwa nimeandaa hesabu zote na nilimkabidhi pale tukaanza kuichambua ripoti kwa pamoja. Baada ya kuzipitia hesabu vizuri, kuna baadhi ya vitu mzee alisema niongezee ikiwa ni pamoja na Account ya Bank. Mzee alinipa kazi ya kuandaa tena ripoti upya, kisha nimtumie ili aiweke kwenye mipango yake.
Habari nyingine kubwa ilikuwa kuhusu mradi anaojenga kule Kunduchi na alisema ukikamilika utakuwa chini ya binti yake Cami, pia atahitaji tusaidiane wote kwenye usimamizi. Mwishoni aliniaga kwamba jumatano atakuwa na safari ya kwenda nje, na atarudi september mwanzoni.
Baada ya kumaliza maongezi yetu, nilimuaga Mzee na kuondoka kuelekea Masaki kuonana na Immaculate, yule dada IT. Nilihitajika sana kwenda pale ofisini kwako kwaajili ya kusaini baadhi ya agreement kutokana na kazi tuliyowapa.
Baada ya kufika pale ofisini alitoka kunipokea na kunikaribisha ndani kwaajili ya maongezi zaidi. Nilianza kumtania pale imekuwaje mrembo kama yeye amekuwa IT? Aliishia kucheka na akasema ni profession, alienda mbali zaidi akasema kuna warembo wengi tu, ambao ni ma-engeneer.
Baada ya utani mfupi, tulianza rasmi mazungumzo kuhusu kazi. Alinipa elimu kuhusu tovuti na jinsi ya kuhost, jambo ambalo lilinivutia sana. Alinionesha kazi mbalimbali walizofanya, na hapo nikagundua wanashughulika na miradi mingi, hata ya kampuni za kimataifa.
Kuhusu kampuni yetu alinionesha muonekano wa mwisho, kuanzia kwenye format na structure, design na layout, hadi kwenye content. Pia, alisisitiza masuala ya usalama, akisema kwamba kazi kubwa itakuwa upande wao, jambo lililonifanya niamini kuwa wana ujuzi wa hali ya juu.
Wakati tukiendelea na mazungumzo, simu yangu ilianza kuita. Nilipoangalia, nikaona ni dada yangu akipiga, hivyo ilibidi nitoke nje ili nipokee simu yake. Dada alinitaarifu kuhusu hali mbaya ya Iryn, akasema amezidiwa na amelazwa, na anaweza kujifungua muda wowote, hata kwa upasuaji. Hatukuongea sana, kwani alisema yuko busy, lakini aliahidi kunicheki baadaye kwa maongezi zaidi. Moyo wangu ulijawa na wasiwasi, nikijua jinsi hali ilivyo tete.
Baada ya dada yangu kukata simu, nilihisi kuwa ni lazima niende South Africa ili niwe karibu na Iryn katika kipindi hiki kigumu. Nilirudi ndani na kumwambia Immaculate kuwa naondoka, kwani mazungumzo yetu muhimu tulikuwa tumemaliza. Alishangazwa kuona nikimuaga kwa haraka kiasi hiki, kwani hakutarajia kuwa ningeondoka kwa ghafla.
Nilimcheki kaka mmoja ambaye ni agent wa ndege, nikamuomba anichekie tiketi ya ndege kwenda South Africa, hata usiku wa leo. Alikubali, akaniambia nimpe muda aniangalizie, halafu atanirudia. Huyu kaka ni mtu aliye na uhusiano mzuri na Iryn, alinipatia namba zake kwa sababu anaweza kutafuta ndege kwa urahisi, bila kujali muda.
Kabla ya kuondoka, nilipata wazo la kuweka mambo sawa, ikiwemo kuikabidhi apartment ya watu kwa sababu muda ulikuwa umekwisha. Nilitafuta mawasiliano na dalali, kisha nikaelekea kwenye apartment. Niliondoa vitu vyangu na kumkabidhi funguo dalali.
Saa 9 mchana, kaka agent alinipigia simu na kunitaarifu kuwa amepata tiketi, lakini ndege itaondoka saa 9 usiku. Aliniomba nimtumie taarifa zangu, na mimi nikaomba anitumie namba ya kufanya malipo ili nilipie mapema. Nilijua ni muhimu kukamilisha mchakato huu haraka ili nisiwe na wasiwasi kabla ya safari yangu.
Baada ya hapo, nilielekea ofisini kuonana na akina Hilda ili kuwaaga. Tulianza mazungumzo, nikawapa taarifa ya mimi kwenda South kwa ajili ya Iryn. Wote walinitakia safari njema na kila la kheri. Hilda aliniambia atanipeleka airport, jambo ambalo lilinipa faraja na kuonyesha kwamba wananijali.
Nilipata wazo la kuondoka kurudi nyumbani ili nipumzike na kujiandaa kwa safari ya baadaye. Baada ya kufika nyumbani, nilianza kupanga nguo zangu, nikiwa na uhakika wa kuzingatia pasipoti na nyaraka zote muhimu za safari. Ilikuwa ni muhimu kwangu kuhakikisha kila kitu kiko tayari ili niweze kuwa na amani na kujiandaa vizuri kwa kile kilichokuwa kinakuja.
Baada ya kumaliza kupanga vitu kwenye bag, niliamua kupumzika kidogo kwenye sofa dogo ndani ya chumba chetu. Simu yangu ilianza kuita, jina la mama lilionekana kwenye kioo cha simu. Nilihisi presha kuongezeka ghafla; nilijua lazima kuna kitu. Nilipokea simu kwa hofu.
“Samahani, mwanangu, naomba unieleze ukweli," mama alianza kwa sauti ya upole lakini yenye uzito. “Mama J kanipigia simu leo, kasema eti unalala nje kwa mwanamke mwingine, na toka urudi Dodoma umebadilika sana. Anasema unamdharau waziwazi."
Nilijua kabisa mama J alikuwa kanichongea kwa mama yangu. Nilijibu kwa upole, nikijitahidi kutojibizana na mama yangu. “Mama, hayo maneno si ya kweli. Tafadhali, usisikilize hizo habari zisizo na ukweli."
Mama hakuridhika, “Hapana mwanangu, naomba unisikilize. Usithubutu kufanya ujinga kwa mama J. Kama kweli unamdharau, basi usiniite mama tena.”
Kauli ya mama ilinigusa moyoni. Maneno yake yalichoma kama kisu kwenye roho yangu. Sikuweza kumlaumu mama kwa kuwa upande wa mama J, mama aliamini kwamba mama J alikuwa msema kweli.
Baada ya simu hiyo, hasira zangu zilianza kupanda kwa kasi. Nilijikuta nikijisemea kwa sauti ndogo, “akirudi home, atanikoma huyu mwanamke” Yeye ndiye mchawi wangu.” Chuki ilianza kuchukua nafasi ya upendo niliowahi kuwa nao kwake. Niliona kama yeye ndiye aliyekuwa kikwazo katika maisha yangu.
Mama J alirudi nyumbani saa 1 usiku, na tulianza ugomvi kwa kile alichofanya kumpigia simu mama yangu. Tuligombana sana mle chumbani, huku hasira zetu zikionekana wazi. Cha ajabu, katika ugomvi wetu, Junior alikuwa akicheka sana, kana kwamba anaelewa kinachoendelea.
Saa 7 usiku, nilianza safari yangu ya kwenda airport, nikiwa nimewasiliana na Hilda ili tukutane Mwenge. Kuhusu mama J, nilimwambia tu kwamba nasafiri kwenda nje, bila kumwambia ni wapi hasa, kwani hatukuwa kwenye maelewano mazuri. Nilihisi kuwa ilikuwa bora kukaa kimya ili kuepuka mtafaruku zaidi.
Niliondoka kwa Uber kuelekea JNIA, na upande wa pili wa South Africa, nilikuwa tayari nimepa dada yangu taarifa kuhusu safari yangu. Baada ya kumpick Hilda pale Mwenge, tukaendelea na safari yetu. Njiani, tulikuwa tunapiga stori nyingi sana, Hilda ni moja ya watu wa karibu, kwahiyo tukiwa pamoja story huwa haziishi.
Baada ya kuwasili pale JNIA, tulikaa na kuendelea na mazungumzo. Nilimsihi sana Hilda aisimamie kampuni vizuri hadi nitakaporudi, nikijua kuwa ilikuwa muhimu kwa ajili ya usimamizi mzuri. Baada ya dakika 20, tuliagana kwa kukumbatiana, nami nikacheck-in kwa ajili ya kuanza safari yangu kuelekea South Africa, nilijua ni mwanzo wa safari muhimu na nilikuwa na matumaini makubwa.
🔜
Na wanawake wanaowaacha wanaume kisa wamefulia kwao inakuwaje baraka zao akashizikilia nani.Some few words from elders.
1. Wakati naishi kanda ya ziwa, mkoa wa Mwanza na Geita, niliwasikia wanawake in different locations kwamba endapo una mimba halafu baby wako au mwanamke mwenyewe akawa anapiga friend match then kuna possibility kubwa sana ya kuzaa kwa operation na sio kwa njia ya kawaida. I can smell fish here to the boss lady. Ingawa Wasukuma na Wahaya huaga (hasa wanawake ) wanakunywaga dawa kama anti dot. Mimi sizijuiz so msinifate inbox tafadhari.
2. Ingawa hi ni story ya mambo yaliopita, narudia nilicho Andika huko nyuma na wadau kadhaa nimeona wamerudia; "Puyanga uwezavyo but DON'T ignore nyumba kubwa, huyo mama unaye mdharau ndio kashikiria baraka zako. Mifereji ya pesa unayoipata ina uhusiano mkubwa sana na yeye.
3. Nategemea kusikia kuhusu matokeo ya mitihani ya mama Jr; kwa wapenzi wanao pendana na kufanya mambo kwa pamoja na umoja kama Insider na Manka halafu mapenzi yao yakayumba kama hivi; possibility ya kufanya vibaya mitihani yake ni kubwa sana; hasa wakatu wa maandalizi, mara nyingi hata akiwa anajisomea hawezi kuelewa anacho soma. Hili kwa mwandishi alikosea sana.
No 1 na No 2 can't be proved scientifically but nimeona mara nyingi inafanya kazi. Kuhusu No 2, nimeona watu waliokua wanafanya biashara na wakapata pesa, walioachana na wake zao walioanza nao maisha, biashara nazo ziliyumba hadi kufirisika kabisa. Kuna mmoja humu naona kaweka his testimony about it. Swali chonganishi kwa mwandishi, "mkewe anaonekana ni mtu aliyemshika sana Mungu; hajawahi kuoteshwa ndoto kuhusu usariti wa mumewe?
Anyway, tuendelee kuburudika
Ngoja niwe wa kwanza kumjua hilda 😀😀😀😀😀😀Leo nawafungulia code mfeli nyie tu.
Nenda instagram kwenye page ya mbudya_life . Hilda, amepostiwa akiwa kwenye bata. Kama ulikuwa unanielewa kwa makini, navyomuelezea, utamjua. Anzia August 1- to date🤷🏻♂️.
Anyway poleni kwa maandamano ya jana, japo mwenzenu, siasa zilinipita kushoto ✌🏻😂.
Asilimia kubwa ya wanawake ni majasusi. Halafu wana wivu unaovuka mipaka. Jambo dogo analikuza. Amejijengea imani unamcheat hata km si kweli... Wanaume wengi tunakwazwa sana na hili jambo basi tuSifa nzuri za Mama J. Kupitia Simulizi hii:
1.ni mama mwema na mke mwaminifu(Kuna tofauti kubwa ya maneno hayo)
2. Ni Ishara na kibali Kwa mumewe( apateye mke apata kitu chema Tena apata KIBALI mbele za Mungu)....so kila mwanamke ana sifa hizo
3.anajua kujali,kupenda na kuthamini familia yake..
4. Ana maono kuhusu kesho ya familia..
5. Ana hofu ya Mungu.
MAPUNGUFU.
1. Hanyumbuliki( mwandishi mahali pengi amewasifia wanawake wengine kuwa wananyumbulika kitandani lakn si Kwa mkewe)
2.jambo dogo ambalo MDA NA WAKATI Huwa ni hakimu WA Haki yeye tayari amekimbia kurudi kwao(pengine labda sababu kwao ni karibu)
3. Kuchukulia POA ,huyu mwanaume ni wangu na hivyo kutokujua vionjo vya mume wake viko wapi(sex urge ya mumewe Iko juu)..
4.kuhoji na kulalama punde tu mume akirudi ndani(ulikuwa wapi,umelala wapi,huyu ni nani nk..wakati mwingine unapaswa kukaa kimya walau Kwa Lisa limoja au mawili ndipo uulize.)kwenye haya maisha wanaume tunapitia mengi na so kila mengi unayopitia utamwambia mke...ni mpaka upate matokeo ndo utasema..
5..kushinda kujua wakati mwingine ugonvui humalizwa Kwa sex tu....kuna wakat wanaume Huwa tunakuwa wakali kama defence mechanism ya kutokutaka kuulizwa zaidi...mwandishi ameonyesha Hilo sehem nyingi ndan ya Makala yake.
NB:
Kuna siku nimerud home wakat nabadilisha nguo... niligombana na mke wangu sababu zinaendana endana kama za mama J na insider Kisha nikamwambia...
"You have to choose, either you become the kind of a woman who brings LIFE in this house or you become the kind of a woman who brings KNIFE in this house"
Kisha Kwa sauti ya upole akaniambia
"Baba Blanca inawezekanaje nguo zako mpaka tai zina harufu ya jasho halafu mwili wako hauna harufu hiyo?!"...nikamkazia jicho na hapo ndipo nikajua naishi mwanamke Ambae ni Ishara,kibali na jasusi...maana siku hiyo nilikuwa nimechepuka na nikaoga huko....Laumu ilinivunja moyo nao ukaugua sana siku hiyo..
Nakazia Apa👆Watu hamuifuatilii vizuri hii story tangu imeanza.....Insider anatusimulia habari ya maisha yake yaliyopita it means haya anayoyasimulia yalishafanyika 2022- 2023 huko.......nawashangaa mliobusy kumshauri kwamba afanye hivi aache kile. Ambacho kinaendelea kwa Insider kwa sasa ni shule, hiyo Masters na CPA labda mumshauri kuhusu shule
Huwezi ifuta kabisa harufu ya mwanamke uliyelala naye vinginevyo uhakikishe unafika nyumbani mkeo akiwa hayupo. Uvue nguo zote na kuoga kabla hamjaonana. Kuna wale watata wanachukua ulizovua wananusa🤣🤣🤣🤣🤣Sifa nzuri za Mama J. Kupitia Simulizi hii:
1.ni mama mwema na mke mwaminifu(Kuna tofauti kubwa ya maneno hayo)
2. Ni Ishara na kibali Kwa mumewe( apateye mke apata kitu chema Tena apata KIBALI mbele za Mungu)....so kila mwanamke ana sifa hizo
3.anajua kujali,kupenda na kuthamini familia yake..
4. Ana maono kuhusu kesho ya familia..
5. Ana hofu ya Mungu.
MAPUNGUFU.
1. Hanyumbuliki( mwandishi mahali pengi amewasifia wanawake wengine kuwa wananyumbulika kitandani lakn si Kwa mkewe)
2.jambo dogo ambalo MDA NA WAKATI Huwa ni hakimu WA Haki yeye tayari amekimbia kurudi kwao(pengine labda sababu kwao ni karibu)
3. Kuchukulia POA ,huyu mwanaume ni wangu na hivyo kutokujua vionjo vya mume wake viko wapi(sex urge ya mumewe Iko juu)..
4.kuhoji na kulalama punde tu mume akirudi ndani(ulikuwa wapi,umelala wapi,huyu ni nani nk..wakati mwingine unapaswa kukaa kimya walau Kwa Lisa limoja au mawili ndipo uulize.)kwenye haya maisha wanaume tunapitia mengi na so kila mengi unayopitia utamwambia mke...ni mpaka upate matokeo ndo utasema..
5..kushinda kujua wakati mwingine ugonvui humalizwa Kwa sex tu....kuna wakat wanaume Huwa tunakuwa wakali kama defence mechanism ya kutokutaka kuulizwa zaidi...mwandishi ameonyesha Hilo sehem nyingi ndan ya Makala yake.
NB:
Kuna siku nimerud home wakat nabadilisha nguo... niligombana na mke wangu sababu zinaendana endana kama za mama J na insider Kisha nikamwambia...
"You have to choose, either you become the kind of a woman who brings LIFE in this house or you become the kind of a woman who brings KNIFE in this house"
Kisha Kwa sauti ya upole akaniambia
"Baba Blanca inawezekanaje nguo zako mpaka tai zina harufu ya jasho halafu mwili wako hauna harufu hiyo?!"...nikamkazia jicho na hapo ndipo nikajua naishi mwanamke Ambae ni Ishara,kibali na jasusi...maana siku hiyo nilikuwa nimechepuka na nikaoga huko....Laumu ilinivunja moyo nao ukaugua sana siku hiyo..
Duh. Hata kwenye hili unataka data na statistical analysis mkuu? Haya yatakuwa matumizi mabaya ya taaluma🤣🤣🤣🤣Na wanawake wanaowaacha wanaume kisa wamefulia kwao inakuwaje baraka zao akashizikilia nani.
Njoo wanavyonyanyapaa mwanaume hana kitu atanioaje huyu?
Usiwe bias na hii kitu jaribu kuongea facts. Mbona jeff benzos akaachana na mkewe anazidi kuchanja mbuga,bill gate the same ama hizi beliefs or myth huwa Zina apply only in Africa jamani. Wazungu wanaona na kuachana Kila siku,.
Nyie mnatunga ama mnapandikiza Imani za uuoga eti ndiye akashikilia baraka na je wanaoa wanawake wanafirisika Ila before marriage alikuwa na Mali?
Usifungwe uwezo wako wa kuwaza. Pie lete data and statistical analysis na sio uongee mawazo yako sio kuwa ndio yako sahihi
Chukua kinacho kusaidia, vingine achana navyo mkuu, sio lazima. Halafu na wewe unaamini Bill na Linda Gates, wameachana? Kuna mengi sana yapo nyuma ya pazia. Wametalikiana na still wana ishi nyumba moja na wanafanya kazi pamoja na hata taasisi zao za misaada bado zinajulikana kwa majina yao? Enzi za Corona just juzi tu hapo, hujaona waandamanaji walikua wanawasema mtu na mkewe? Story za matajiri tuachane nazo mdogo wangu, kuna mengi nyuma ya pazia. Halafu wengine baraka zao hazitokani na Mungu, umeyasikia ya P Diddy? Kwamba hata kuna wabongo wenzetu hapa jamaa kawapeleka kwa Mpalange, wale utajiri au pesa zao zina code tofauti.Na wanawake wanaowaacha wanaume kisa wamefulia kwao inakuwaje baraka zao akashizikilia nani.
Njoo wanavyonyanyapaa mwanaume hana kitu atanioaje huyu?
Usiwe bias na hii kitu jaribu kuongea facts. Mbona jeff benzos akaachana na mkewe anazidi kuchanja mbuga,bill gate the same ama hizi beliefs or myth huwa Zina apply only in Africa jamani. Wazungu wanaona na kuachana Kila siku,.
Nyie mnatunga ama mnapandikiza Imani za uuoga eti ndiye akashikilia baraka na je wanaoa wanawake wanafirisika Ila before marriage alikuwa na Mali?
Usifungwe uwezo wako wa kuwaza. Pie lete data and statistical analysis na sio uongee mawazo yako sio kuwa ndio yako sahihi
Mshkaji wake Allen, yule Auditor anafukuzia pale, sidhani kama mwamba kama anaweza kumfikiria tena huyu binti wa KibadaINSIDER MAN Hilda hujamweka?