Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Feel like kuna season 3 part 1....mbona mambo badoo
 
Jitulize wewe Mwanaume mzima kujiliza kwenye thread za watu, unataka uombwe radhi wewe kama nani?? unamlipa?? unajua raiba zake?? punguza genye kaa kwa kutulia
Anataka awekewe ratiba ,ili iweje , na yeye si hakuitwa ama aliandikiwa barua kuwa aje kusoma ama Bora afanye ishu zingine. Kwa vile yeye huwa anajifanya Yuko bize basi anajua Kila mtu huwa ndio gear zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…