Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Basi leo nikaona mtu anashinda ya ugonjwa matibabu.. Ni ile nikaguswa.. Si mnajua tunasoma mengi ila huwa kuna yale moyo Unagusika kutaka kusaidia huyu au yule,

Nikajiambia ngoja sasa nije nibonyeze meseji Insider nimpe hiyo namba atume.. Oyoooooo si kumbe dm kabloku halafu aliniambia nimtumie meseji... Aisee nimeona aibu mie na after kuitwa pia mmoja wa wahuni tunasoma.. Like usiriasi haukuwepo hata kutaka kuitoa kwa Cocochanel.. Ulijua sitakufikia kwa PM.. No Wanda ulichukua muda kukubaliana na Now kurudi humu 🙄

Eeeh na mie nimeandika leo...

Ila poa tu.. Ndio maisha.
 
Na mpaka umeandika wewe ni kwamba limekufika kooni pole Sana asee
 
Basi leo nikaona mtu anashinda ya ugonjwa matibabu.. Ni ile nikaguswa.. Si mnajua tunasoma mengi ila huwa kuna yale moyo Unagusika kutaka kusaidia huyu au yule,

Nikajiambia ngoja sasa nije nibonyeze meseji Insider nimpe hiyo namba atume.. Oyoooooo si kumbe dm kabloku halafu aliniambia nimtumie meseji... Aisee nimeona aibu mie na after kuitwa pia mmoja wa wahuni tunasoma.. Like usiriasi haukuwepo hata kutaka kuitoa kwa Cocochanel.. Ulijua sitakufikia kwa PM.. No Wanda ulichukua muda kukubaliana na Now kurudi humu 🙄

Eeeh na mie nimeandika leo...

Ila poa tu.. Ndio maisha.
Wahuni watu😅
 
Pole Ndugu ila mbona sijaelewa vizuri hii ni kuhusiana na ile zawadi aliyoiahidi Insider mpaka ukapita kuwa upewe naye akasema kuwa atakutumia au?.
 
Kumlalamikia Insider Man kuwa hajaleta story, mara anakawia wakati mwingine ni upungufu wa akili, yaani aache Kazi na mipango yake muhimu ashinde humu? Kwa pato lipi analoingiza humu?

Mtu yoyote ambaye ni Tajiri au anadalili za kuwa Tajiri mojawapo ya dalili ni Muda kutokutosha na ndio maana Matajiri hununua muda wa watu kwa kuwaajiri.
Pole Sana kama wewe unatafuta sehemu ya kupotezea Muda na unapatikana kila mara na kwa Mtu yoyote.
Binafsi namshukuru kwa story na kutukumbuka pqmoja na majukumu. Nikiingia nikiikuta ewala nikikosa basi najua ni swala la kuvuta Subra.
Tuache laumu na roho za kimaskini wengine tunamuandama kweli kama mke mwenza
 
Basi leo nikaona mtu anashinda ya ugonjwa matibabu.. Ni ile nikaguswa.. Si mnajua tunasoma mengi ila huwa kuna yale moyo Unagusika kutaka kusaidia huyu au yule,

Nikajiambia ngoja sasa nije nibonyeze meseji Insider nimpe hiyo namba atume.. Oyoooooo si kumbe dm kabloku halafu aliniambia nimtumie meseji... Aisee nimeona aibu mie na after kuitwa pia mmoja wa wahuni tunasoma.. Like usiriasi haukuwepo hata kutaka kuitoa kwa Cocochanel.. Ulijua sitakufikia kwa PM.. No Wanda ulichukua muda kukubaliana na Now kurudi humu 🙄

Eeeh na mie nimeandika leo...

Ila poa tu.. Ndio maisha.
😀😀😀 sijaelewa, ni kwamba hukupewa hela yako?
 
Pole Ndugu ila mbona sijaelewa vizuri hii ni kuhusiana na ile zawadi aliyoiahidi Insider mpaka ukapita kuwa upewe naye akasema kuwa atakutumia au?.

😀😀😀 sijaelewa, ni kwamba hukupewa hela yako?

Alisema nimtumie namba nafikiri, sasa sikufanya hivyo bado.. nikisubiri muda wake ufike na ndio umefika.

Tangu mwanzo nilitaka iende kwa mtu, then nikasoma msgs uzi huu nikaona kuna baadhi walipenda waipate.. Nikashindwa kuchagua nani haswaa anataka kiukweli.

Nikasubiria siku Mola kapanga ndio ikawa leo nishukuru zawadi na kumsaidia mtu.

☺️ Yote ni kheri

%%%%%%%

Insider Man ana masomo kama hajamaliza atakuwa anamalizia, ana wanawake wengi😀, ana maduka ya nguo kafungulia mwanamke aliweka humu mwenyewe na picha na jina la duka instagram. Ana safari nyingi.. Busy man. Story alisema zamani anaandika mapema sema kuiweka sawa eeh inaitwa ku edit nafikiri.

Mimi nasubiria kujua kuhusu ya Sanchi kizaidi kwa sasa.. Naona kama muda haufiki au kauruka.. Labda nimesahau alipoandika kiwakati ilikuwa lini.
 
Wewe ndo ulizingua! Maana. Ulitakiwa umfuate PM siku Ile alivosema anatoa! Maana mala nyingi Dm yake a funga!!

Yaani unapewa zawadi na wewe unagawa Tena ???? Izo ni dharau sasa
 
Basi leo nikaona mtu anashinda ya ugonjwa matibabu.. Ni ile nikaguswa.. Si mnajua tunasoma mengi ila huwa kuna yale moyo Unagusika kutaka kusaidia huyu au yule,

Nikajiambia ngoja sasa nije nibonyeze meseji Insider nimpe hiyo namba atume.. Oyoooooo si kumbe dm kabloku halafu aliniambia nimtumie meseji... Aisee nimeona aibu mie na after kuitwa pia mmoja wa wahuni tunasoma.. Like usiriasi haukuwepo hata kutaka kuitoa kwa Cocochanel.. Ulijua sitakufikia kwa PM.. No Wanda ulichukua muda kukubaliana na Now kurudi humu 🙄

Eeeh na mie nimeandika leo...

Ila poa tu.. Ndio maisha.
Pole mrembo, kwa hio na namba ukatoa halafu hola. ... hii ni mitandao, usiamin kila kitu..... just ingia humu ukiwa na muda, jifurahishe pita hivi..... sio kila kitu ukiamini humu
 
Wewe ndo ulizingua! Maana. Ulitakiwa umfuate PM siku Ile alivosema anatoa! Maana mala nyingi Dm yake a funga!!

Yaani unapewa zawadi na wewe unagawa Tena ???? Izo ni dharau sasa

Embu jicheke kwanza ukimaliza jidunge 💉💉💉

Kama wewe msomaji wa humu utajua kwa kusoma wadau ni alifunga DM yake zamani
 
Back
Top Bottom