Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 547
- 892
UnavitukoSijawahi k
KUielewa kabisa mkuu yaan mimi ukisema tu ninfiction nakosa interest nilisishia episode One tu
UnavitukoSijawahi k
KUielewa kabisa mkuu yaan mimi ukisema tu ninfiction nakosa interest nilisishia episode One tu
Kwani kuchat hapa JF huwa unalipwa shilingi ngapi?? Vingapi unavyofanya na hulipwi 10 mbovu binti yangu??We kaka unajua silipwi?
okay hakuna sababu ya kufanya hivyoNimejibu nilichoulizwa. Anzia nyuma kwenye komenti iliyozaa hilo jibu
Leo ana-graduateMkuu INSIDER MAN tupia muendelezo leo kiongozi. Arosto ni kali mno!
Insider alisema anavaa joho mwakani maana masters kaanza October mwaka janaMnaotaka kumfaham Insider nendeni leo kwenye mahafari, atakayesomwa best student ndo huyo (CPA-T)
😂Mnaotaka kumfaham Insider nendeni leo kwenye mahafari, atakayesomwa best student ndo huyo (CPA-T)
MwakaniLeo ana-graduate
Nadhani CPA bado hajamaliza, labda masters ndio alileta feedback yake hapa.Mnaotaka kumfaham Insider nendeni leo kwenye mahafari, atakayesomwa best student ndo huyo (CPA-T)
Huyo ni Diddy wa Dar. We mletee shobo tu.INSIDER MAN, story nimeikubali, nafikiria zawadi ya kukupa, I shall contact you later and please accept it.
Vipi siku hizi hulilii mshedede huko PM?Na wewe unawatafuna kuonyesha uanamme wako? Mbona mm sijui
Nililia mshedede wako jamani au niliomba majiVipi siku hizi hulilii mshedede huko PM?
NdiooMmm ya kweli haya?
Tatizo lenu hayo majina numyie mnahisi ni yeynyewe .. ni bandiaKuna clip manzi anadance kwenye boat ile kila nikiicheck nasema huyu ni Hilda, kucheck kwenye comment kuna mwamba kacomment Hildaah 😀
Ungeuliza dada salon yenu iko maeneo gani Masaki, hahahaTatizo lenu hayo majina numyie mnahisi ni yeynyewe .. ni bandia
Hata kuhusu saluni sio biashara hiyo.Ungeuliza dada salon yenu iko maeneo gani Masaki, hahaha