Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Bure yoyote ni ghali sana
Umeonae, nimependa unavyoweza kusema ukweli. Wengi humu hawawezi kusema/kutambua huo ukweli, wanabakia tu kuomba omba.

Insider atajidai ooh nna kazi zingine, kwanza hamnilipi, anasahau hatukumwita wala kumtumia barua ya maombi.. we are all here for fun.

Naturally tu mtu smart anatakiwa aseme tu, jamn nimebanwa itakuwa mpaka siku flan, au aweke tu ratiba inayoeleweka.

Huyu bwana mdogo ana nyodo za mwali
 
Insider angekuwa anafata ratiba za kurusha kama huko nyuma esp kwa hii season ya pili, wasomaji wangeisha azidi 10m

Ila kwa sasa labda Mary kamletea mabalaa maishani 🤣🤣🤣joking

Anasafiri sana siku hizi itakuwa na wengi wametaka mjua na codes labda anabadilisha aliyojiandaa tayari kurusha..
 
Insider wangekuwa nafata ratiba za kurusha kama huko nyuma esp kwa hii season ya pili, wasomaji wangeisha azidi 10m

Ila kwa sasa labda Mary kamletea mabalaa maishani 🤣🤣🤣joking

Anasafiri sana siku hizi itakuwa na wengi wametaka mjua na codes labda anabadilisha aliyojiandaa tayari kurusha..
Hasa hasa wadada asee looh..

Yaani kwenye story wanaona kabisa jamaa mademu wamemzidia, ila bado nawao wanamzonga pm..

Embu waambie hii account mbadala ya insider waje pm
 
Back
Top Bottom