Insider please 🥺 naomba kati ya watu utakaowapa bonus n Mimi unikumbuke kwasababu Dunia hairawah kuwa Fair kwanguUliza swali lolote nitakujibu hapa:
Insider please 🥺 naomba kati ya watu utakaowapa bonus n Mimi unikumbuke kwasababu Dunia hairawah kuwa Fair kwanguUliza swali lolote nitakujibu hapa:
Huyu ni asmahView attachment 3106470
15 anaanzia huyu mkuu.
Mbona alishakuwa kiben10 kitambo, hapa namkumbusha tuu awe kiben10 Pro Maxwewe unamfundisha @insiderman kuwa Kibenten
Sio wewe tu ndugu yangu, wengi tuna hii misala sema tumekausha. Watoto na mama zao wa nje tunawapenda ila kuwatambulisha inakuwa ngumu maana unawezafupisha maisha Yako hapa dunianiDaah! Niliplan kuzungumzia hili pindi nitakapokuja na Season 3. Naamini kufikia disemba mwakani kila kitu kitakuwa sawa, nitakuja kuwapa mrejesho. Tutamaliza utamu mapema sana, vumilia swirry, 🥰
Lakini, hajawahi kumtumia picha, pia alibadilisha namba ya simu. Inshort ni kwamba mama J nishamuandaa vya kutosha kisaikolojia, na anahisi nina mtoto na Iryn.
Suala la mama J linaniumiza sana kichwa, huko ukweni jinsi wanavyoniamini wakija kupata hizi taarifa sijui watanifanya nini.
Check your PM boss!Uliza swali lolote nitakujibu hapa:
😂😂😂🙌🏻hi comment mzee jau sanaNimesikitika sana baada ya Iryn kukupigisha puli na wewe kukubali.
Halafu unajisifia eti risasi zikatoka za moto
Amini mkuu⭐nyota 5 tenaHii simulizi ipigiwe kura ya simulizi bora ya mwaka
Mtoto wa kiume unalilia ofa 🙆🏿♂️Insider please 🥺 naomba kati ya watu utakaowapa bonus n Mimi unikumbuke kwasababu Dunia hairawah kuwa Fair kwangu
Wewe ni kiaz... heb soma vizuri ndio ujib..Acha kurukia rukiaKuna historia jombaa, na kila mtu ni mkali kwa anachokipenda.
Mama 2 akiweka mzani kati ya mwanae na huyu mwamba ni wazi anaempenda zaidi ni mwanae na ndo atamlinda at any cost.
Wewe unasema huamini mtu halafu unataka mama 2 akuamini wakati kuna ushahidi kua unamhonga binti yake kwa mlango wa nyuma bila mama mtu kujua...
Hata mimi ningekua mwamba ningesamehe tu, shit happens
Wewe unasema huamini mtu halafu unataka mama 2 akuamini wakati kuna ushahidi kua unamhonga binti yake kwa mlango wa nyuma bila mama mtu kujua...Kuna historia jombaa, na kila mtu ni mkali kwa anachokipenda.
Mama 2 akiweka mzani kati ya mwanae na huyu mwamba ni wazi anaempenda zaidi ni mwanae na ndo atamlinda at any cost.
Amekurupuka puuuWewe unasema huamini mtu halafu unataka mama 2 akuamini wakati kuna ushahidi kua unamhonga binti yake kwa mlango wa nyuma bila mama mtu kujua...
Hata mimi ningekua mwamba ningesamehe tu, shit happens
Kwa haya maneno yako..ni kweli umerukia swali la huyo mkuu hapo