INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,005
- 19,579
- Thread starter
- #16,181
Kama unahitaji wa kuanzisha nao mahusino ni ngumu sana kwa strangers. Madem wa Ethiopia hawana shobo kwa wageni, so kuanzisha nao mahusiano ni ngumu sana, otherwise uwe mwenyeji unaishi kule au mgeni uliyehamia.INSIDER MAN naomba mbinu ya kuwapata warembo wa Ethiopia.
Kupata wa hook nao, utawapata ila zingatia yafuatayo:
1. Jua tamaduni zao.
2. Jua kutumia lugha yao- Amharic, atleast ujue kusalimia na baadhi ya maneno muhimu. Wengi wao ngeli hawajui, wanatumia Amharic, ndio lugha yao.
3. Uwe na mwenyeji wa kule
4. Uwe na Pesa.
Ukitaka hoes wapo nenda clubs kama, Club H20, Redsea lounge, The Vault nknk. Lakini kama hujazoea mazingira, tafuta mwenyeji ili uyazoee mazingira. Ukizoea mazingira utawala sana hadi bhasi, cha muhimu pesa, wengi kule wana maisha ya kawaida sana.
Asilimia kubwa ya wanawake wa Kule wana maadili sana, huwezi fananisha na magube ya huku Tanzania.
Pia madem wa kule wanaushamba fulani hivi, hawajawa affected sana na globalization, hasa ukiwakuta wale wa ndani ndani. Unaweza kutana na pisi kali, ila sasa alivyovaa hadi kero.