Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 2,691
- 4,057
Sina comment ju ya mambo yako mengine, nipo interested na mambo 2 ulioyataja.Kama Mungu ni yuleyule tusingeshuhudia maaskofu wa Makanisa waasisi wa imani zetu nyingi kuhalalisha LGBTIQA zaidi sana wao wenyewe wakioa na kuolewa. Yesu wa sasa sio Yesu yule wa zama hizo, amekubaliana na globalization (In the context of what is happening, no wonder wanabarikiwa Makanisani). Misimamo ya dini imebakia Afrika (Alkebulan our home) mahali ambapo anahubiriwa Yesu myahudi aliyekuwa na mitume 12 wa kiyahudi lakini ajabu wote wana majina ya kizungu. I stand to be corrected, but to my opinion, ni heri kuwa na ndoa za mitala kama zilivyokuwa mila zetu kuliko kuwa wanafiki makanisani/misikitini deep down tukiendeleza LGBTIQA.
1. Majina ya mitume wa Yesu kua ni Wayahudi halafu wana majina ya Kizungu
2. Kuhusu mambo ya LGBTQ
Nitafafanua kwa jinsi ninavyo jua:-
Wewe umejuaje kama mitume walikua na majina ya Kizungu? Yohana, Petro, Yakobo kuna uzungu gani hapo bro? Mbona hayo majina ya Kiswahili? Mariamu nalo ni jina la Kizungu? What about jina YESU na lenyewe la Kizungu? I think ulikua na assumption kwanza kichwani mwako na ile assumption ukaitolea jibu bila kui prove then ukatembea nayo....! Fikiria upya
Kuhusu mambo ya Ushoga na Ukristo; napataga sana shida na watu wanaosema eti Ukristo unaruhusu mambo hayo, najiulizaga, wanafanya makusudi kusema hivo au hawaelewi? Kuna kitabu kimezungumza kwa ukali issues za ushoga kama Biblia? Matendo ya viongozi wa dini kutokufata Biblia yalitabiriwa sana; wengine wamebadiri dini kua biashara, wanajinuifaisha kibinafsi wao wenyewe, Biblia ilitabiri hilo enzi hizooo watu wakiwa na hofu kubwa ya Mungu kwamba hao watu watatokea, hivi hujawahi kusoma hapa, "Siku za mwisho watatokea manabii wengi wa UONGO......., mtawatambua kwa matunda yao (neno matunda hapo ni matendo yao) maana watakua wamevaa ngozi za KONDOO lakini ndani ni Mbwa mwitu wakali. Jisomee mwenyewe with free mind, utajifunza vingi