cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Tap/click picha au jina la memba itakuja ka pop up utaona.. Send direct message..DM ya jamii forums unaipata wapi
Kama mtu kafunga PM yake hautaiona.
Tap/click picha au jina la memba itakuja ka pop up utaona.. Send direct message..DM ya jamii forums unaipata wapi
Leta hiyo link mkuuNiwape mbinu mbadala yakutokua na arosto,
Tafuta story nyingine uwe nazo japo mbili tatu unafuatilia, mfano kuna mtu humu alitoa linki ya story kumi kali humu JF, kuanzia pale me sipati arosto kabisa,
Ukisoma na comment za wadau, aloo watu wanastori nzuri zimo humu humu na hujawahi kuziona wala kuziskia,… kiufupi JF ni pana sana,,,
kuna stori nzuri zinaweza kukupa kampany wakati huna chakufanya
Kuna kitu nilisema kama kuna mtu anaweza kwenda kwenye ile saloon alitumaga link naamini akifika pale atapata jibu fulani hv.INSIDER MAN Alikufa kwenye maandamano ya october kwenye saluni ya iyrn walikuwa na lucy
Hizo ni za ndani kabisa