Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Mmeipenda wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeamua kutoa ya moyoniila INSIDER MAN kitendo cha kulike bila kutoa neno na ukijua tuna arosto unatufedhehesha. tunakuheshim na unatuheshim.
haipaswi kuwa hivo.
Sasa huyu ana uzuri gani?View attachment 3106470
15 anaanzia huyu mkuu.
Hasira za nini wee mamaaa?Maana yake nini
Umeonae, nimependa unavyoweza kusema ukweli. Wengi humu hawawezi kusema/kutambua huo ukweli, wanabakia tu kuomba omba.Bure yoyote ni ghali sana
Umeonae, nimependa unavyoweza kusema ukweli. Wengi humu hawawezi kusema/kutambua huo ukweli, wanabakia tu kuomba omba.
Insider atajidai ooh nna kazi zingine, kwanza hamnilipi, anasahau hatukumwita wala kumtumia barua ya maombi.. we are all here for fun.
Naturally tu mtu smart anatakiwa aseme tu, jamn nimebanwa itakuwa mpaka siku flan, au aweke tu ratiba inayoeleweka.
Huyu bwana mdogo ana nyodo za mwali
Hasa hasa wadada asee looh..Insider wangekuwa nafata ratiba za kurusha kama huko nyuma esp kwa hii season ya pili, wasomaji wangeisha azidi 10m
Ila kwa sasa labda Mary kamletea mabalaa maishani 🤣🤣🤣joking
Anasafiri sana siku hizi itakuwa na wengi wametaka mjua na codes labda anabadilisha aliyojiandaa tayari kurusha..
uzuri ni swala mtambuka.Sasa huyu ana uzuri gani?
wenyewe wanasema haichukui nafasi ya dactari 🤣🤣🤣🤣
Watu mnavyolilia hii simulizi mbona mnakuwa na utoto mwingi sana ?
Tafuteni mambo mengine ya kufanya someni hata katiba ya nchi. Mbona mnataka kuwa taifa la hovyo hovyo ???
Unawatesa vijana na arosto mkuu 🤣🤣🤣WE EAT FULLY TODAY
20:00 🕗
See you soon 🔜
WE EAT FULLY TODAY
20:00 🕗
See you soon
Muda wa kuandaa popcorn, low lights na mocktail pembeni kushuhudia simulizi pendwa🔥WE EAT FULLY TODAY
20:00 🕗
See you soon 🔜