JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,011
- 1,681
Haha unazingua boss
Ngoja nirudi tena
Ila kuna mrembo nimemhisi hisi hivii
View: https://www.instagram.com/p/C-rsh-5NEyl/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha unazingua boss
Ngoja nirudi tena
Ila kuna mrembo nimemhisi hisi hivii
Wewe uwajui mademu wa kaskazini vizuri Yani hapo sasa mama j alishajua kua MWAMBA anamletea michepuko mpaka home sasa kaona bora amwage ugali tuInawezekana Mama J anampima tu Insider ili kumwonesha kuwa kuna njema linamkuna lkn sidhani. Kwa akili ya kawaida, mwizi hawezi kuacha ushahidi kizembe hivyo.
Hii ni mbinu ambayo mwanamke mwaminifu huweza kuitumia kulipa kisasi kwa mwanaume mchepukaji.
In short Mama J kafanya usanii tu.
Sio kweli Kwa kuwa INSIDER MAN ni mweupe na huyo kijana mwenye picha ni mweusi, Vile Vile dada mwenye picha ni mzungu na Iryn ni chotara Kwa maana ya kuwa Baba ni mzungu na mama ni mweusi
Umemsahau na MARRY nae ataleta timbwili kubwa huko mbeleniMama J mwambie tu ukweli kuhusu Iryn achague mwenyewe kusuka au kunyoa. Mwambie unaoa wake 2 kwa ndoa ya Bomani au kimila. Akikubali fine akikataa unakuwa umemaliza msala kirahisi tu.
Ni vema ukawa mkweli sasa hivi kuliko kusubiri ajue.. Na usimuoe bila kumwambia huu msala let her choose by herself .
Huko kwa Mary na wewe umezidi hao wawili ilikuwa poa tu
Punguzen ujuajiHuyu jamaa ni kicheche sasa ninvyoona hawa mademu watamfanya kitu mbaya?
Sio yeye huyu ni mghanaINSIDER MAN
Jaman nawaletea Hilda
Nakujakuja