Kuna link alituma ya dukani na ukiingia instagram nadhani tunaweza kupata mawasiliano au mtu mmoja aliyepo dar aende kwenye hilo duka naamini atapata taarifa flani hatakama hawamjui kwa jina la insider ila unaweza kuuliza kiujanja flani hv ukapata jibu kamili ni muhimu kufuatilia unajua kuna issue za hatar alikuwa anazifanya ikiwemo ile kesi ya kampuni ya babayake irene bongo kesi za vile ni hatar sana kesi nyingi ni uchawi na dhuluma kali na hata lawyer alimuuliza maswalli kama yuko tayari kwa vitu flani kutokea aliona hatari iliyoko mbeleni.waliopo dar wanaweza kutusaidiankwenda dukani pale maana ipo link humu ya dukani na najua ni kati ya duka lake au lile ameshare na yule mama nani yule mwenye baby boy.