INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,057
- 20,963
- Thread starter
- #16,221
0/3Kulia kwako dada yako, wewe katikati kushoto Iryn
0/3Kulia kwako dada yako, wewe katikati kushoto Iryn
2/3Hao ni
Jimmy, vivian na Samantha
Namba ya kutumia muamala ni
2/3Iryn, insider na mdogoake iryn(jina nmesahau)
Hapo ni RSA.
Utakuja kujua usijali.INSIDER MAN Mbona husemi kilicho endelea baada ya kujua mama j anakwenda VIWANJA na ukamsikia ikiongea kwa simu baadhi mazungumzo yaliyokupa mashaka.
Kwa mara nyingine… hao ni Iryn, insider na dadaako?
👏 Winner. DM your No.Jimmy Vivian Amara
Kwani uliweka picha zao au? Mbona sielewi?👏 Winner. DM your No.
👏 Winner. DM your No.
Hivi hii story umeisoma kweli ukajua mama J na Insider wametoka wapi?? Jinsi mama J alivyomthamini Insider wakati hana hata 100?? Unafikiri hakukuwa na wanaume wenye hela waliokuwa wanamtaka ila akachoose to love him pamoja na hali yake??Piga chini tu, oa Iryn ,kikubwa weka terms nzuri namna ya kumlea Junior katika mazingira mazuri, wanawake wanatuacha sana kwa sababu ya umasikini wetu, na wao kuwaacha kwa sababu ya umasikini wao sio Dhambi......hawa viumbe sio wa kuwaonea huruma.......Angepata yeye mwanaume mwenye pesa asingejiuliza mara mbili angekuacha vibaya sana.
Ulifikiria nini? Maana sikutegemea kuna mtu angepatiaJimmy Vivian Amara
Dress code ya msiba hiyo memory ya mamaake irynUlifikiria nini? Maana sikutegemea kuna mtu angepatia
Mungu huyo huyo anasema zaman zile za ujinga alijifanya kama hazioni lakin sasa anamuamuru kila mtu atubu maana ameiweka siku ya hukumu.Ni Mungu yuleyule wa Suleimani mfalme wa Ke 600+
😂😂😂😂🙌🏻Both teams to score
Uongo hakunaga kitu kama hichoI’m at a stage where I love both equally, 50/50, and I don’t want to lose anyone.🤔