hivi wewe huna kaz ya kufanya kutwa kuch
Hapanaaaa!! Kuna scenario unaona kabisa haiwezekani hapa.Inawezekana sana! Dunia ina watu wengi hii
Mm nmeshuhudia kabsa! Tena kwa mshua
Kazi yangu ya kufanya, ndo kuwa humu kutwa kucha.hivi wewe huna kaz ya kufanya kutwa kucha umo humu
ewe
Nisaidie wee mwenzangu, Lol.Kwanini na wewe huna kazi!!mbona kama unamfuatiria kila akiwa online
Mdau wako huyo dada, yuko makini kukufuatilia movement zako JF.Kazi yangu ya kufanya, ndo kuwa humu kutwa kucha.
Vipi una jingine? 😂😂😂
Basi akae kwa kutulia, afuate boss wake nataka nini.Mdau wako huyo dada, yuko makini kukufuatilia movement zako JF.
😁😁😄Kazi yangu ya kufanya, ndo kuwa humu kutwa kucha.
Vipi una jingine? 😂😂😂
Harakati zinaweza fanya muda unakosekanaShida ya insider anatupa Episode 1 au 2 alafu haonekani mwezi mzima. Hapo ndo anapotukela mashabiki zake
Mkuu vipi ile uzi wa kuboresha performance 😅Ah dadeki, nimebanwa sana. Natamani nimpe mtu kazi awe anapitia hizi epsodes kabla hazijaja hewani. cocochanel ni DM na namba inayopokea Pesa. Wahuni walikupendekeza kama mshindi. 😍
Eh!! Ehee!! Mwenye uwanja wake kaingia sasa (in voice of kimwaga)Kuna tofauti ndogo sana kati ya INSIDER MAN, BALTAZARI NA MRUSI
hahahaEh!! Ehee!! Mwenye uwanja wake kaingia sasa (in voice of kimwaga)
anatafuta uhaiShida ya insider anatupa Episode 1 au 2 alafu haonekani mwezi mzima. Hapo ndo anapotukela mashabiki zake
anapendaga attention sana sema nyie hamjamsoma. huoni hata story zake anasema hapokeagi simu za watu wengi hata wafanyakazi wake? yeye anapenda kunyenyekewa na kuombwa au Kuonekana wa aana kla sehemu ndio aana kila story yake lazma ajisifu kwamba anakubalika sana mara hivi na vile. Kikubwa Tusubiri tu hata akija mwezi wa sita aana hatumlipi hata mia ila tunajifunza vingi, vngine vinatupa hasira y kutafuta helaanatafuta uhai
Keypad ya smartphone yako imeondolewa M unapoandika neno "maana" tu?anapendaga attention sana sema nyie hamjamsoma. huoni hata story zake anasema hapokeagi simu za watu wengi hata wafanyakazi wake? yeye anapenda kunyenyekewa na kuombwa au Kuonekana wa aana kla sehemu ndio aana kila story yake lazma ajisifu kwamba anakubalika sana mara hivi na vile. Kikubwa Tusubiri tu hata akija mwezi wa sita aana hatumlipi hata mia ila tunajifunza vingi, vngine vinatupa hasira y kutafuta hela
Dah, tumeitwa wahuni wote🙂🙂🙂🙂Ah dadeki, nimebanwa sana. Natamani nimpe mtu kazi awe anapitia hizi epsodes kabla hazijaja hewani. cocochanel ni DM na namba inayopokea Pesa. Wahuni walikupendekeza kama mshindi. 😍
Itakua Display haikubali kutouch herufi M tu😂Keypad ya smartphone yako imeondolewa M unapoandika neno "maana" tu?