Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera umrjitahifi kuimaliza.Soon nitakuja na Summary:
Insider thanks for your time haikuwa rahisiSoon nitakuja na Summary:
Noma sanaBora mtoto wa tatu anapatikana kwa Irene nilijua umeongeza baby mama mwingine....kila lakheri. Namuonea huruma sana mama J siku akijua mbaya zaidi watoto 2 nyie watu wanapitia magumu mno.
Sijui ataamua maamuzi gani ila apate furaha tuu, pole yake mwanamke mwenzangu.
Embu tulia basi we boya, mbn unawashwa?Jitulize wewe Mwanaume mzima kujiliza kwenye thread za watu, unataka uombwe radhi wewe kama nani?? unamlipa?? unajua raiba zake?? punguza genye kaa kwa kutulia
Imekaa poa sana hi kakaBONUS CHAPTER 1
Nimeanza kuandika story hii nikiwa South Africa, ule wakati ambao nilikuwa na muda wa ziada, ndipo nilipoanza kuandika Season 1 na kuwapostia. Lengo langu kuu ni kuwapa ujumbe kuhusu safari ya maisha yangu, kutoka mwanzo hadi sasa, maisha ambayo bado ninaishi. Sikutaka kukata tamaa, hata baada ya kumaliza mkataba wangu na taasisi X niliamua kujiingiza kwenye uber, huku ndo nilikopata mafanikio makubwa sana.
Nilichowaandikia ni kama asilimia 30 ya maisha yangu; bado kuna mengi ambayo sijagusia kutokana na sababu za usalama wangu pia.
Kwa ufupi, tangu Iryn alipojifungua, maisha yangu yalianza kubadilika kwa kasi sana. Niliamua kuelekeza nguvu zangu kwenye familia zangu na kujituma zaidi kutafuta hela kwa bidii.
Mwezi Januari 2024, nilikutana na mzee na kumueleza kuhusu suala la kuzaa na Iryn. Alishtushwa sana na habari hizi, na hakusita kunilaumu vikali juu ya hilo. Hata hivyo, nilijitahidi sana kujitetea, hasa kwa kutumia mbinu nzuri ambazo Sister aliniambia.
Mzee aliweza kuelewa hali halisi, na mwezi Februari mwaka huu alikutana na Iryn. Tulienda Zambia kwa ajili ya hili, na baada ya kumuona Aria, mzee alikiri kwamba ni damu yetu. Changamoto iliyobaki sasa ni namna ya kumwambia mama yangu mzazi. Tumepanga kumtaarifu mwezi huu, na safari hiyo itakuwa mimi, mzee, na sister.
Kuhusu mama J, tuko shwari kabisa, na upendo kati yetu umeendelea kukua kwa kasi; tunapendana sana. Junior mwaka huu alianza shule na anaendelea kufanya vizuri sana darasani. Kampuni ya Masaki bado ipo na inaendelea kufanya vizuri sana, na pia mama mtoto amefungua biashara nyingine hapa Dar es Salaam.
Kuhusu mtoto wetu Aria, sasa ana mwaka mmoja na miezi mitatu, na tumefanana sana. Ninajitahidi kumtembelea mara kwa mara kule South, hata wiki iliyopita nilikuwa huko kumuona.
Habari njema nyingine ni kwamba mwezi wa tisa huu ninatarajia kupata mtoto wa pili na Iryn. Baada ya kuja Disemba mwaka jana, tulikutana na hali hiyo ikapelekea kushika mimba. Ingawa hatukupanga hili, hatukuwa na namna zaidi ya kukubaliana yeye kuzaa. Hali hii imefanya niwe nasafiri mara kwa mara kwenda South Africa.
Kuhusu Mary, alipata kazi Mwanza katika moja ya taasisi nyeti inayoshughulika na masuala ya BOP. Hatuko kwenye mahusiano ya kimapenzi rasmi, lakini bado tunakutana kisela.
Mipango yangu ni kuhakikisha kwamba kufikia mwakani kila kitu kiwe wazi kwa mama J. Hata hivyo, hili linasubiri wazazi watoe maamuzi, kwani tunasubiri kuona mama atachukua hatua gani akijua ukweli. Nia yangu ni kumuoa mama J kwa kufunga naye ndoa, lakini hilo litafanyika tu endapo atajua ukweli na kukubali kwa hiari yake.
Mbali na mama J, pia nina mpango wa kumfanya Iryn awe mke wangu wa pili. Sijui wazazi watasema nini kuhusu hili, lakini anatarajia kupata mtoto wa pili. Hali hii inahusisha majadiliano mazito na maamuzi ambayo ni muhimu kabla ya kuchukua hatua zozote.
Nitarudi kuwapa hadithi fupi pale ambapo nitamuweka wazi mama J kuhusu hili suala. Sijui itakuwa lini—labda mwakani au baada ya miaka miwili au mitatu. Lakini nitawapa mrejesho wa kilichotokea kwa kuwapa Season 3 au lah. Nitawapa muendelezo wa mambo yalivyokuwa, kuanzia niliporudi Dar es Salaam mwezi Julai 2023. Hapa katikatika nimepitia mambo mengi sana, hadi sasa ni vile hamjui kinachoendelea nyuma ya pazia, kumekuwa na vikao vingi sana.
Mwisho kabisa, mwakani Mungu akijalia nitaondoka Tanzania na familia yangu kwenda kufanya kazi nje. Jambo la muhimu tuendelee kuombeana uzima na mapambano mema, tuache chuki na Roho mbaya.
Bonus, inayokuja tutachambua wote fursa zinazopatikana Dar es Salaam na huenda nikawa na thanks giving kwa baadhi ya watu watakao bahatika, nikaangalia namna ya kuwa support kwenye harakati zao. Lakini hadi kufikia sasa nimeshatoa kwa watu wengi tu, ambao walikuwa wanakuja inbox na sababu zilizonyooka, na wengi ni matapeli.
Tukutane kesho!
nashauri tu swala la mama J kuna msemo mmoja wa kizungu unasema “All Men can change but there is only one women we can change for”#insiderman ninavyoona Mungu alikuandikia maisha yako uje umalizie na iryn yote ya hapa duniani kama mamaJ hatopendezwa na ww kua na iryn achana nae tu deal na mwanao Jr bs sometimes ni muhimu kufanya maamuzi magumu kwa ajili ya damu zako zote uziweke pamoja pia isitoshe iryn anampenda sana mwanaoJR OA iryne kama mke mkubwa mpe nafasi ya kipekee kuliko uyo mchaga ankoBONUS CHAPTER 1
Nimeanza kuandika story hii nikiwa South Africa, ule wakati ambao nilikuwa na muda wa ziada, ndipo nilipoanza kuandika Season 1 na kuwapostia. Lengo langu kuu ni kuwapa ujumbe kuhusu safari ya maisha yangu, kutoka mwanzo hadi sasa, maisha ambayo bado ninaishi. Sikutaka kukata tamaa, hata baada ya kumaliza mkataba wangu na taasisi X niliamua kujiingiza kwenye uber, huku ndo nilikopata mafanikio makubwa sana.
Nilichowaandikia ni kama asilimia 30 ya maisha yangu; bado kuna mengi ambayo sijagusia kutokana na sababu za usalama wangu pia.
Kwa ufupi, tangu Iryn alipojifungua, maisha yangu yalianza kubadilika kwa kasi sana. Niliamua kuelekeza nguvu zangu kwenye familia zangu na kujituma zaidi kutafuta hela kwa bidii.
Mwezi Januari 2024, nilikutana na mzee na kumueleza kuhusu suala la kuzaa na Iryn. Alishtushwa sana na habari hizi, na hakusita kunilaumu vikali juu ya hilo. Hata hivyo, nilijitahidi sana kujitetea, hasa kwa kutumia mbinu nzuri ambazo Sister aliniambia.
Mzee aliweza kuelewa hali halisi, na mwezi Februari mwaka huu alikutana na Iryn. Tulienda Zambia kwa ajili ya hili, na baada ya kumuona Aria, mzee alikiri kwamba ni damu yetu. Changamoto iliyobaki sasa ni namna ya kumwambia mama yangu mzazi. Tumepanga kumtaarifu mwezi huu, na safari hiyo itakuwa mimi, mzee, na sister.
Kuhusu mama J, tuko shwari kabisa, na upendo kati yetu umeendelea kukua kwa kasi; tunapendana sana. Junior mwaka huu alianza shule na anaendelea kufanya vizuri sana darasani. Kampuni ya Masaki bado ipo na inaendelea kufanya vizuri sana, na pia mama mtoto amefungua biashara nyingine hapa Dar es Salaam.
Kuhusu mtoto wetu Aria, sasa ana mwaka mmoja na miezi mitatu, na tumefanana sana. Ninajitahidi kumtembelea mara kwa mara kule South, hata wiki iliyopita nilikuwa huko kumuona.
Habari njema nyingine ni kwamba mwezi wa tisa huu ninatarajia kupata mtoto wa pili na Iryn. Baada ya kuja Disemba mwaka jana, tulikutana na hali hiyo ikapelekea kushika mimba. Ingawa hatukupanga hili, hatukuwa na namna zaidi ya kukubaliana yeye kuzaa. Hali hii imefanya niwe nasafiri mara kwa mara kwenda South Africa.
Kuhusu Mary, alipata kazi Mwanza katika moja ya taasisi nyeti inayoshughulika na masuala ya BOP. Hatuko kwenye mahusiano ya kimapenzi rasmi, lakini bado tunakutana kisela.
Mipango yangu ni kuhakikisha kwamba kufikia mwakani kila kitu kiwe wazi kwa mama J. Hata hivyo, hili linasubiri wazazi watoe maamuzi, kwani tunasubiri kuona mama atachukua hatua gani akijua ukweli. Nia yangu ni kumuoa mama J kwa kufunga naye ndoa, lakini hilo litafanyika tu endapo atajua ukweli na kukubali kwa hiari yake.
Mbali na mama J, pia nina mpango wa kumfanya Iryn awe mke wangu wa pili. Sijui wazazi watasema nini kuhusu hili, lakini anatarajia kupata mtoto wa pili. Hali hii inahusisha majadiliano mazito na maamuzi ambayo ni muhimu kabla ya kuchukua hatua zozote.
Nitarudi kuwapa hadithi fupi pale ambapo nitamuweka wazi mama J kuhusu hili suala. Sijui itakuwa lini—labda mwakani au baada ya miaka miwili au mitatu. Lakini nitawapa mrejesho wa kilichotokea kwa kuwapa Season 3 au lah. Nitawapa muendelezo wa mambo yalivyokuwa, kuanzia niliporudi Dar es Salaam mwezi Julai 2023. Hapa katikatika nimepitia mambo mengi sana, hadi sasa ni vile hamjui kinachoendelea nyuma ya pazia, kumekuwa na vikao vingi sana.
Mwisho kabisa, mwakani Mungu akijalia nitaondoka Tanzania na familia yangu kwenda kufanya kazi nje. Jambo la muhimu tuendelee kuombeana uzima na mapambano mema, tuache chuki na Roho mbaya.
Bonus, inayokuja tutachambua wote fursa zinazopatikana Dar es Salaam na huenda nikawa na thanks giving kwa baadhi ya watu watakao bahatika, nikaangalia namna ya kuwa support kwenye harakati zao. Lakini hadi kufikia sasa nimeshatoa kwa watu wengi tu, ambao walikuwa wanakuja inbox na sababu zilizonyooka, na wengi ni matapeli.
Tukutane kesho!
BONUS CHAPTER 1

Asante kwa muda wako tumefurahi tumejifunza pia nitakuchekBONUS CHAPTER 1

Ikipatikana connection za kazi usisite kutushitua Fam.✍️🙏BONUS CHAPTER 1

Mkuu ukija Zanzibar njoo tukutembeze na sisi wa huku zenji utupe supportBONUS CHAPTER 1