Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,933
- 5,394
Ewaaaa....mbuzi WA pale watamu sana...mambo ya Mondo haya🙌🏿🙌🏿
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ewaaaa....mbuzi WA pale watamu sana...mambo ya Mondo haya🙌🏿🙌🏿
Nitamwambia aniachie Junior wangu, then akaolewe.Mmmh oooh sawa weee
Ila je, Mama J haswa akikwambia nae anataka wake wa pembeni atakupenda 50 na mme mwenza 50 utakubali? Kaswali tu 😊
Bado unamdanganya unajazia tu.. Bila was.
Kila la kheri wazazi wa baby mwingine.
Wale jamaa wanajua kuchoma mbuzi ni balaa🙌🏿Ewaaaa....mbuzi WA pale watamu sana...
Unaweza pia usiswitch ukasalia ulipo ila ukawa na wake wawili. Mababu hawakuswitch na walikuwa na mke zaidi ya mmoja. Mbeya kuna kanisa la mitume, Apostolic Church wana wake zaidi ya mmojaMama J kwasasa hayuko chini ya wazazi ni above 18. Ana maamuzi yake kama mtu mzima, kuhusu ukristo naweza kuswitch nakuwa muslim. Akina Seleman walioa wake 700 sembuse mimi wake wawili tu?
That one shouldn't bother you...when the time comes,nature will amicably solve the problem....you have all the blessings from her...karma will hunt you down when you decide to betray what you believe is right...I had to take Mama J out for lunch before I travel to South Africa. I told her I’m going to Zambia for research, and she wished me all the best.
She doesn’t know anything about me expecting a second child with Iryn. She also doesn’t know that Iryn is due to deliver another baby this week.
I feel karma might catch up with me. When she finds out the truth, I don’t know what will happen. 💔
And that is what it takes to be real Man....in fact there is a place where the % is high....don't be a captive of your own identy living in prison of your own creation....wish you luck on your journeyI’m at a stage where I love both equally, 50/50, and I don’t want to lose anyone.🤔
Thank you, I appreciate your perspective. I'm trying to find a balance that works for everyone involved. Any advice on navigating these feelings?.And that is what it takes to be real Man....in fact there is a place where the % is high....don't be a captive of your own identy living in prison of your own creation....wish you luck on your journey
“When Iryn got pregnant without my consent, what decisions do you think you would have made if you were in my position? Just imagine, the pregnancy is yours.”🤷🏻♂️That one shouldn't bother you...when the time comes,nature will amicably solve the problem....you have all the blessings from her...karma will hunt you down when you decide to betray what you believe is right...
Both teams to scoreI’m at a stage where I love both equally, 50/50, and I don’t want to lose anyone.🤔
Habari za siku nyingi mpendwaAbeeh Ely
I once was on the same situation back 2015 when she conceived without my consent .but when she break news that she is pregnant ,I accepted and became accountable of my own action....remember this lady was my university lecturer..she blessed me with twins (Blanca na Bianca)..don't reject pregnancy simply because you were not involved in the decision process..as a man you need to be accountable and responsible..this is why you are now travelling to SA....while making sure my friend Junior and his mom has all the needs....“When Iryn got pregnant without my consent, what decisions do you think you would have made if you were in my position? Just imagine, the pregnancy is yours.”🤷🏻♂️
-Nimefurah kusikia unaelekea kupata mtoto WA pili na Iryn...
Juzinimefika Kijiji Cha Mondo huko Kondoa nikakumbuka story yako napale manadan kama ndo hapo nilifika...(We jamaa umetisha sana..
-kwa kifupi una wake wawili..Tena WA pili (Iryn)ana sifa ya ziada iitwayo WoS (woman of substance)..nadhan hukutengemea pale ulipomuuliza mara baada ya kujifungua kuwa anataka zawadi Gani Cha pekee umfanyie..nae akakujibu "Nataka kuwaona Babu na Bibi WA Ariana"..hizo ndizo move za mwanamke ambae ni WoS..
-wala usiwe na shaka na mama J..akijua fully atacomply na situation...shida naweza kuiona Kwa wazazi wake na nduguze(Kuna yule dada yake...)
-kwa andiko lako lenye kila aina ya vionjo..nakutunuki cheo Cha Kanali...
Mwisho msalimie mama Ariana..mama junior Mpungie mkono.....
Angetaka nn ss kwa uyu kaka na ela ye ndo anaempa...amuulize mama j aone kama hatomwambia amjengee nyumba kwa jina lake linalosomeka NIDAzawadi Gani
Ushasema kabla ya Yesu. Hakuna aliyekunyima kuoa wengi ila kama Yesu kwako ni Bwana na MWOKOZI wa maisha yako sheria yake haibadiliki kufuata tamaa za wanadamu mkuu. Hakunaga Mungu wa kisasa mzee. Mungu ni yule yule na utaratibu ni uleule.Kuoa wake wengi kwa wakristo kunaonekana dhambi kubwa saana yet waliotuletea dini zetu hizi wameachana nazo na sasa wanahamsisha ndoa za jinsia moja. Sisi watu weusi hatuna budi kukaa chini na kujiuliza ikiwa njia tunayoiendea ni sawa, kabla ya Yesu mke zaidi ya mmoja ilikuwa ruksa sawa na mila nyingi za kiafrika. We need to go back to our roots,
Ninaposema "ni muhimu uonyeshe kwamba una nia ya kufanya mambo kwa njia sahihi na ya kidini, hata kama kuna makosa yaliyotokea," ninamaanisha hivi, insider anatakiwa kuonyesha kuwa anataka kurekebisha hali iliyopo kwa kufuata maadili na kanuni za kidini, hata kama amefanya makosa (kama kuwa na watoto na wanawake wawili bila kufunga ndoa rasmi). Hii ina maana kwamba:Hakika Nyani haoni..... 🤣🤣🤣
Bora yeye Mama mtoto hawa fahamu.. Wewe ni mmmmmh!!!
Nitakumbuka kugugo labda kama umebadili Jina 😅😅😅
Wapenda map kama nawaona
Nimekusoma hivi kidini ni kivipi haswa naye ni Mkristo nafikiri. Fafanua hapa 😊
Njia ipi hiyo naye ni wa kama ndoa moja kidini.. Ila umeandika mengi akusome vizuri.. Mwishoni na ya dini na ushauri wako ni kule A na kule Z 😅😅😅
Hakuna kitu kibaya kinaumiza mwanamke kama kujua juu ya mchepuko wa mumewe au boyfi au mchumba wake na akadanganywa halafu ndio aje ajue ukweli. Bora hata Insider angemkalisha Iryn mbali kabisa na Mama J, haswa baada ya kuona ameshtukia gemu lao.
Hili jambo aombee miujiza, hata akinyamaza bila kutaka kuachana hii kitu wanasema isikie kwa mwingine haswa mwanamke akifanywa fala na uongo mwingi sana kuwekwa kwake live. Kama kosa moja kubwa aliona U S ya mimba na baada Iryn akaenda kumdanganya na etc.. Namuonea huruma Mama J, amuache amalize masomo yake kwanza. Lolote na liwe tu.. Boraaaaaa nakuwa hafamiani nae kwa u karibu huo au hata hamfahamu mengi na hawana urafiki. Ila kama anao a mumewe napata kitu pesa etc status wachache ataamua kula nao wengine ni payback ya chini ya uvungu nae awe na mchepuko wake maisha yaende. Kama Mama J alikubali kiurahisi aendelee bila lolote basi nae anayajua tayari au ana mtu pembeni au anajipanga.
Kazi ipo, ila wamemfanyia vibaya sana sana kuwa karibu na Iryn. Tangu mwanzo niliona atayakanyaga tu.
Na Dada nae yupo vizuri sana kulinda mengi, ila ndio hivyo WiFi ni WiFi hata mle sahani moja kamwe hawezi kuwa na wewe akaaxha kufata ya Kaka. Na anapeta tu na raha kupita before.. Mama J ooh Mama J.
Maisha levels zinaingilia mengi.
Dini inaruhusu? 😂😂😂
Kuna maisha duniani tunaishi tu siku zisonge. A na Z eeeh
Ikiwa mama anashikilia msimamo wa kidini unaotambua ndoa moja tu (monogamy), kumshawishi inaweza kuwa changamoto kidogo. Hata hivyo, njia stahiki inayoweza kusaidia ni kuonyesha NIA ya kufuata maadili na taratibu za kidini (kumbuka lengo Ni kumuingiza mama kwenye mfumo), hata kama hali tayari imekuwa ngumu. Njia hizi ni pamoja na:Njia ipi hiyo naye ni wa kama ndoa moja kidini.. Ila umeandika mengi akusome vizuri.. Mwishoni na ya dini na ushauri wako ni kule A na kule Z 😅😅😅
Hakika mkuu, swala hili SI have hata kidogoHakuna kitu kibaya kinaumiza mwanamke kama kujua juu ya mchepuko wa mumewe au boyfi au mchumba wake na akadanganywa halafu ndio aje ajue ukweli. Bora hata Insider angemkalisha Iryn mbali kabisa na Mama J, haswa baada ya kuona ameshtukia gemu lao.
Hili jambo aombee miujiza, hata akinyamaza bila kutaka kuachana hii kitu wanasema isikie kwa mwingine haswa mwanamke akifanywa fala na uongo mwingi sana kuwekwa kwake live. Kama kosa moja kubwa aliona U S ya mimba na baada Iryn akaenda kumdanganya na etc.. Namuonea huruma Mama J, amuache amalize masomo yake kwanza. Lolote na liwe tu.. Boraaaaaa nakuwa hafamiani nae kwa u karibu huo au hata hamfahamu mengi na hawana urafiki. Ila kama anao a mumewe napata kitu pesa etc status wachache ataamua kula nao wengine ni payback ya chini ya uvungu nae awe na mchepuko wake maisha yaende. Kama Mama J alikubali kiurahisi aendelee bila lolote basi nae anayajua tayari au ana mtu pembeni au anajipanga.
Kazi ipo, ila wamemfanyia vibaya sana sana kuwa karibu na Iryn. Tangu mwanzo niliona atayakanyaga tu.
Na Dada nae yupo vizuri sana kulinda mengi, ila ndio hivyo WiFi ni WiFi hata mle sahani moja kamwe hawezi kuwa na wewe akaaxha kufata ya Kaka. Na anapeta tu na raha kupita before.. Mama J ooh Mama J.
Maisha levels zinaingilia mengi.
I really appreciate your insight and personal story and it’s great to see how you took responsibility and embraced fatherhood despite the situation. I fully agree that as men, we must be accountable for our actions and support those around us. In my case, I’m working through things step by step and making sure everyone involved is cared for, just like you did. It’s not an easy path, but I’m determined to handle it responsibly and ensure that those close to me, like Junior and others, are happy and well supported. Thanks again for the advice, it’s a reminder to stay grounded and take pride in doing the right thing. ✊I once was on the same situation back 2015 when she conceived without my consent .but when she break news that she is pregnant ,I accepted and became accountable of my own action....remember this lady was my university lecturer..she blessed me with twins (Blanca na Bianca)..don't reject pregnancy simply because you were not involved in the decision process..as a man you need to be accountable and responsible..this is why you are now travelling to SA....while making sure my friend Junior and his mom has all the needs....
I once said" katika kiumbe kinacholaumwa sana duniani lakini chenyewe LAWAMA hizo kinaona ni Sifa ni MWANAUME ...
Be confident,walk tall,make sure your niche is well kept and those around you are happy..
Hapana mkuu!...Sababu ya swali lako Ni ipi haswa?Samahani mkuu, hii uliandika kwa lugha ya kiingereza halafu ukatumia Google transalate??
Inafikiriaha mkuu!...Nawaza tu, simfahamu Iryn wala mama J lakini moyo wa mtu kichaka, giza nene
1. Mama J akipima akaona jinsi ume'faidika' kutoka kwa Iryn, anaweza akaweka kwenye mzani akaona sio mbaya. Wacha mfaidike wote, akubali aolewe aache lipite kwa makubaliano hautakuwa na makandokando mengine
2. Hell hath no fury as a woman scorned. Mama J mtoto wa kaskazini kule. Anaweza akakubali kuolewa na kuvumilia just kwaajili ya issue za mali. Kumbuka kuna influence za ndugu na nani, muda si muda ukapigwa na tukio. Nadhani unaelewa nisiende mbali, jiongeze...
3. Iryn doesn't need you, she wants you mipango yake iende sawa. You just happened to be the right guy for the job, both jobs (sperm donor na msimamizi mzuri wa mali)
4. Sikiliza mama insider atakachokuambia, mama zetu wanaona mbali