Hatari yani ni mwendo wa lunch dinner na zawadi 🤣🤣Hii story watu wanakula sana aiseeee kidogo tyu lanchi kidogo dinner kidogo lanchi aiiiiiiii watu wamekula sana alafu kuonana kumekuwa kwingi jambo dogo tyu la kuongea kwenye simu mpaka watu waonane aiseeeeee
Alafu kuna muda ukiisoma story unaona kama picha la kihindi ivi 😂😂😂😂😂
Maisha Babu ni kawaida..kuna pahala nilikuwa week kadhaa..nimekutana tukio mpaka sasa nasema nani maskini😀😀Hatari yani ni mwendo wa lunch dinner na zawadi 🤣🤣
Ni kweli, bad news nilipata emergency ikaharibu ratiba zangu za likizo. Hope next week tutaanza kwenda mchakamchaka ❤️INSIDER MAN
Hi, ukiweza rusha mara mbili kwa wiki kwa sababu ukishasema unaziandaa kabla ya kurusha.. Why nasema hivi ni Season 3 ichangamke maana muda imepita na wengi hawajauona uzi huu... Rudisha spidi yake inayostahili 😊
SawaKesho mapema tutaendelea na chapter 3.
Ni kweli, bad news nilipata emergency ikaharibu ratiba zangu za likizo. Hope next week tutaanza kwenda mchakamchaka ❤️
Wadau wa hii simulizi ya kweli
Unasubiri kuona sanchi akipelekewa motoPole sana, natumaini sasa salama.
Nasubiria sana pia juu ya Sanchi jamani.
Tunaisubiri kwa hamuKesho mapema tutaendelea na chapter 3.
Unasubiri kuona sanchi akipelekewa moto
Najua uyo muhusika aliaga duniawewe kama umesoma uzi vizuri, husingeandika hivi.
Yuko zake kwa Jane😁"Kesho mapema"
Yuko zake kwa Jane😁
TunakumbushanaKesho mapema tutaendelea na chapter 3.