makorere
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 2,123
- 1,683
Hope he is wellINSIDER MAN wana man vipi.
Hope he is wellINSIDER MAN wana man vipi.
DALALI MKUU Naomba nitumie link ya group inboxHii story nimekuta wanaijadil huko kweny group la madereva wa Bolt nikaja kuchungulia tena nikafikiri huenda insider amefufuka
Wamekula kichwa sasa labda wanamwagilia miti tu.Wanangu, habari njema kwenu.
Nimekutana na INSIDER MAN,
Yupo IYUMBU anavuna miti yake waliyopanda na IRYN
Weka Link ya story ya konda msafi tusomeHii story ya bwana INSIDER MAN ni story katika story zote nlizosoma hapa JF, ikifuatiwa na ya konda msafi
Natamani tupate watu wengine watupe experience ya maisha waliyoyapitia
W
Weka Link ya story ya konda msafi tusome
AhsanteMwaka 2008 niliingia Durban baada ya kuitwa na jamaa zangu waliokuwa huko. Hawa jamaa zangu tuna undugu pia. Kaka yao kaoa shangazi yetu, na pia kaka yetu kaoa dada yao, ni kama tumeoleana, wao wameoa kwetu na sisi tumeoa kwao. Pia hawa jamaa tumesoma shule moja ya msingi japo madarasa tofauti.
Historia fupi kabla sijaingia Durban. Nilifika South Africa toka 2003. Nilifikia Johannesburg. Joburg nilienda kama volunteer kwenye taasisi moja ya kidini ambayo nisingependa kuitaja. Nikiwa naendelea kufanya kazi kwenye hiyo taasisi niliwaomba wanisaidie kumalizia elimu nyangu ya sekondari...
- konda msafi
- kizulu kunitoa roho mapenzi mtoto
- Replies: 3,509
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
DALALI MKUU Naomba nitumie link ya group inbox
True! Pamoja naHii story ya bwana INSIDER MAN ni story katika story zote nlizosoma hapa JF, ikifuatiwa na ya konda msafi
Natamani tupate watu wengine watupe experience ya maisha waliyoyapitia
Hii ya how I met my wife hebu ntag niipitieTrue! Pamoja na
How I met my wife "
Hii ya how I met my wife hebu ntag niipitie
Hiyo story ya konda msafi inaitwaje mkuuHii story ya bwana INSIDER MAN ni story katika story zote nlizosoma hapa JF, ikifuatiwa na ya konda msafi
Natamani tupate watu wengine watupe experience ya maisha waliyoyapitia
Ukiipata nitag na mimi mkuu.Hiyo story ya konda msafi inaitwaje mkuu
Soma comment #17,552Ukiipata nitag na mimi mkuu.