Kwenye hii story baadhi ya wanawake hawafurahii mwanamke mwenzao( mama j) kuibiwa mume wake. Nadhani wanamlaani Sana Iryn.Hongera Iryn
Pole mamaJ
Kwenye hii story baadhi ya wanawake hawafurahii mwanamke mwenzao( mama j) kuibiwa mume wake. Nadhani wanamlaani Sana Iryn.Hongera Iryn
Pole mamaJ
Hata mimi sifurahii mama J kuwa abandonedKwenye hii story baadhi ya wanawake hawafurahii mwanamke mwenzao( mama j) kuibiwa mume wake. Nadhani wanamlaani Sana Iryn.
Unajua hizi ni grounds za kubatilisha ndoa? Hata iwe katoliki? Amuambie kabla hajaoaUshauri wangu kama una Nia ya dhati ya kutokumpoteza mama Junior Bora usimwambie chochote zidisha Mapenzi tangaza ndoa halalisha akijua ukweli anaweza aka give up ukabaki na Iryn.
Hata akija kujua tayari keshafunga ndoa sio rahisi akuache
Iryn Iko kipindi atakuacha hasa kama atagundua unamcheat
Naona unaandika kihabeshiመልካም ሌሊት ሕዝቤ🙏
Sorry ,naomba nitofautiane kidogo na wewe.Nafikiro Iryn alianza kumuelewa INSIDER MAN toka siku alipo mpeleka kwake akiwa kalewa chakari na akabaki anamhudumia mpaka asubuhi na hakumgusa.Pia,pamoja na kwamba aligundua ana pesa lkn mshikaji hakushoboka.Sperm donor wapo wengi na kama usimamizi wa biashara angeweza kuajiri Manager mzuri tu...naamini Iryn kampenda mwamba kwa ile tabia lkn pia pamoja na hayo Insider kamuweka Iryn kwen ya nafasi ya mwanamke,hajaruhusu ampande.Iryn anajua mshikaji mchepukaji but she is still there..whyNawaza tu, simfahamu Iryn wala mama J lakini moyo wa mtu kichaka, giza nene
1. Mama J akipima akaona jinsi ume'faidika' kutoka kwa Iryn, anaweza akaweka kwenye mzani akaona sio mbaya. Wacha mfaidike wote, akubali aolewe aache lipite kwa makubaliano hautakuwa na makandokando mengine
2. Hell hath no fury as a woman scorned. Mama J mtoto wa kaskazini kule. Anaweza akakubali kuolewa na kuvumilia just kwaajili ya issue za mali. Kumbuka kuna influence za ndugu na nani, muda si muda ukapigwa na tukio. Nadhani unaelewa nisiende mbali, jiongeze...
3. Iryn doesn't need you, she wants you mipango yake iende sawa. You just happened to be the right guy for the job, both jobs (sperm donor na msimamizi mzuri wa mali)
4. Sikiliza mama insider atakachokuambia, mama zetu wanaona mbali
Kama unahitaji wa kuanzisha nao mahusino ni ngumu sana kwa strangers. Madem wa Ethiopia hawana shobo kwa wageni, so kuanzisha nao mahusiano ni ngumu sana, otherwise uwe mwenyeji unaishi kule au mgeni uliyehamia.INSIDER MAN naomba mbinu ya kuwapata warembo wa Ethiopia.
Mama J kwasasa hayuko chini ya wazazi ni above 18. Ana maamuzi yake kama mtu mzima, kuhusu ukristo naweza kuswitch nakuwa muslim. Akina Seleman walioa wake 700 sembuse mimi wake wawili tu?Wakristo hawaruhusiwi Kiowa wake wawili, je wazazi WA mama j huoni kuwa wanaweza kumrudisha binti yao nyumbani na wewe kurudishiwa mahari yako?
Mkuu INSIDER MAN vipi kuhusu fursa za biashara hapa Tanzania ulisema utatupatiaMama J kwasasa hayuko chini ya wazazi ni above 18. Ana maamuzi yake kama mtu mzima, kuhusu ukristo naweza kuswitch nakuwa muslim. Akina Seleman walioa wake 700 sembuse mimi wake wawili tu?
Kama unahitaji wa kuanzisha nao mahusino ni ngumu sana kwa strangers. Madem wa Ethiopia hawana shobo kwa wageni, so kuanzisha nao mahusiano ni ngumu sana, otherwise uwe mwenyeji unaishi kule au mgeni uliyehamia.
Kupata wa hook nao, utawapata ila zingatia yafuatayo:
1. Jua tamaduni zao.
2. Jua kutumia lugha yao- Amharic, atleast ujue kusalimia na baadhi ya maneno muhimu. Wengi wao ngeli hawajui, wanatumia Amharic, ndio lugha yao.
3. Uwe na mwenyeji wa kule
4. Uwe na Pesa.
Ukitaka hoes wapo nenda clubs kama, Club H20, Redsea lounge, The Vault nknk. Lakini kama hujazoea mazingira, tafuta mwenyeji ili uyazoee mazingira. Ukizoea mazingira utawala sana hadi bhasi, cha muhimu pesa, wengi kule wana maisha ya kawaida sana.
Asilimia kubwa ya wanawake wa Kule wana maadili sana, huwezi fananisha na magube ya huku Tanzania.
Pia madem wa kule wanaushamba fulani hivi, hawajawa affected sana na globalization, hasa ukiwakuta wale wa ndani ndani. Unaweza kutana na pisi kali, ila sasa alivyovaa hadi
mambo ya Mondo haya🙌🏿🙌🏿-Nimefurah kusikia unaelekea kupata mtoto WA pili na Iryn...
Juzinimefika Kijiji Cha Mondo huko Kondoa nikakumbuka story yako napale manadan kama ndo hapo nilifika...(We jamaa umetisha sana..
-kwa kifupi una wake wawili..Tena WA pili (Iryn)ana sifa ya ziada iitwayo WoS (woman of substance)..nadhan hukutengemea pale ulipomuuliza mara baada ya kujifungua kuwa anataka zawadi Gani Cha pekee umfanyie..nae akakujibu "Nataka kuwaona Babu na Bibi WA Ariana"..hizo ndizo move za mwanamke ambae ni WoS..
-wala usiwe na shaka na mama J..akijua fully atacomply na situation...shida naweza kuiona Kwa wazazi wake na nduguze(Kuna yule dada yake...)
-kwa andiko lako lenye kila aina ya vionjo..nakutunuki cheo Cha Kanali...
Mwisho msalimie mama Ariana..mama junior Mpungie mkono.....
Kihistoria sababu kubwa ni kuwa Ethiopia haikuwahi kuwa koloni la beberu yoyote. Kwahiyo hamna 'influence' aidha kwa lugha au tamaduni za kigeni za wazungu/waarabu nk.Jua kutumia lugha yao- Amharic, atleast ujue kusalimia na baadhi ya maneno muhimu. Wengi wao ngeli hawajui, wanatumia Amharic, ndio lugha yao
Pia madem wa kule wanaushamba fulani hivi, hawajawa affected sana na globalization, hasa ukiwakuta wale wa ndani ndani. Unaweza kutana na pisi kali, ila sasa alivyovaa hadi kero.
Season 1 nilishare muda sana, kwa season 2 nitarudi na mkeka,Mkuu INSIDER MAN vipi kuhusu fursa za biashara hapa Tanzania ulisema utatupatia
💯Kihistoria sababu kubwa ni kuwa Ethiopia haikuwahi kuwa koloni la beberu yoyote. Kwahiyo hamna 'influence' aidha kwa lugha au tamaduni za kigeni za wazungu/waarabu nk.
Boss kipande gani hiko Iryn alilewa chakari ?Sorry ,naomba nitofautiane kidogo na wewe.Nafikiro Iryn alianza kumuelewa INSIDER MAN toka siku alipo mpeleka kwake akiwa kalewa chakari na akabaki anamhudumia mpaka asubuhi na hakumgusa.Pia,pamoja na kwamba aligundua ana pesa lkn mshikaji hakushoboka.Sperm donor wapo wengi na kama usimamizi wa biashara angeweza kuajiri Manager mzuri tu...naamini Iryn kampenda mwamba kwa ile tabia lkn pia pamoja na hayo Insider kamuweka Iryn kwen ya nafasi ya mwanamke,hajaruhusu ampande.Iryn anajua mshikaji mchepukaji but she is still there..why
Hahahah unatushawishi kaka tutimbe adidas ababa😂Kama unahitaji wa kuanzisha nao mahusino ni ngumu sana kwa strangers. Madem wa Ethiopia hawana shobo kwa wageni, so kuanzisha nao mahusiano ni ngumu sana, otherwise uwe mwenyeji unaishi kule au mgeni uliyehamia.
Kupata wa hook nao, utawapata ila zingatia yafuatayo:
1. Jua tamaduni zao.
2. Jua kutumia lugha yao- Amharic, atleast ujue kusalimia na baadhi ya maneno muhimu. Wengi wao ngeli hawajui, wanatumia Amharic, ndio lugha yao.
3. Uwe na mwenyeji wa kule
4. Uwe na Pesa.
Ukitaka hoes wapo nenda clubs kama, Club H20, Redsea lounge, The Vault nknk. Lakini kama hujazoea mazingira, tafuta mwenyeji ili uyazoee mazingira. Ukizoea mazingira utawala sana hadi bhasi, cha muhimu pesa, wengi kule wana maisha ya kawaida sana.
Asilimia kubwa ya wanawake wa Kule wana maadili sana, huwezi fananisha na magube ya huku Tanzania.
Pia madem wa kule wanaushamba fulani hivi, hawajawa affected sana na globalization, hasa ukiwakuta wale wa ndani ndani. Unaweza kutana na pisi kali, ila sasa alivyovaa hadi kero.
Switch tu kaka ukifwatilia kwanza kiundani izi dini zina mambo mengi ya ajabu kama umeridhia kawe muislim uwape wote wake zako haki sawa.Mchawi je wake zako wapo nao tayari kuswitch dini?😅😅Mama J kwasasa hayuko chini ya wazazi ni above 18. Ana maamuzi yake kama mtu mzima, kuhusu ukristo naweza kuswitch nakuwa muslim. Akina Seleman walioa wake 700 sembuse mimi wake wawili tu?