SawaAhsante kwa ushauri,
correction! Mama J hajawahi kunipa pesa ya kununua gari, nilinunua kwa akiba zangu. Mafaniko ya mama J 80% ni efforts zangu kwake.
Swali: Unajuaje kama mama J hana mapungufu na wakati hauishi naye?π.
The matters of my family are for me to handle. They are all my wives and have equal rights, itβs just that one of them doesnβt know whatβs going on.π€·π»ββοΈ
Now, I am at a stage where I donβt blame myself for this, and Iβm ready for anything.
Hi ni kama umetunga vile? Nenda kasome season 1 bro; pesa za IST alisema namna alivozipata na namna alivozigawanya. Wakati ana nunua hiyo ist hakufikiria kama itakuja kua uber; walivo mmbolea garage bubu yake ndio akawa hana cha kufanya ndio akaanza kua uber mkewe akiwa kwao hakujua kama mumewe kama ni uber hadi dogo alivofumaniwa na π kwenye gari lake. Bajaji (ambayo bado pesa zake zinaingia kwenye acc ya mkewe ) ndio pesa za baba mkwewe. Huyu jamaa kwangu mimi namtazama kama role model kwa vijana wengi, kuna mengi sana ya kujifunza kupitia story yake; sema wengine kwasasa ni "shikamoo jazz" but kwa vijana kuna somo hapa.Uko mtiifu sana kwa mkeo wa pili ila Binti wa watu aliyekupa hela ya kununulia gari ya Uber ( kama sijakosea alipewa na babake) na ukamjua iryn unamchukulia poa sana, unaenda kanisani na wewe ni mkristu ila sijajua ni kwa identity au kwa Imani. Binafsi mimi ni mkristu ila sina kipingamizi na kuwa na mke zaidi ya mmoja maana ukiachana na ukristu wetu sisi pia ni waafrika ambao baadhi ya tamaduni zetu ni nzuri kama zinshikwa vyema na kutimiza wajibu.
Ndugu yangu usithubutu kumdharau mkeo wa kwanza una mapungufu mengi sana ila binti wa watu ameuponda moyo wake na kukubali kuishi na maumivu ila mradi tu awe mtiifu kwako
Lakini ninyi mwasema, Ni kwa sababu gani? Ni kwa sababu BWANA amekuwa shahidi kati ya wewe na mke wa ujana wako, uliyemtenda mambo ya hiana, angawa yeye ni mwenzako, na mke wa agano lako", Mal 2:14 SUV.
Hakuna mtu mmoja aliyetenda hivi, ambaye alikuwa na ufahamu kidogo. Au je! Kuna mtu mmoja atafutaye mzao mwenye kumcha Mungu? Kwa hiyo jihadharini roho zenu; mtu awaye yote asimtende mke wa ujana wake mambo ya hiana", Mal 2:15 SUV.
Iryn ni mwanamke nzuri anaonekana ana huruma na mambo mengi ila hawezi kuvaa viatu vya mama j, katika nyakati zako za shida na maradhi naamini ni yeye mama j pekee ndiye anayeweza kubeba kinyesi chako na kwenda kukitupa chooni, ni mama j pekee ndiye anayeweza kukutawadha utakapojinyea.
I'm speaking from experience, muheshimu huyo mwanamke usijidanganye na mafanikio ya material things, mwanadamu ni kasha tu hana u babe wowote, pumzi inadanganya mapenzi ya kweli na uhalisia wa maisha huja katika magumu na ndiyo Mungu huruhusu majaribu yatupate ili aone uthabiti wetu na unyenyekevu wetu kwake
ulikuwa unamlaumu mke wa mjomba wako sana unajua kwanini kwa sababu alikuwa na kiburi cha uzima na mafanikio. Asili hutawala, asili ni mema na jambo lolote lilr kinyume na asili LAZIMA litoe matokeo hasi
alamsiki
Kaka nitaattend nitakujulishaje ilhali hatuja share contact apart from ur emailNita-attend hii conference nikiwa na mzee Juma. Kama kuna mtu ata register anijulishe ili apate bahati ya kunifahamu.
Nyumbn kumenogaa na mhabeshMama watoto this time wivu umeongezeka sana. Kanitamkia live kwamba, this time akiniotea nina chepuka, atapotea na watotoπ€.
Nimepewa deadline kufikia December niwe nimempeleka kwetu, otherwise ataenda mwenyewe.ππ»ββοΈ
Muwe na usiku mwema.
Hii stori imeisha au bado kuna season 3?Mama watoto this time wivu umeongezeka sana. Kanitamkia live kwamba, this time akiniotea nina chepuka, atapotea na watotoπ€.
Nimepewa deadline kufikia December niwe nimempeleka kwetu, otherwise ataenda mwenyewe.ππ»ββοΈ
Muwe na usiku mwema.
season 3 ipo may be hata season 4 itakuwepo pia kama Mungu atamlinda insider azidi kutuletea mastoriMkuu
Hii stori imeisha au bado kuna season 3?
Kinachofuata ni Iryn kujitambulisha kwa mama J kama mke mwenza lengo tu mama J afanye maamuzi magumu ya kukuacha. Ni swala la muda tu Iryn anavumilia kushare naye. Ipo siku hatataka kumuona. Umemtengeneza adui namba moja wa mama J lazima uwe smart. Muwekee masharti na yeye mapema kuwa siku akimvuruga mama J anakukosa jumla. Kuna tofauti kubwa kati ya mwanamke wako wa kwanza na wanaofuata. Huyu akibaki peke yake atakuvuruga utaiona dunia hii chunguMama watoto this time wivu umeongezeka sana. Kanitamkia live kwamba, this time akiniotea nina chepuka, atapotea na watotoπ€.
Nimepewa deadline kufikia December niwe nimempeleka kwetu, otherwise ataenda mwenyewe.ππ»ββοΈ
Muwe na usiku mwema.
Na mm nakazia hapo hapo..kati ya kosa ambalo insider atalifanya ni kumruhusu iryn amvuruge mama j ili waachane na yeye ndo awe maza house, kama insider alivokubali moyoni mwake kuwa wote wana nafasi sawa bas asiruhusu kumpoteza mama jKinachofuata ni Iryn kujitambulisha kwa mama J kama mke mwenza lengo tu mama J afanye maamuzi magumu ya kukuacha. Ni swala la muda tu Iryn anavumilia kushare naye. Ipo siku hatataka kumuona. Umemtengeneza adui namba moja wa mama J lazima uwe smart. Muwekee masharti na yeye mapema kuwa siku akimvuruga mama J anakukosa jumla. Kuna tofauti kubwa kati ya mwanamke wako wa kwanza na wanaofuata. Huyu akibaki peke yake atakuvuruga utaiona dunia hii chungu
Unadhani mshua wako hajamwambia mkewe hadi leo kweli? I doubt. Again, why hadi sasa Mungu kamficha bimkubwa about it? Wakati una date na Prisca, bimkubwa alinong'onezwa na Mungu about it, why la Iryn Mungu kamficha? Ipo sababu.Mama watoto this time wivu umeongezeka sana. Kanitamkia live kwamba, this time akiniotea nina chepuka, atapotea na watotoπ€.
Nimepewa deadline kufikia December niwe nimempeleka kwetu, otherwise ataenda mwenyewe.ππ»ββοΈ
Muwe na usiku mwema.
Sahihi kabisa.Kinachofuata ni Iryn kujitambulisha kwa mama J kama mke mwenza lengo tu mama J afanye maamuzi magumu ya kukuacha. Ni swala la muda tu Iryn anavumilia kushare naye. Ipo siku hatataka kumuona. Umemtengeneza adui namba moja wa mama J lazima uwe smart. Muwekee masharti na yeye mapema kuwa siku akimvuruga mama J anakukosa jumla. Kuna tofauti kubwa kati ya mwanamke wako wa kwanza na wanaofuata. Huyu akibaki peke yake atakuvuruga utaiona dunia hii chungu
Why brother?
Insider man mtu wa kimya kimya, usikute hata mzee juma hajui kinachoendelea kati yako na iryn. Mpaka umepata mtoto wa pili mama hajajua kama umezaa na iryn? Halafu mbona kama boss lady kazaa faster faster hao watoto wamepishana umri gani? Hongera kwa kupata ka handsome zaidi ya juniour.
Nita-attend hii conference nikiwa na mzee Juma. Kama kuna mtu ata register anijulishe ili apate bahati ya kunifahamu.
the whole africa continent contributes to about 1.1% of the global scientific knowledge.Vile ambavyo umekuwa ukiwachapa nao, maana hao uliowataja ni wale uliwaweka tu kwenye visa vyako ila naamini kuna wengine kadhaa ambao wapo kwenye hit list yako...
Lakini kitu kilichonivutia kwako ni kwamba upo intelligent na clever, Tanzania yetu ina upungufu wa watu wenye akili mzee baba kiasi kwamba tumekuwa watu duni...
Ungekuwa ni mmoja ya wahudhuriaji wa summit inayoendelea sasa JNICC pengine tungetafutana, lakini hiyo ya Nov ni kada tofauti...
Halafu kuna watu eti wanadai jamaa ni Mario! Stupid. Jamaa ni hustler sana na hustle zake zimemlipa. Kasema next year anakwenda zake kufanya kazi nje ya nchi, hope ni ile ahadi ya mzee Juma aliyemtaka akasome masters kwanza ndio amtafutie kazi; wosia wa mzee Pama.Duh si mchezo!! Umekuwa Superstar sa hivi katika level ambayo mtu kuonana na wewe ni bahati ameipata!!. Sawa Boss nakubali nakubali
Hongera sanaWe are lucky to welcome our second baby, a boy, and we have named him Adrian.